Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 59 of 59
    1. #1
      Pwito's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th March 2012
      Posts : 176
      Rep Power : 396
      Likes Received
      32
      Likes Given
      70

      Default Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Wakuu naomba mnisaidie hivi unaweza ukaishi UK kwa miaka zaidi ya mitano na ukawa haujui Kiingereza? Maana jana kuna jamaa yangu anaishi UK-Liverpool amekuja likizo sasa nikakaa naye akatokea jamaa yangu mwingine nikamtambulisha sababu jamaa kasikia mjeba amejitundika huko muongo mmoja si akaangusha kwa Lugha yao mshikaji kujibu nikagundua loh!

      Shida yangu sio kuona nini bali nashindwa kuelewa kama huko kwa wenzetu kuna mchanganyiko wa lugha. Nisaidieni maana kuna dada mmoja aliniambia akimaliza MBA yake hapa nchini anatafuta course UK angalau ya miezi sita ili ajibrashi hicho kilugha.

      Msaada jamani hasa mlioko huko na mnipe ushauri je ni nchi au mji gani anaweza enda ambao hamna mchanganyiko wa lugha?

    2. Miaka 50

    3. #41
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 5,867
      Rep Power : 26882
      Likes Received
      4366
      Likes Given
      4647

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Quote By zomba
      Huwa hunisomi vizuri tu, ungepata faida kubwa sana ungechukuwa wasaa wako kidogo kunisoma, na ambapo hujapaelewa ungechukuwa fursa ya kuniuliza, ungejifunza mengi sana.
      Modesty and humility are not among of your multiple qualities, are they? hahahahaha
      Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
      Albert Einstein


    4. #42
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Quote By Mwali
      Modesty and humility are not among of your multiple qualities, are they? hahahahaha
      From you I can take tons of criticism without a grudge. I know, your capacity is way above most of us.
      Mwali likes this.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    5. #43
      Madikizela's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th July 2009
      Posts : 205
      Rep Power : 544
      Likes Received
      30
      Likes Given
      142

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Hii thread mbona ibweli chigafula sana na muyinu Hata chiswahili cheni cha shida shida tu na nitamana ku mbwani!!

    6. #44
      Madenge's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd December 2008
      Posts : 87
      Rep Power : 551
      Likes Received
      6
      Likes Given
      7

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Hata mtoto mdogo anapojifunza kuongea lugha yeyote huanza na sentensi mbovu mbovu na hatimaye hunyooka. Watoto kutokana na kutokuona aibu hujua mapema mno lugha kulinganisha na watu wazima. Hivyo lugha ni mazoezi ya kuongea hatimaye utaifahamu vizuri.
      Quote By georgeallen
      kaazi kweli kweli. Wakati unaongea lugha yoyote usiogope kuonekana mshamba,usijali sijui grammar au syntax au conjunction- wewe vunja tu -huo sio mtihani kwamba baada ya maongezi utapewa below. Hatimaye unajikuta unatema lugha hiyo kama wenyewe.

    7. #45
      Jestina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 3,627
      Rep Power : 1447
      Likes Received
      845
      Likes Given
      350

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      naona mjadala umegeuka vijembe,
      kazaneni na kasumba zenu,
      wakati kuna wenyewe wanaojiita english people na hawajui english,nyie wamatumbi ndio mnaona sehemu ya kupigana vijembe,kalagabaho....!!!!

    8. FemaTV & Radio

    9. #46
      MWENDAKULIMA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th July 2009
      Location : Partout
      Posts : 478
      Rep Power : 596
      Likes Received
      98
      Likes Given
      92

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Quote By Rogie
      Sasa utajuaje Kiingereza ilhali hata kiswahili chakupa tabu..MAIMUNA maana yake ni nini? Ni MAIMUNA au MAAMUMA.!!?
      Anayekwenda Uingereza ili imsaidie ajue kiingereza nae ni bure tu, kila kitu kinawezekana tu ukitilia mkazo..sisi wengine tumeishi hapa hapa TZ lakini kiingereza tukiongea kinaeleweka based on grammar and syntax. Kuna namna mbili ya kufahamu lugha ya kigeni
      1. Ishi katika mazingira yao ukijifunza hyo lugha.
      2. Soma sana vitabu vyenye lugha hiyo..kwa lugha nyingine inabdi uwe na muongozo wenye lgha yako.

      Nilichojifunza mm ni kuwa sisi ni wavivu sana kwenye kusoma vitabu iwe kiswahili au kiingereza.
      Utakuwa umezaliwa late 80's au early 90's. Ni MAIMUNA mkuu,waliokuwa na akili zao enzi zile za RTD ilipokuwa ndiyo radio station pekee nchini wanaelewa.

