| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 2015
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Zabibu lako halizidi langu
Utamu wake washika hatamu Kwa mbali lafanana na zambarau Lapatikana kule Lamu Kwingineko ni adimu Wengine wasema ni haramu Mimi na yeye latupa hamu Na sasa tu damu damu Nitarudi baadae........
__________________
Miafrika Ndivyo Tulivyo!! You are talking loud but saying nothing! Last edited by Nyani Ngabu; 8th March 2009 at 11:00 PM.. |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ni tamu hilo la kwangu,
Nafyonza kivyanguvyangu, Ni tamu kuliko Changu Nimelirundika chungu! ... litaendelea...
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Ni tamu hilo la kwangu,
Nafyonza kivyanguvyangu, Ni tamu kuliko Changu Nimelirundika chungu! Siyo tunda la kizungu, La Uru siyo Marangu, Nalamba vidole vyangu, Naruka kama kulungu! ... litaendelea...
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Si kwamba nawapa shua,
Ni kweli ilotukuka Matunda tunayojua Ni mengi yasiyolika Toka kule misituni Hadi hapo bustanini Yanolika milimani Au yale ya mwambaoni Hata kama lamegeka Si lazma lakuvundikwa Dodo linalonyonyeka Tayari l'meshikwashikwa ...Ha!...
__________________
Lester Brown...wtf!!! Last edited by Suki; 9th March 2009 at 04:47 AM.. |
|
#6
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nimerudi nimerudi
Kama Nilivyoahidi Wauliza toka wapi Gulioni mchikichini Kufanya nini nilienda Kutafuta tunda nalolipenda Tunda lile lenye kulika Wengine hukataa kulila Ni chachu kama ukwaju Utamu wake kama changu Ni kama umenyweshwa sumu Ulionjapo japo kiduchu
__________________
Miafrika Ndivyo Tulivyo!! You are talking loud but saying nothing! Last edited by Nyani Ngabu; 9th March 2009 at 03:57 PM.. |
|
#7
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Suki nimekusikia
Na Nyani nakubalia, Tungo zilizotulia Matunda mnayosifia! Bado hamjafikia, Zabibu ninalosifia, La kwangu lilivyotulia, Jinsi linaning'inia! Jekundu lililoivia, Utamu najisikia, Ulimi najing'atia, Jinsi ninalibugia! Kicheko najiachia Mguno najisikia Raha ninajipatia, Zabibu namumunyia! ... litaendelea...
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#8
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
hahahaahh auwiiiiiiiii! you all people are killing me with mashairi yenu for god sake sikujua kama cupcake wangu yupo so creative na yeye kwenye mambo ya mashairi..dang cuzin upo hapo so far?....
__________________
Nothing shall delay my miracles!... |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Nimeona vitu vyake si utani anajitutumua.. we have to keep him if for no other reason..
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Heheheheee....ndio bana imenibidi na mimi nitunishe kidogo vimisuli vyangu....lol
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 07:57 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||