maana hapa tanzania km haujui english, jamii inakuona hauna elimu
maana hapa tanzania km haujui english, jamii inakuona hauna elimu
Na angalia usiongee kidhungu kilichovunjikavunjika. Bongo ukikamatwa na traffic jidai hujui kiswahili one atakavyokuachia fast a,lol
I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou
Wote wenye mtazamo huo wana urazini haba, si waelewa asilani!!!! Elimu ni ujuzi, maarifa, stadi na mwelekeo ambavyo ni silaha tosha kwa mwanadamu awaye yote kukabiliana na mazingira yake. Kiingereza ni lugha tu. Ni lugha kama ilivyo lugha ya Kinyambo, Kilingara, Kijaluo, Kiha au Kiswahili. Kuwa mzungumzaji mzuri wa lugha hizo si ishara kwamba wewe u mgenzi!
Kuzungu ni lugha kwani france hawaongei kizungu kwani hawana elimu jivunie, usiwe kama huku kwetu kenya tumepoteza muelekeo kabisa na kizungu
weeeeeeee, usiseme hivyo. ndio nakubali kwamba ufahamu wa kiingereza is not necessarily a prerequisite for a good job, education blah blah, but kwa haya maisha tunayoishi, good knowledge and comprehension (read mastery) of the English language is an evil necessity that must be adhered to. kudos to our kenyan counterparts for cultivating a rich (and almost brutal) culture of bettering oneself in the aforementioned language
"I am doing that which I cannot do, in order that I may learn how to do it." -Picaso
"I trust everybody, it's the inside them that I don't trust." Stella (the Italian Job)
TOPIC imeulizwa kiswahili, halafu ankuja mtu ohhh sijui kusoms and shules bla bla , changia hoja kwa lugha ya swali,
Nobody wants to know if you can or cant speak english, bro thats mental slavery, japan wameendelea sana na hawaongei kiingereza, na china na waarabu na kadhalika, waafrika wametekwa kiakili toka mkoloni, na kama unavyoona watu wanavyochangia hapa. jivunie lugha taamu ya kiswahili na watu watakuheshimu.
Bwana Uchumi, kutokana na mfumo wa elimu hapa Tanzania, masomo 'karibu' yote yanafundishwa kwa kimombo, so kama una shahada yako moja au mbili hivi kisha hujui 'kidhungu', utaonekana ktk jamii kama kilaza, na kweli kilaza kweli kweli! Why? Kwasababu lugha ilitumika kukufundisha wewe ni ...
Follow Us Here