Bunge letu la Leo.
Kuna Mbunge amewaasi mawaziri wa maji wakazane, wabunge wengine wakaguna.
This is really low for someone sitting in a parliamentary house to interpenetrate things in a street Language.
Bunge letu la Leo.
Kuna Mbunge amewaasi mawaziri wa maji wakazane, wabunge wengine wakaguna.
This is really low for someone sitting in a parliamentary house to interpenetrate things in a street Language.
Knowledge is knowing that a tomato is a fruit; wisdom is knowing not to put it in a fruit salad.
tatizo ni tasfiri tu hapo, kukazana ni kujitahidi lakini watu wamekitohoa mpaka sasa inaonekana ni tusi.
Nyie wakaazi wa Kagera mnawajibika MKAZANE sana kwenye migomba.
Na nyie wa Moshi MKAZANE kwenye mikahawa.
Hapa kuna tatizo gani ? Mbona ni normal language!
Indeed, this is very low. Watu wanaweza kucheka ila inasikitisha mbunge kutafsiri maneno, tena kutoka kwenye maneno ya kujenga, kupeleka kwenye maneno ya kijinga.
Information is not knowledge
Albert Einstein
Sijui kama mimi nilisikia vizuri au vibaya lakini nadhani hata M/kiti alimwomba arekebishe kauli yake! Lakini mbunge yule akaendelea kuongea na M/kiti hakumzuia tena.. Yaani we acha tu...
Jamani kina Roulette na wengine nani anakumbuka .... nadhani lilikuwa jukwaa la HHM .. Ambapo jamaa mmoja alianzisha uzi ambao within dk 5 umeshajaa pg 3!
Uliza sasa ilikuwaje.... Heading yake ilikuwa hivi... Kama kuna mtu anaweza akaitafuta URL yake...
''LEO NIMENUSURIKA KULIWA KWENYE TIGO PESA....''
Sasa ikawa kila anayeingia akisoma kidogo anamwambia badili heading, wakati kama mimi nilimwelewa vizuri tu... Wengine walidiriki kumwambia kuwa walikimbilia thread kwa fujo kumbe hakukuwa na cha maana... Wachangiaji walimwandama kama nini hadi akabadilisha heading,ingawa alikuwa discouraged sana! Na alilalamika sana kwa wachangiaji kuwa na mawazo potofu!
Yeyote aweza kuitafuta kwenye archives..
Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI:
Kaza
1 fasten, tighten.
2 emphasize.
3 fix. mfano: kazamwendo = speed up; kazaroho = persevere.
maneno yanayoendana nayo:
Kazia;
Kazika;
Kazana;
Kazwa.
Kazana
1 be firm.
2 make an effort, exert oneself.
maneno yanayoendana nayo: kazania; kazanisha.
Sasa kuna tusi gani hapo?
.
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Dotworld Hakuna tusi, isipokuwa msikilizaji/mtumiaji akiamua iwe hivyo.
ha ha ha... Judgement vipi kama ingekuwa hivi MKAZANE sana kwenye kilimo cha migomba...hapo tunaona kwamba neno moja tuu ukilitumia kwenye sentensi basi inalete maana isiyoyumbusha maana na kuleta maana tofauti.
"If I have seen further it is by standing on the shoulders of Giants" (Newton, 1675)
Nakumbuka hilo neno lilishawahi kutumiwa na Mama Kabaka wakati akiwa naibu waziri wa elimu,wabunge walicheka sana.Nafikiri baada ya hapo walienda ku-practice
kama sikosei spika Sitta alikataza hilo neno kutumika bungeni.
Follow Us Here