Niaje Great thinkers? Munaonaje tukajikumbusha methali, nahau n.k coz nina hofu zinaanza kutoweka gradually!
Kwa kuanzia natoa methali híi:
Kombe la mungu liwazi.
Nasubiri majibu wakuu!
Then, kama unazo basi lets share.
Niaje Great thinkers? Munaonaje tukajikumbusha methali, nahau n.k coz nina hofu zinaanza kutoweka gradually!
Kwa kuanzia natoa methali híi:
Kombe la mungu liwazi.
Nasubiri majibu wakuu!
Then, kama unazo basi lets share.
Hiyo ni methali au kitendawili?
Mficha uchi hazai!
Hicho mkuu ni kitendawili jawabu lake KISIMA
Lakini muuza ugoro nafikiri ukitoa msamiati usimalize ili mdau ajibu
Mfano Mficha uchi.....? baadae jawabu HAZAI.
Sasa na mimi natuma vya kwangu
Kitendawili..?
1. kuku wangu kalalia mibani? ......
Methali:
Mwenda tezi na omo?..............
Ikiwa hujui kufa tazama kaburi!
Najibu:
Mwenda tezi na omo_ marudio ngamani.
Kuku wangu kalalia mibani...Nanasi!
Malizia methali: dunia hadaa .....
Jamani hii sijui niitaje,"Ana nne,yuko juu ya nne na anangoja nne".Mwenye kujua jibu anijibu.
Simba mwenda pole...iko gonjwa kama si gonjwa basi *******
Mtaka cha uvunguni...Pindua tanda taona
Asiyesikia la Mkuu...chapa yeye
Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action
futi kafutika futi,na futi kafutika futi na futi kafutika futi.kitendawili hiki
Ng'ombe wa masikini hazai,hakizaa dume tena dume lenyewe shoga!
KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE
Umepata
Najibu
Dunia hadaa - Ulimwengu shujaa.
Tunaendelea
Kitendawili: Hogo haliogoki ila kwa hogo lenzake....
Methali: 1. Baniani mbaya .............
2. Hamna hamna..............
Tawala ngumi, linda ulimi.
Bura yangu sibadili na rehani.
tumbi tumbi...............
mm nyumba ya udongo.......................
chanda chema........................
Follow Us Here