Kiswahili rasmi cha Laptop ni Dadavuzi Mpakato! Tafadhali wafahamishe na Waswahili wengine
Kiswahili rasmi cha Laptop ni Dadavuzi Mpakato! Tafadhali wafahamishe na Waswahili wengine
Naenda kusema kwa dada
haya nukushi ni nini kiingereza ukipata jipigie makofi tafadhali
OK! Dadavuzi mpakato
Netbook itaitwa Dadatupu mpakato nadhani.
Last edited by Nguruvi3; 30th April 2012 at 05:32.
chanzo??????????????????/
Ukipepeta Pumba Tunachagua Chuya
Laptop ni NGAMIZI PAKATWA sio hilo cjui dudu gani pakatwa.
naona wengi tumechanganywa na neno dadavuzi. nafikiri neno hilo linajaribu tu kueleza kuwa chombo hicho kina uwezo wa kudadavua. that is kama hilo neno ni tafsiri ya kweli ya neno la kiingereza, laptop.
Follow Us Here