| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 1479
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
__________________ HII KIBOKO MZEYA!halafu pia nadhani ulikuwa na 'C' ya kiswahili O-LEVEL,au sio?
__________________
''... MORE COMMERCIAL..''
|
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Nami nashika Kalamu
Kuundeleza utamu Mtamu au si mtamu Ngoja nitie mashamsham Ukila na supu ya pweza Kuna vingi waongeza Ulimini wa teleza Kwa mlenda utaweza Kwa karanga ya kusaga Hawaujui wachaga Wazaramo waumega Kuimarisha laliga!!
__________________
He who wants to keep his garden tidy doesn't reserve a plot for weeds |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Aaah, hii safi sana wazee!
Mie nimependa zaidi pale alipotumia neno la kilugha "mmajoro" |
|
#5
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
ahahahahahahaha, angalia sirikali itakukamata. ze*****.com
__________________
As iron sharpens iron, so one man sharpens another |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Umeutaja ugali, nami nataka usifu
Imenipasa ugali, kuupa sifa sanifu Ugali si wa hoteli, wa nyumbani ni yakinifu Ugali kweli mtamu, wa mahindi pia muhogo Uweke mashamushamu, na mtindi usio chongo Ugali watia hamu, unanikumbusha Bongo Ugali yake mchana, usiku utavimbiwa Kwa bamia unajichana,au kisamvu cha sawasawa Ugali kweli mwanana, unanikumbusha Maswa Kwa samaki au nyama, ugali utaupenda Tena upikwe na mama, baba atautenda Ugali watia hima, hongera kwa kuupenda |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Malenga wallah mwanipa raha
__________________
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
mwasifia ugali, ugali chakula duni mwasifia ugali, chakula cha maskini Hunilishi mi ugali kwa bakora matakoni bora nijilie wali, chakula chetu cha pwani ugali ni wa makuli, wapagazi bandarini Muungwana na ugali, wapi na wapi jamani hawali kwenye shughuli, wala kule matangani sijaona wakila ugali, hata uko harusini Leo wasifia ugali, eti chakula makini Ugali kula mchana, sasa masharti ya nini Kama ugali mwanana, usiku mwaukimbiani A utavimbirwa sana, sasa usiku mwalani
__________________
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me. |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Nimejaribu ugali na kisamvu
Kweli mchanganyiko mtamu Nikanyunyuzia chachandu Na nyama kuongezea hamu Ugali uchanganyike na makange Huwezi kufananisha na makande Upate mtaalam akutengenezee Utatamani kila siku ujipendelee Ugali naupenda kula na dagaaa Jamani siwezi kueleza yake raha Wawe ni wa Kigoma au Mwanza Nakwambia kitamu hicho chakula Nimejaribu tu ila napenda kula ugali...
__________________
Giving up doesn’t always mean you are weak,sometimes it means that you are strong enough to let go!.... |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
heheheeh Belinda nawe malenga.
Safi sana mama.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 06:36 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||