Habari ndugu zangu,jamani nataka kuongeza uwezo wangu wa kuongea kiingereza,nahitaji kujua kama kuna english club hapa dar ili nijiunge,na naomba technique za kuongeza uwezo wa kuongea,maana english nayo wito ,nawasilisha
Habari ndugu zangu,jamani nataka kuongeza uwezo wangu wa kuongea kiingereza,nahitaji kujua kama kuna english club hapa dar ili nijiunge,na naomba technique za kuongeza uwezo wa kuongea,maana english nayo wito ,nawasilisha
lugha yoyote unaimudu kutokna na matumizi kwa hiyo ni kweli ukiongeza marafiki unaowasiliana nao kwa kiingereza ni kweli utamudu sana lugha hiyo,tafuta pia vitabu vya riwaya,angalia movies
move naangalia sana tu,ila tatizo watu wa kuongea nao maana ofisi yetu tunatumia kiswahili na home mtu wa kuongea nae sina,
asante kwa ushauri
Kuna member humu nanaitwa Fang. Tafuta urafiki nae
muanze kuandikiana PM daily, baada ya mwezi utaona mabadiliko
Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
Albert Einstein
Ungeanza kuandika kiingereza hapa pia, unaweza kuanzisha English club ya JF wakati ukitafuta hiyo nyingine.
Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.
Nami nataka kujinoa..sababu uchaguzi ujao wa wabunge wa A.mashariki nataka kugombea
Just PM me, I can help with some tips!
Baba V umeona eeh sio mambo ya kusema i hav ferii crids ha ha ha,
ndio tujipange sasa tumtafute Fang
Kwa maana hiyo Club hakuna kwa nini tunapigapiga tu katika kujibu? ndo yale yale we unaitwa nani jamaa naye anakuuliza mimi?
Jiunge na duolingo.com, free language learning tool.
Ziada, soma articles kwenye english newspapers, at least 1 article per day, isiwe ndefu sana lakini cha msingi uweze kuielewa hiyo article vizuri kiasi cha kuweza kuitafsiri.
Chambua maneno manne katika hiyo article ambayo ni "magumu", angalia matumizi yake hapo na kwenye dictionary (nunua yenye kuonyesha matumuzi na sio tu tafsiri). Andika sentensi ukiyatumia hayo maneno.
Idea ya club hapa JF pia ni nzuri, unaweza kuanzisha na kuwa'alika watu kukusaidia katika kujifunza hiyo lugha, mfano, andika short article/story na waombe watu kuichambua.
All the best.
Follow Us Here