JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 29 of 29
  1. ITEGAMATWI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th January 2012
   Posts : 3,183
   Rep Power : 614870
   Likes Received
   1110
   Likes Given
   1806

   Default Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   Wadau huwa najiuliza kila siku bila kupata jawabu!Hv ilikuwaje Portugal ikaitwa Ureno kwa kiswahili jina ambalo haliendani hata kidogo na jinsi wao wenyewe wanavyoiita nchi yao? Nimekuwa nikiangalia mfano wa nchi nyingine zinavoitwa kwa Kiingereza au wao wenyewe nimeona kwa kiasi fulani majina yanashabihiana na sisi tunavyoyaita;Mfano:- England - Uingereza. America - Marekani. Spain - Uhispania. Egypt -(Masr) wenyewe wanavyoiita!Misri kwa kiswahili! etc Hebu naomba mnisaidie wadau hii ilikuwaje? Nawasilisha!!!
   kotinkarwak likes this.


  2. ITEGAMATWI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th January 2012
   Posts : 3,183
   Rep Power : 614870
   Likes Received
   1110
   Likes Given
   1806

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   Quote By Chamoto View Post
   Hii inatikana na wakati gani siku huanza kwa wenzetu. Kwa wao siku mpya huanza saa sita na dakika moja usiku (00:01) kwa hiyo saa moja asubuhi ni masaa saba (7.00 Anti Meridian) tangu siku ianze.

   Kwasisi waswahili siku huanza jua linapochomoza, kwahiyo saa moja asubuhi ni lisaa limoja tangu jua lichomoze (saa 12 asubuhi). Tulifanya hivyo kwasababu katika ukanda wa ikweta tuna masaa 12 ya mwanga na 12 ya giza, mwaka mzima. Wenzetu wasinge weza kutumia kigezo cha jua kwakuwa muda wa jua kuchomoza na kuzama hubadilika kutokana na majira

   Ok!Nimekusoma mkuu!Hii kitu inachanganya sana yaani huwa najichanganya sana sometimes!!

  3. MAMMAMIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Near You
   Posts : 3,827
   Rep Power : 3389
   Likes Received
   1519
   Likes Given
   1261

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   Quote By Safari_ni_Safari View Post
   Sahihisho........gari ni neno linalojitegemea na tumekopa kwa wahindi...just like baba
   Asante sana Mkuu kwa mafahamisho. Bado kuna uwezekano kuwa neno *gari limetokana na *car, hasa ikiwa gari limeingia katika Kiswahili kutoka Wahindi ambao wao kama sisi tulikuwa makoloni ya Mwingereza. Maneno baba (papá) au mama (mamá) nilikuwa ninafikiri yametokana na kilatini.
   *Ni dhana yangu tu, sina uhakika wowote.
   "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

  4. Goodrich's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2012
   Posts : 1,201
   Rep Power : 864
   Likes Received
   455
   Likes Given
   87

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   Kiranga umetoa mwanga mahususi kuhusu sisi wabantu kutumia neno Ureno. Ikiwezekana kuwasiliana na mamlaka za kiswahili kubadilisha matumizi na kuacha kutumia neno Ureno maana kumbe haileti maana.
   Reign=Ufalme=Ureno=Reigno
   Regno de portugal= ufalme wa portugal

   Thanks!
   Wisdom comes by Listening !

  5. mtu kitu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 172
   Rep Power : 572
   Likes Received
   43
   Likes Given
   8

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   kuna vitu vyengine havizingatii sheria wala kufata nasaba...ila wazo hili la GOODRICH nalikubali .
   waingereza na wafaransa wanaiita moroko ,ila wenyewe wanaiita MAGHRIB, Je pana uhusiano wa majina hayo ?? Zamani Uholanzi ilikuwa ikijulikana sana kwa jina la Udachi, ila wao wenyewe hawalifahamu neno hili kwani lina nasaba na ujerumani na sio wao.

  6. ZeMarcopolo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th May 2008
   Posts : 13,264
   Rep Power : 141699879
   Likes Received
   5738
   Likes Given
   5340

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   Portugal ilizaliwa katika karne ya 12 baada ya kujitenga toka kwenye Kingdom ya Leon. Wazungumzaji wa lugha ya kiswahili wana tabia ya kuchanganya matamshi ya "r" na "l". Inawezekana jina la Ureno limetokana na Kingdom ya Leon ambayo ndiyo lililokuwa jina la Portugal kabla ya kujitenga.
   "To greed, all nature is insufficient"


  7. Tusker Bariiiidi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2007
   Location : Sinza Dar es Salaam.
   Posts : 4,532
   Rep Power : 1639
   Likes Received
   725
   Likes Given
   257

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   Motor car- MOTOKAA.

  8. Jagermaster's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th November 2010
   Location : Echtenstein
   Posts : 658
   Rep Power : 693
   Likes Received
   269
   Likes Given
   202

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   Quote By mtu kitu View Post
   kuna vitu vyengine havizingatii sheria wala kufata nasaba...ila wazo hili la GOODRICH nalikubali .
   waingereza na wafaransa wanaiita moroko ,ila wenyewe wanaiita MAGHRIB, Je pana uhusiano wa majina hayo ?? Zamani Uholanzi ilikuwa ikijulikana sana kwa jina la Udachi, ila wao wenyewe hawalifahamu neno hili kwani lina nasaba na ujerumani na sio wao.


   Hapo kwenye red unamaaana gani ndugu?. Mbona tuliohuku tunaona neno Dutch wanalitumia vizuri tu
   All things are subject to interpretation; whichever interpretation prevails at a given time is a function of power and not truth.

  9. mtu kitu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd April 2011
   Posts : 172
   Rep Power : 572
   Likes Received
   43
   Likes Given
   8

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   @@@Jagermaster
   Hoi ? Gaat het met je ? Ik heb noit DUTCH gehoord. Spreek je nederland ?maar niet DUTCH....

  10. Nyangomboli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th November 2010
   Location : Mwisenge
   Posts : 1,241
   Rep Power : 803
   Likes Received
   233
   Likes Given
   10

   Default Re: Ilikuwaje Portugal kwa kiswahili ikaitwa Ureno?

   Ushauri wa bure. Kiswahili kimetokana na Kiarabu kwa kiasi kikubwa sana. Hebu tafuta hayo maneno yako ufahamu kwa kiarabu huitwaje. Nadhani utapata jibu sahihi na utaelewa nini namaanisha mkuu.


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...