Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

    Report Post
    Results 1 to 12 of 12
    1. #1
      Mohamedi Mtoi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th December 2010
      Location : Lushoto - Kwemakame.
      Posts : 2,052
      Rep Power : 24549
      Likes Received
      3133
      Likes Given
      354

      Default Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Wakuu.
      Natambua heshima ya hali ya juu ya jukwaa hili ikiwa ni pamoja na kuwa daraja la kupitisha habari na taarifa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.

      Hata hivyo mara kadhaa hapa jamvini kumekuwa na matumizi ya lugha zenye ukakasi na nyingine zikiwa na ncha kali kana kwamba hazitoki kwenye mitima ya Ma great thinkers. Wakati mwingine huwa napata tabu kuwa huenda jamvi linakosa udhibiti na kuvamiwa na watoto walio kosa staha na ku sheheni lugha za kule fb au lugha za balehe na kuvunja ungo.

      Unakuta great thinker anakuja kutaka msaada mathalani wa kuchagua kozi anasema ame maliza XUL, hivyo anataka ku-join VACITY. Au unakuta kwenye mjadala wa maana mtu anachangia HABARI YAKO BHANAA! Nk.

      Naomba ukimaliza kusoma uzi huu weka mifano ya lugha usizopenda zitumike kisha mkanye mwingine ili asi tuchafuliwe na kuonekana wote ni walewale.
      Oluoch likes this.

    2. Miaka 50

    3. #2
      ZeMarcopolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2008
      Posts : 7,170
      Rep Power : 5034
      Likes Received
      2410
      Likes Given
      2224

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Aisee Mudi umexema ukweli xana. Hi ni noumer 2kiwa katika forum ya gr8 thinkers.
      2ko pa1.
      Yo Yo likes this.
      "To greed, all nature is insufficient"

    4. #3
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,967
      Rep Power : 8266
      Likes Received
      2671
      Likes Given
      3648

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Quote By ZeMarcopolo
      Aisee Mudi umexema ukweli xana. Hi ni noumer 2kiwa katika forum ya gr8 thinkers.
      2ko pa1.
      mwingine huyu.huwa nakereka kama Mohamedi Mtoi
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    5. #4
      ZeMarcopolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2008
      Posts : 7,170
      Rep Power : 5034
      Likes Received
      2410
      Likes Given
      2224

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Quote By platozoom
      mwingine huyu.huwa nakereka kama Mohamedi Mtoi
      We2 hujaelewa maaner yangu.
      Yo Yo likes this.
      "To greed, all nature is insufficient"

    6. #5
      Omonto wa-hene's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 149
      Rep Power : 389
      Likes Received
      39
      Likes Given
      37

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Platozoom, huyu Marcopollo anajaribu kuonesha mifano ya matumizi mabovu (soma maovu) ya lugha ya Kiswahili hapa jamvini. Kusema ukweli ni matumizi yanayokera. Yanakera hasaa!

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      MWENDAKULIMA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th July 2009
      Location : Partout
      Posts : 478
      Rep Power : 596
      Likes Received
      98
      Likes Given
      92

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Nakumbuka wakati fulani invisible alizungumzia hii issue ya hawa fab-turned-jf members na lugha zao za kitoto.Alisema kama hawa watoto wataendelea na hizo lugha tunatakiwa kuclick "report abuse" lakini nadhani watu hawajazingatia sana.Personally nakerwa sana na aina hiyo ya uandishi
      Last edited by MWENDAKULIMA; 3rd June 2012 at 16:33. Reason: typo

    9. MTK
      #7
      MTK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th April 2012
      Posts : 928
      Rep Power : 4494
      Likes Received
      300
      Likes Given
      329

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Quote By Mohamedi Mtoi
      Wakuu.
      Natambua heshima ya hali ya juu ya jukwaa hili ikiwa ni pamoja na kuwa daraja la kupitisha habari na taarifa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.

