anayejua anambie
anayejua anambie
Modemu
King'amuzi kama ilivyo kwa decoder.
modem n modemu: kidude cha kuunganisha kompyuta na vifaa vingine kupitishia data.
source: TUKI
Kinasabishi lol
Kinaitwa modem tu hivyo
mabwepande
Kifanyio; eeeh hivyo hivyo
king'amuzi shirikishi........
Life is too short to waste time hating anyone.........
Preta kweli au unatudanganya?!
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Kisafirisha data
Kinaitwa 调ઉપકરણ 制 કે એનાલોગ解ઉપકરણ调સંકેત器 વ....... Hahaaa natania !!
(Kifaa kinacho badilisha mawimbi ya Ishara ya analog na kutafsiri/ kufanya taarifa )
hahaa! sifikiri kama kuna neno rasmi la kiwahili, nimejaribu kufikiri tokea jana na leo nakutumia neno hili:- Neno jipya Ni "kichakatamtandao" = "Kichakatando"
Kisimi-kwa
Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.
kisababisha mn'gamuo.
Kibuzi mtandao
Follow Us Here