    10. #47
      Mama mtanzanzania's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 15th July 2012
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Inamaana LEMUTUZ ni maimuna? au ana akili za KI MAIMUNA.

    11. #48
      Mama mtanzanzania's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 15th July 2012
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      2

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Mimi sijui kwanini Watanzania tunakasumba mbaya !! igeni mifano ya Waitaliano, Wafaransa, Wajerumani na nchi zenye kutukuza Lugha yao! mtu asipojua English ni jambo la kawaida tu..ila Tanzania!!

    12. #49
      Mziba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th February 2010
      Posts : 228
      Rep Power : 517
      Likes Received
      34
      Likes Given
      73

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Quote By Rogie
      Sasa utajuaje Kiingereza ilhali hata kiswahili chakupa tabu..MAIMUNA maana yake ni nini? Ni MAIMUNA au MAAMUMA.!!?
      Anayekwenda Uingereza ili imsaidie ajue kiingereza nae ni bure tu, kila kitu kinawezekana tu ukitilia mkazo..sisi wengine tumeishi hapa hapa TZ lakini kiingereza tukiongea kinaeleweka based on grammar and syntax. Kuna namna mbili ya kufahamu lugha ya kigeni
      1. Ishi katika mazingira yao ukijifunza hyo lugha.
      2. Soma sana vitabu vyenye lugha hiyo..kwa lugha nyingine inabdi uwe na muongozo wenye lgha yako.

      Nilichojifunza mm ni kuwa sisi ni wavivu sana kwenye kusoma vitabu iwe kiswahili au kiingereza.
      Quote By Pwito
      Mkuu unajitapa umeishi hapa bongo wakati hata MAIMUNA hujui na unafikiri unanisahihisha mimi? Ngoja nikusaidie kwenye miaka ya mwanzoni mwa 90 ilianzishwa shule ya kiingereza kama sikosei wakaitangaza kwenye radio na tangazo lao lilibeba jina la yule asiyejua Kiiingereza anaitwa MAIMUNA basi kuanzia hapo ilikuwa kama Kiinglish hakipandi unaitwa Maimuna. Ni kama leo ilivyo Kayumba. Usikejeli kama hujui labda enzi hizo hamkua na redio kwenu au kijijini kwenu zilikuwa zinakamata idhaa za nchi jirani tu.
      Ninyi nyote mmepatia kuhusu MAAMUMA na MAIMUNA.

      Katika kiswahili kuna Neno MAAMUMA na kuna Jina la kike linalooitwa MAIMUNA. Neno MAIMUNA lina maana kama vile MAAMUMA kulingana ufafanuzi wa Pwito.

      Kumbukeni, Wahenga walivosema "Kiswahili ni nyama ya tembo, ukiila huimalizi" na hii ni karibia kwa lugha zote. Hakuna haja ya kutoleana Kashfa.

    13. #50
      Mziba's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th February 2010
      Posts : 228
      Rep Power : 517
      Likes Received
      34
      Likes Given
      73

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Quote By Mwali
      We huwajui hao wanao zungumziwa hapa.
      Hata mimi nimeshawaona wakija leave.
      Mi mwenyewe english yangu ya kuunga
      ila nilijikuta namzidi kwa kiasi fulani yani.
      Halafu wanajaribu kuficha udhaifu wao huo
      kwa kuongea haraka with a fake british accent
      Nadhani tabia ya kuficha udhaifu wa kuelewa lugha, kinasababisha ulaghai (wa kufeki accent). Hii inasababisha waboronge zaidi. Lakini nafikiri wanatumia energy nyingi kuliko energy watayotumia kujifunza kiingereza. Vile vile, jamii wanayoishi inatakiwa uwahamasishe.
      Mwali likes this.

    14. #51
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,034
      Rep Power : 1417
      Likes Received
      610
      Likes Given
      44

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Sijui kama huwa wanenda Uingereza kujifunza kiingereza, kama wameenda kukaa hata mwaka mmoja kujifunza kiingereza na wanashindwa basi ni kicheko.

      Inategemea wameishi kule katika mazingira gani. Kama wameishi katika maizngira ya waswahili, na kuongea Kiswahili kila siku basi hawawezi kujifunza kiingereza.

      Mbona kuna watanzania wengi tu wamezaliwa hapa Tanzania na hawajui "Kitanzania" vizuri, hata hapa JF ukiangalia utaona kuwa sarufi, herufi na vingine ovyo kabisa.

