je hiki ni kiswahili sanifu??????unaenda kumuulizia fulani halafu unamkosa. unamwambia mwingine ''nimemkuta hayupo''.naendaga, namwonaga, simpendagi.sufuria au sifuria????tiyari au tayari????
je hiki ni kiswahili sanifu??????unaenda kumuulizia fulani halafu unamkosa. unamwambia mwingine ''nimemkuta hayupo''.naendaga, namwonaga, simpendagi.sufuria au sifuria????tiyari au tayari????
wee unaonaGAje?
No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria
.
Kongosho AnaonaGAje? ... naniJE?!
Anyway, Blue G hicho hapo juu ni kiswahili cha mtaani kinachoitwa "kiJEjeJE"
Mfano utamsikia mtu anasema ...
NimekumisiJE?
NampendaJE?
NimenunaJE?
WatajibebaJE!
NimechokaJE!
Wajuzi wengine huenda mbali mpaka hata majina ya watu wanayaweka katika kiJejeJE
Mfano:
KongoshoJE!
NaniJE
Au
WapiJE!
HelaJE!
.....................
Life was Simple When Apples and Blackberries were Just Fruits
Wee DotworldJE, unanitakaje?
No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria
kiukwelije hicho kiswahili nimekipendaje??????ila kwa nyongeza kuhusu kisw cha Kongosho kipo sana maeneo ya usoukousss.sasa sijui kama ni sanifu au la,mengine tuwaachie bakwata watayajadili wenyewe.
we Kongosho mbona mkorofije hivyo????????
Vilugha vya mtaani viso usanifu wowote hivyo..almaarufu sana huku kwatu.sheng' waitavyo wenyewe.
nakupendapo....,sikumkutapo... naombapo.
Follow Us Here