Heshima kwenu wakuu, ninawiwa kujua maana ya neno 'dhaifu' kwa wale mnaofahamu.
Heshima kwenu wakuu, ninawiwa kujua maana ya neno 'dhaifu' kwa wale mnaofahamu.
Dhaifu hasa kwa upande wa kiongozi ni yule mwoga au mzembe wa kutoa maamuzi kwa wakati. Mara nyingi mtu wa aina hii hupenda Ku-blame watu wa chini yake ambao pia ana madaraka na maamuzi yote juu yao. Kama ni ugonjwa, unaweza kusema kwamba huyu mtu anaumwa UMAMWI (Upungufu wa Maamuzi Mwilini)
TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA
Maana ''dhaifu'' = Ni kitu kisicho na mashiko, isiyo kuwa na sifa, isiyovutia, enye afya mbovu, iliyokosa unono, namna duni duni, isiyo na uwezo au nguvu, isiyo kakamavu nk
Mkuu OGOPASANA
Naomba nitoe maana kwenda kwa Kingereza.
Kwa mujibu ta KAMUSI ya TUKI
dhaifu* kv
1. faint, weak, feeble, spineless; decrepit.
2. of poor quality, frail, deficient, base.
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Dhaif: A hadith that lacks the attributes of the sahiih and hasan and is therefore not acceptable as daliil.
Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te
Dhaifu maana yake ni Kikwete...
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
DHAIFU KWA MAANA NYINGINE NI TABASAMU,CHEKA,FURAHI KWA KILA KITU,UHANDSOME BOY,SAFARI NYINGI MAMTONI MPAKA UNAZIMIA KWENYE NDEGE MARA KUMI,KUPIGA PICHA NA BECHAM NA 50 CENTS,PIGA PICHA NA BOYS 2 MEN,HUDHURIA MISIBA MINGI NA ELEKEZA MAHAKAMA HUKUMU YA KUSOMA KWENYE MATOKEO YA UBUNGE KAMA ARUSHA NA SEGEREA,TOA AHADI NYINGI ZISIZOTEKELEZEKA NA KUANGUKA KWENYE MIKUTANO KAMA JANGWANi
ONLY WISE MAN CAN PLAY THE MELODY OF LIFE
Dhaifu pia ni kuanguka anguka kwenye mikutano kama jangwani na kwenye ndege ukiwa unavisit mamtoni
ONLY WISE MAN CAN PLAY THE MELODY OF LIFE
DHAIFU = sio RIZIKI..!
POLITICIAN, ONE WHO SHAKES YOUR HAND BEFORE ELECTION AND YOUR CONFIDENCE LATER
Ni kumfunga/ kuwafunga watu jela maisha kisa wivu wa mapenzi( babu sea).
poyoyo!
Ngoja nimpigie Mh.Mnyika then nitawajuza...
The world suffers a lot. Not because of the violence of bad people, but because of the silence of good people!
kabisaaaaaaaa
Follow Us Here