Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

    Report Post
    Results 1 to 7 of 7
    1. #1
      Rubi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2009
      Posts : 1,237
      Rep Power : 737
      Likes Received
      154
      Likes Given
      133

      Default NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

      Kufa kisabuni,
      kufa kiume
      Kujikaza kiume
      Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Nkosi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th September 2011
      Location : sacramento!
      Posts : 53
      Rep Power : 399
      Likes Received
      9
      Likes Given
      7

      Default Re: NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

      Quote By Rubi
      Kufa kisabuni,
      kufa kiume
      Kujikaza kiume
      Maneno yote yana maana moja, kwamba uwe mvumilivu katika wakati mgumu. Ni lugha ya kumtia moyo mtu anapokuwa katika hard time.
      A winner listens, a loser just waits until it is their turn to talk

    4. #3
      Gaijin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2007
      Posts : 11,319
      Rep Power : 12953
      Likes Received
      4591
      Likes Given
      2499

      Default Re: NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

      Kufa kisabuni inamanisha kufa kama inavyokufa sabuni. Bado inaendelea kuwa ngumu lakini inakufa kidogo kidogo with no complains

    5. #4
      mikela's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2010
      Posts : 1,847
      Rep Power : 840
      Likes Received
      328
      Likes Given
      80

      Default

      Quote By Rubi
      Kufa kisabuni,
      kufa kiume
      Kujikaza kiume

      Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu
      kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti
      Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho

    6. #5
      Gurta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th September 2010
      Location : Mang'ola
      Posts : 1,939
      Rep Power : 905
      Likes Received
      374
      Likes Given
      483

      Default

      Quote By mikela
      Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu
      kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti
      Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho
      ebwanaaeee?

    7. Miaka 50

    8. #6
      Rubi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2009
      Posts : 1,237
      Rep Power : 737
      Likes Received
      154
      Likes Given
      133

      Default Re: NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

      Quote By mikela
      Kufa kisabuni,= kufa huku ukipiga puchu
      kufa kiume=kufa juu ya kiuno cha binti
      Kujikaza kiume= kupiga puli a.k.a rusha roho
      aha kweli siyo kila aitaye bwana bwana uatauona ufalme wa mbinguni.
      Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.

    9. #7
      Mwita25's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2011
      Posts : 3,852
      Rep Power : 1317
      Likes Received
      1119
      Likes Given
      43

      Default Re: NAOMBENI MAANA/tofauti YA MANENO HAYA--------------

      Kufa kisabuni= Die soaply
      Kufa kiume= Die manly
      Kujikaza kiume= FU*CK youself manly.
      Last edited by Mwita25; 28th October 2011 at 01:05.

    Similar Topics

    1. MANENO MENGINE!!... Nini maana na asili ya maneno haya??
      By WomanOfSubstance in forum Jukwaa la Lugha
      Replies: 20
      Last Post: 28th December 2012, 02:33
    2. Nini tofauti ya maneno haya??
      By KakaKiiza in forum Jukwaa la Lugha
      Replies: 4
      Last Post: 18th December 2011, 19:36
    3. Nni Tofauti ya maneno haya? Contractor ama Constructor?
      By ExpertBroker in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 17
      Last Post: 23rd November 2011, 10:41
    4. Maneno haya ni sawa, tofauti au yanakaribiana?
      By F12 in forum Jukwaa la Lugha
      Replies: 6
      Last Post: 7th September 2011, 14:14
    5. Ni ipi tofauti ya haya maneno?
      By Jefe in forum Jukwaa la Lugha
      Replies: 8
      Last Post: 23rd May 2011, 11:57

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...