Re: Nini hasa maana ya utu?

By
Azimio Jipya
Tafsri sahihi ya UTU imekubalika kuwa ... ni UFAHAMU maalum usio patikana kwa wanyama au kiumbe kingine chochote unapotafsiriwa kupitia fikra kauli na vitendo vya MTU!!
UTU ... Ni Ufahamu!!
UTU .. sio hisia, wala fikra ...
Undani wa mwanadamu una madaraja matatu tu!!
AKILI, HISIA na UFAHAMU!!
Ufahamu ambao ndio undani wa juu kabisa , kama utashi unapotafsiriwa kupitia akili, hisia na vitendo ndio UTU!!
Mnyama hana ufahamu unaoitwa utashi ...hivyo .. Mnyama hana UTU!!
Hapo kwenye red, kwa hiyo kile kitendo cha chui kwenye video hapo juu kilikuwa sio cha "ufahamu muhimu" kwa sababu "ufahamu muhimu" haupatikani kwa wanyama? Unafikiri wanyama hawana ufahamu?
To put it another way: If you are not satisfied with us just tell us, but if you are satisfied, happy and enjoyed our services and our policies, let others know and bring them over.
Follow Us Here