Nisaidieni maana ya hiyo sentensi hapo juu tafadhali.
Nisaidieni maana ya hiyo sentensi hapo juu tafadhali.
najaribu, inafanana na aliye juu mngoje chini.
"watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra" Mh.G.Lema
Mimi mwenyewe ameniuliza mtu,sielewi kabisa. Kama kuna mtu mwenye jibu tofauti ambalo ni sahihi,aliweke!
Jamani humu hakuna hata waalimu? Hili swali lilitoka kwenye mtihani wa mock std 7 mwaka 2008 mkoa wa kilimanjaro.
Bado nawalilia waalimu na wataalamu wa lugha ya kiswahili! Msaada tafadhali.
.
Mkuu Msafiri Kasian nafikiri ungemtafuta mtu mmoja humu jamvini anaitwa Omonto wa-hene nafikiri anaweza kukusaidia ... maana anaonekana ni mjuzi mzuri wa Kiswahili
.
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Da! Amaa kweli lugha ya Kiswahili ni ngumu! Kama vp tuwatafute walimu wa mkoa wa Kilimanjaro wasaidie kujibu hili swali.
Msafiri ondoa shaka,
hiko ni kitendawili kinachopatikana ndani ya riwaya moja hv,(bht mbaya nimeisahau jina)
inasema hv:
Miguu minne yuko juu ya miguu minne,anamsubiri miguu minne aje kumla.
Na jibu la kitendawili hiko ni
Paka yuko juu ya meza,anamsubiria panya aje kumla.
Sawa mkuu?
Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다
Follow Us Here