nimekutana na hili neno ugatuaji madaraka,ninaomba mwenye kujua maana au tafasiri yake anijulishe
Mwenzetu
nimekutana na hili neno ugatuaji madaraka,ninaomba mwenye kujua maana au tafasiri yake anijulishe
Mwenzetu
Last edited by Mwenzetu; 26th June 2012 at 09:59. Reason: Spelling
"It takes two to make a quarrel and the one in the wrong side does the most talking"
Kujichukulia madaraka
(mie nimeenda na swaga tu lakini)
No matter how hot your anger is, it can not cook yams-Nigeria
.
Mkuu Mwenzetu ... hili neno huwa linawapa sana watu shida ... ila mara nyingi hutumiwa zaidi Kenya.
Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI
gatu.a kt [ele] ~ madaraka decentralize
decentralize vt gatua madaraka; (of govt.) toa madaraka mikoani. decentralization n.
Kwa hiyo UGATUZI ni decentralization
Maneno mengine yanayoendana nalo ni kama
gatulia, (tdew) gatuliwa; (tdk) gatuka; (tds)gatusha.
Naona hata Kongosho alitoka kapa .... hiyo ndio maana yake
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
.
Mkuu Mwenzetu naona unanipa sifa nisizostahili!
Tafsiri hiyo nimekuletea "kwa hisani ya watu wa TUKI"!
Hao ndio wanastahili pongezi! kwa kutoa Kamusi hiyo
By the way nimeshawahi kuiposti hiyo Kamusi hapa JF ... unaweza kui-download
Tafsiri nyingi za maneno utayapa katika KAMUSI ukishindwa ndio uje hapa Jamvini
KAMUSI (Dictionary) ya TUKI ... download
Kiswahili kwenda Kingereza na Kingereza kwenda Kiswahili.
Link yenyewe ni hii hapa (download):
http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/TUKI_Eng-Sw-Eng_Dictionary.zip
Kongosho gfsonwin
N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie.
.
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Follow Us Here