      Hata hivyo mara kadhaa hapa jamvini kumekuwa na matumizi ya lugha zenye ukakasi na nyingine zikiwa na ncha kali kana kwamba hazitoki kwenye mitima ya Ma great thinkers. Wakati mwingine huwa napata tabu kuwa huenda jamvi linakosa udhibiti na kuvamiwa na watoto walio kosa staha na ku sheheni lugha za kule fb au lugha za balehe na kuvunja ungo.

      Unakuta great thinker anakuja kutaka msaada mathalani wa kuchagua kozi anasema ame maliza XUL, hivyo anataka ku-join VACITY. Au unakuta kwenye mjadala wa maana mtu anachangia HABARI YAKO BHANAA! Nk.

      Naomba ukimaliza kusoma uzi huu weka mifano ya lugha usizopenda zitumike kisha mkanye mwingine ili asi tuchafuliwe na kuonekana wote ni walewale.

      Good observation; hapa panatakiwa kuwa mahali patakatifu ambapo watu wananufaika kwa kushare ideas, opinions na ushauri wa aina mbalimbali jambo ambalo lingetufanya washiriki wote tunufaike kwa aina moja au nyingine, kashfa na lugha chafu kwa kweli zina defeat the whole purpose and objectives of this forum, kwa mwendo huu the real great thinkers watakwepa kushiriki hapa and we all become loosers if not orphans, nafikiri wahusika wajaribu kutafuta uwezekano wa kupitia na kuevaluate posts zote kabla hazijawa published. GOOD FOOD FOR THOUGHT MOHAMED MTOI; Kudos!

    10. #8
      platozoom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2012
      Posts : 3,967
      Rep Power : 8266
      Likes Received
      2671
      Likes Given
      3648

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Quote By Omonto wa-hene
      Platozoom, huyu Marcopollo anajaribu kuonesha mifano ya matumizi mabovu (soma maovu) ya lugha ya Kiswahili hapa jamvini. Kusema ukweli ni matumizi yanayokera. Yanakera hasaa!
      Omonto wa -hene nimekupata............haya mbane
      "Education is something that remain in your head after forgeting what you learn at school"

    11. #9
      Badu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 350
      Rep Power : 421
      Likes Received
      55
      Likes Given
      41

      Default

      Quote By Mohamedi Mtoi
      Wakuu.
      Natambua heshima ya hali ya juu ya jukwaa hili ikiwa ni pamoja na kuwa daraja la kupitisha habari na taarifa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.

      Hata hivyo mara kadhaa hapa jamvini kumekuwa na matumizi ya lugha zenye ukakasi na nyingine zikiwa na ncha kali kana kwamba hazitoki kwenye mitima ya Ma great thinkers. Wakati mwingine huwa napata tabu kuwa huenda jamvi linakosa udhibiti na kuvamiwa na watoto walio kosa staha na ku sheheni lugha za kule fb au lugha za balehe na kuvunja ungo.

      Unakuta great thinker anakuja kutaka msaada mathalani wa kuchagua kozi anasema ame maliza XUL, hivyo anataka ku-join VACITY. Au unakuta kwenye mjadala wa maana mtu anachangia HABARI YAKO BHANAA! Nk.

      Naomba ukimaliza kusoma uzi huu weka mifano ya lugha usizopenda zitumike kisha mkanye mwingine ili asi tuchafuliwe na kuonekana wote ni walewale.
      Kweri umenena aixee

    12. #10
      Badu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 350
      Rep Power : 421
      Likes Received
      55
      Likes Given
      41

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Xaxa kwn n n tatixo?

    13. #11
      princess enny's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 953
      Rep Power : 889
      Likes Received
      339
      Likes Given
      324

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      kukatisha maneno sio tatizo!! kheri tungewasema wale wanaotukana!wale ndio wanao shusha hadhi ya jukwaa!

    14. #12
      simplemind's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2009
      Posts : 2,845
      Rep Power : 1155
      Likes Received
      508
      Likes Given
      0

      Default Re: Matumizi ya lugha zinazo shusha hadhi ya jf.

      Tatizo sms na twitter pia huwezi kuzidisha character 140 hivo inabidi kufipisha baadhi ya maneno.

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...