    15. #52
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 5,867
      Rep Power : 26882
      Likes Received
      4366
      Likes Given
      4647

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Quote By Neema
      naona mjadala umegeuka vijembe,
      kazaneni na kasumba zenu,
      wakati kuna wenyewe wanaojiita english people na hawajui english,nyie wamatumbi ndio mnaona sehemu ya kupigana vijembe,kalagabaho....!!!!
      Mbona kama umeguswa mpendwa?
      hahahahaha
      Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
      Albert Einstein


    16. #53
      Kiranga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th January 2009
      Posts : 14,147
      Rep Power : 41574
      Likes Received
      6045
      Likes Given
      1056

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Kivyako-vyako, ah ah, kivyako-vyako, ah ah, kivyako-vyako
      Ras Pompidou

      Ajue Kiingereza, asijue, as long as hajanigongea hodi kunitwisha mzigo wake, na mie sijamgongea, ni poa tu.

      Sasa kama mtu akikwambia hayo ndiyo maisha aliyochagua, na labda kipaji cha lugha hana, utamwambia nini?

      After all lugha ni janga la taifa na Kiingereza chenyewe ni lugha fyongo kwa mtu aliyezoea lugha nadhifu kama Kiswahili (take it from George Bernard Shaw)

      Sitetei u-Maimuna, nakataa kukubali hii "lording it over them" kama a genuine concern.

      Kuna watu wanapenda kuwakoga wenzao tu, kwamba wamekaa Uingereza miaka yote lakini hawajui Kiingereza. Lakini katika kuwakoga hivyo wanataka tuamini kwamba wanasema hilo kwa noble reasons kama kukemea ujinga na kuwa genuinely concerned. Mbona hamtuambii mmewasaidiaje hawa "ndugu zetu" wasiojua Kiingereza?

      Mie mtu anayekaa miaka yote hiyo Uingereza bila kujua Kiingereza nampa heko maana inaonekana ana skills fulani zinazo transcend lugha, ama sivyo angesha fungasha.

      Halafu ananipa afueni sipati competition zaidi katika ubebaji makasha.
      Allow others to say their say, but always say your piece, it's only right.


    17. #54
      kichwat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2010
      Posts : 1,043
      Rep Power : 691
      Likes Received
      215
      Likes Given
      24

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      mleta mada, nani kakwambia swala akìishi na simba karne moja anageuka simba? Kujua lugha lazima UJIFUNZE lugha, hakuna osmosis.

    18. #55
      joramjason's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2011
      Posts : 253
      Rep Power : 447
      Likes Received
      48
      Likes Given
      3

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Ukve alikuwa anafanya kazi kituo cha kulelea viziwi na bubu

    19. #56
      Jestina's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 3,627
      Rep Power : 1447
      Likes Received
      845
      Likes Given
      350

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Quote By Mwali
      Mbona kama umeguswa mpendwa?
      hahahahaha
      wala sijaguswa....
      Mwali likes this.

    20. #57
      Mwali's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Location : Ushongo Mabaoni
      Posts : 5,867
      Rep Power : 26882
      Likes Received
      4366
      Likes Given
      4647

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Quote By Neema
      wala sijaguswa....
      Usijali mpenzi, nakuchokoza tu... Mmmwaaaaah!
      Neema likes this.
      Great spirits have always encountered violent opposition from mediocre minds
      Albert Einstein


    21. #58
      susu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th April 2008
      Posts : 36
      Rep Power : 572
      Likes Received
      4
      Likes Given
      18

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      Sometime I don’t understand what wrong with us, is not how long you have been leaving in uk to speak or write properly it’s all about how you willing to learn ,even some English has grammar problem e.g.; English and Irish traveller some of theme can’t even write and yet nobody say anything .Accent its depend where you staying example people from Liverpool they got different accent with one from east London. As people adopted accent of where they leave so be it.when people from one community who share the same culture and language leaving together off Couse they will be happy to use their own language . Just start thinking about yourself if it happens you visit your friend or relative in UK would you speaks English with them? Suddenly not you will speak Swahili unless otherwise your friend is none Swahili speaker. The same thing happens to the people from reading and Leicester but surely will be some from that area who speak and write properly English.

    22. #59
      Richard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2006
      Location : LANGLEY
      Posts : 2,272
      Rep Power : 1098
      Likes Received
      490
      Likes Given
      1680

      Default Re: Uingereza miaka kumi lakini bado Maimuna

      My friend, you cannot adopt the accent unless you are under five years old, because that is where all children are tought how to master the language. Accent is something someone is born with so it comes naturally.

      But as an adult, you can learn to speak good English and improve your grammar as is important element of being good speaker.

      I totally agree with you that native speakers of a language can be fluent without being considered proficient.
      When thinking about my risk assessment, I always remember:
      HAZARD and the RISK .

    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...