|
Quote: |
|
 |
|
|
kila kitu ulichoandika hapo juu umepatia.ni neno la kitumwa kweli lakini ndio hivyo mababu zetu kwa kupenda umwinyi wakaliendeleza tu.mara nyingi mimi huwa nalikuwepa neno hilo kwa kutumia "asalam aleykum" . |
|
|
|
|
Mzee Wenger vipi bwana? hata hiyo pia siyo asilia tumekopi mahali!
Labda ungekuwa unasema "habari za saa hizi, za leo, za siku nk"
Au uwe unasalimia kilugha, huwa hakina ukubwa au udogo;
Solowenyo.......inajibiwa solowenyo
Mihanyenye ....... Misaha
Wabonaki........Nabonakantu
Ulmphola...........
Nazinginezo... zinasidia sana kuikwepa shikamoo, upo?