Niaje Great thinkers? Munaonaje tukajikumbusha methali, nahau n.k coz nina hofu zinaanza kutoweka gradually!
Kwa kuanzia natoa methali híi:
Kombe la mungu liwazi.
Nasubiri majibu wakuu!
Then, kama unazo basi lets share.
Niaje Great thinkers? Munaonaje tukajikumbusha methali, nahau n.k coz nina hofu zinaanza kutoweka gradually!
Kwa kuanzia natoa methali híi:
Kombe la mungu liwazi.
Nasubiri majibu wakuu!
Then, kama unazo basi lets share.
Choko choko mchokoe pweza....
La kuvunda.....
Papo kwa papo.....
Ukiona vyaelea.....
Kitendawili....teega..juu majani,katikati kuni na chini chakuka..
Methali methali? Mchekecho ujao.......?
Mwenda pole hajikwai
Panua paja mkwaju upite...
Au hii haipo??
sredi imevamiwa
Haba na haba....
Mgagaa na upwa,,,,,,,,,,,,
usiache mbachao......... Usitukane wakunga.........Akutukanae mchana.......... Ukiyastaajabu ya musa............ Mchumia juani..................usiache mbachao.........
Zimwi likujualo..........
Mdharau mwiba.............
Chokochoko chokonoe........
Dua lakuku.....
Vitendawilisasa
kaa huku nikae kule tutupe mawe pangoni..........
Hausimiki hausimami.....
Popoo mbili zavuka mto.....
asiyesikia la mkuu....,.ana lake jambo
mtaka cha uvunguni..,....akifate uvunguni
aliye juu....mleteeni ngazi
haba na haba....tunapata mahaba
mgaagaa na upwa....afi mpweke
Kitendawili: pochi ya mama ina nywele JIBU LAKE....
Follow Us Here