Habari,
Jamani huu msemo unaotumika sana kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuwalinda watoto hivi upo sahihi?
Habari,
Jamani huu msemo unaotumika sana kwenye vyombo vya habari kwa ajili ya kuwalinda watoto hivi upo sahihi?
Ina utata kwa vile inataka wewe ushirikiane na fataki kuwakinga uwapendao kumbe dhana halisi ni kumzuia fataki. Pia udondoshaji usio lazima umefanyika ktk neno "wakinge" badala ya "uwakinge". Nawasilisha.
Mi naona wanatakiwa waseme (WAKINGE UWAPENDAO DHIDI YA FATAKI)
kwenye red panahusika
If You Get Them by Their Balls,
Their Minds and Hearts will Follow
Kweli nine "DHIDI" ndio lingeweka maana sawa, hapo sentensi ya juu inamaanisha fataki nae tumkinge.
Follow Us Here