| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 505
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
leo kutwa nzima practise mambo mazuri na fikiri sana ni namna gani pepo ilivyo.....kutwa nzima.....sio part of the day..kutwa nzima..
then kuota ndoooto ndeeeeeeeefu ni uongo maana ndoto ni dakika moja ikizidi unakufa....sasa sijui tukombee kwa stail gani.
__________________
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu........." |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mimi naona ndoto yako imeshatimia,
Hayo maneno yako hapo juu yanakupa beti kama nne hivi, sasa cha msingi tafuta chorus then jazia instrument, nakuhakikishia utauza kitu hicho. Na hiyo ndiyo itakuwa ndoto ndefu sana na itakutoa vilevile!!!!! Changamkia
__________________
'Tough times never last but tough people do' Dr. Robert Schuller |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Kumbuka siku ya kwanza ulipokubaliwa penzi. Yaani jinsi ulivyoshushwa chap chap, jinsi huyo mpenzi alivyokusumbua,,,,jinsi kiuno kilivyokuuma wakati uanatongoza,,,,yaani kama ulikuwa bush majani mliyoyakata siku hiyo,,,,yaaaaaaaani yaaaaaaani cjui!
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ndoto yangu sasa inatimia' kwani niliyowaza kila nkilala yanijia' nisomapo mliyoandika nasinzia' mmh! hizi ndoto zitajaza dunia' mwanzo nilidhani zanikimbia' kumbe zetu watanzania' wa kuimba nimekusikia' wa kiuno pia wankumbusha ukiwa nikikumbuka nyasi zilivyoumia' ama kweli ukistaajabu akhera utaona dunia' ndoto ni kama mashua ukipanda au ukiota zitakua' amani kwenu wanandoto dhahania' tuko pamoja kama kiyama na hii dunia' tukutane tena wabia!
|
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
LOl
__________________
I am on the move... |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
Shukran |
||||||||||||
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Aliwazalo mjinga ndio litakalotimia!
|
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nakuhakikishia utaota mafisadi wote tumewasweka kwenye karandinga na kuwapeleka Keko!!! Now would that be a nightmare or a sweet dream?... Let your intepretations run wild!! |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Natamani kukwambia jambo lakini, roho inasita, nway next time
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 02:13 AM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||