jamani hivi hii lugha ya mavuzi imetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? na je yanautofauti gani na nywele za kichwani?
kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?
jamani hivi hii lugha ya mavuzi imetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? na je yanautofauti gani na nywele za kichwani?
kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?
Ewe binti Nakshi, nipe nafasi nikunyoe uone tofauti yake.na je yanautofauti gani na nywele za kichwani?
kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?
hahhha jamani binti nakshi umenikumbusha takriban 30 yrs ago, my mum alikuwa akifundisha primary sumbawanga. somo likiwa geografia std 5. kaingia siku hiyo kaandika ubaoni KILIMO CHA PAMBA MASWA, anashangaa wanafunzi wanacheka tuu, kumbe MASWA Kwa kifipa ni MAVUZI Hhhha. my bro ndo alikuwepo kwenye hilo darasa. hope hawakumpa hilo jina la teacher MASWA mana wanafunzi nao khaaa
Kila nywele ina jina kutokana na sehemu ilipo mwilini:
Kichwani - nywele
Kidevuni - Ndevu
Mdomoni - Sharafa
Mguuni - Malaika
Kinenani - Mavuzi
Wars are caused by undefended wealth - Ernest Hemingway, famous American writer
Mnang'oa meno ya Tembo ili mukayauze, mnang'oa meno na Kucha za Watanzania wasio na hatia ili iweje?
mkumbuke kuyanyoa pia lol
hasa wewe muanzisha thread
Watch your thoughts,They become words, Watch your words, They become deeds, Watch your deeds, They become habits, Watch your habits, They become character, Watch your character, It becomes your destiny!
lilitokana na mpira wa miguu kati ya timu ya Mavu na Nyuki....basi walivyocheza mechi si Mavu wakafungwa....wacha nyuki washangilie....nyuki oyeee....mavu ziiiiii....khaaaa.....
JF is never boring-The Boss
Hehehe! dah watu wengine wana vimbwanga balaa
Haya bye mi napita tu
Kuna Mchina alikamatwa na Gunia la Mavuzi akasema wao hutumia kama Mboga... Mtoa Mada Usinyoe nitamuelekeza Mchina aje Umuuzie
Follow Us Here