JamiiSMS
Show/Hide This

Topic: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Report Post
Results 1 to 18 of 18
1. Nyakageni's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 1st February 2011
Posts : 12,309
Rep Power : 71520190
Likes Received
2287
Likes Given
1068

Default Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Jamani nimekwama swali hili nimefikiria sana lakini wapi! MARITAL STATUS ni nini kwa Kiswahili?

2. SURUMA's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 22nd March 2011
Posts : 2,801
Rep Power : 1106
Likes Received
899
Likes Given
2513

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Quote By Nyakageni View Post
Jamani nimekwama swali hili nimefikiria sana lakini wapi! MARITAL STATUS ni nini kwa Kiswahili?
HADHI kindoa....(tafsiri yangu)

3. Makanyaga's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th September 2007
Posts : 2,324
Rep Power : 0
Likes Received
604
Likes Given
2030

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Quote By Nyakageni View Post
Jamani nimekwama swali hili nimefikiria sana lakini wapi! MARITAL STATUS ni nini kwa Kiswahili?
Mkanyageni;
NDOA.

Mfano:
Jina Kamili: MKANYAGENI AFE MWINYIMVUA
Makazi: MBAGALLA KIZUIANI
Ndoa: HAKUNA
Dini: Mhindu, etc;
"Obedience to truth on MATTERS REVEALED guarantees guidance to MATTERS UNREVEALED"

4. The Boss's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 18th August 2009
Location : DARESALAAM
Posts : 30,679
Rep Power : 429503193
Likes Received
30891
Likes Given
29184

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

ni mwanandoa
Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

5. Bright Smart's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 4th May 2011
Posts : 600
Rep Power : 85901447
Likes Received
274
Likes Given
79

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Quote By Nyakageni View Post
Jamani nimekwama swali hili nimefikiria sana lakini wapi! MARITAL STATUS ni nini kwa Kiswahili?
"hali ya ndoa"~​google translate
...kuachana na siasa hizi uchwara na kutumia muda wangu kushughulika na biashara zangu.

6. Keren_Happuch's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 14th January 2011
Location : at home
Posts : 1,880
Rep Power : 429497360
Likes Received
905
Likes Given
1424

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Umeolewa/umeoa?..............
"Whoever claims to love God yet hates a brother or sister is a liar"

7. Kashaijabutege's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 20th October 2010
Location : Kabuteigi
Posts : 2,702
Rep Power : 1111
Likes Received
665
Likes Given
312

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Jibu sahihi ni: Hali ya ndoa: Umeoa/olewa, umeacha/achika n.k
NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUIADHIBU CCM MCHANA KWEUPE, BABA NINAKUOMBA UZIDI KUWAUMBUA, KWA KUYAWEKA WAZI MCHANA WANAYOYAFANYA USIKU. OMBI KWA MUNGU: MUNGU WEWE NI MWEZA WA YOTE, NA SIKU ZOTE UNAYASIKILIZA MAOMBI YA WAKUCHAO, NAKUOMBA UKAFUNGE NGUVU ZA GIZA ZINAZOINYEMELEA M4C; NA UVUNJE MIPANGO YOTE YA MASHETANI WALIOPO NDANI YA CHADEMA. AMINA

8. Pdidy's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 22nd November 2007
Posts : 21,972
Rep Power : 316823964
Likes Received
3688
Likes Given
3902

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Kwa kiingereza ina maana gani??

9. #9
GM7's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 26th June 2009
Location : Tanzania
Posts : 497
Rep Power : 735
Likes Received
13
Likes Given
4

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Quote By Kashaijabutege View Post
Jibu sahihi ni: Hali ya ndoa: Umeoa/olewa, umeacha/achika n.k
Hata mimi naona hili ndio jibu sahihi. Unajua lugha hii ya kigeni maneno mawili tu tafsiri yake kwa kiswahili yanaweza hata kufika maneno kumi ndio siku hizi kuna uchakachuaji wa lugha ya kiswahili na hivyo kupelekea kuchanganya lugha. Kwa mfano
Marrital status = Hali ya ndoa/uhusiano wa kindoa, hali ya kuoa/kuolewa, au hali ya kutooa/kutoolewa, useja au ubachela (ubachela hata mimi nimechakachua)
Aliye juu mfuate hukohuko juu.

10. Preta's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 28th November 2009
Location : yaeda chini
Posts : 21,988
Rep Power : 429501440
Likes Received
14239
Likes Given
11820

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Quote By Pdidy View Post
Kwa kiingereza ina maana gani??
tuelewe kwanza hapo....ndio tutafute kiswahili yake.........
Life is too short to waste time hating anyone.........

11. Nyakageni's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 1st February 2011
Posts : 12,309
Rep Power : 71520190
Likes Received
2287
Likes Given
1068

Default

Quote By Bright Smart View Post
"hali ya ndoa"~​google translate

unaipataje hii mkuu

12. Nyakageni's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 1st February 2011
Posts : 12,309
Rep Power : 71520190
Likes Received
2287
Likes Given
1068

Default

Quote By Pdidy View Post
Kwa kiingereza ina maana gani??

kaka mbona umetuhamisha maboya?

13. Nyakageni's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 1st February 2011
Posts : 12,309
Rep Power : 71520190
Likes Received
2287
Likes Given
1068

Default

Ahsante mkuu!!
Quote By Preta View Post
tuelewe kwanza hapo....ndio tutafute kiswahili yake.........

14. Somoche's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 6th October 2010
Posts : 2,736
Rep Power : 1120
Likes Received
654
Likes Given
557

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Quote By Preta View Post
tuelewe kwanza hapo....ndio tutafute kiswahili yake.........
Kwani mama ukiulizwa utajibu vipi?!!

15. Ngereja's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 27th February 2007
Posts : 798
Rep Power : 37552706
Likes Received
291
Likes Given
25

Default Re: Marital Status kwa kiswahili ni nini?

Hebu jaribu kufukiria majibu yafuatayo yanayoelezea kile tunachokiita "Marital Status"

Marital Status: 1. Married, 2. Single, 3. Divorced, 4. Widow, 5. Cohabitated

Mara nyingi tunapoelezea hali ya ndoa ya mtu tunadhani ni kuoa na kuolewa tu, tunasahasu hizo hali nyingine.

Ninakubaliana na tafsiri ya "Marital Status" = "Hali ya ndoa"

16. Nyakageni's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 1st February 2011
Posts : 12,309
Rep Power : 71520190
Likes Received
2287
Likes Given
1068

Default

Quote By Ngereja View Post
Hebu jaribu kufukiria majibu yafuatayo yanayoelezea kile tunachokiita "Marital Status"

Marital Status: 1. Married, 2. Single, 3. Divorced, 4. Widow, 5. Cohabitated

Mara nyingi tunapoelezea hali ya ndoa ya mtu tunadhani ni kuoa na kuolewa tu, tunasahasu hizo hali nyingine.

Ninakubaliana na tafsiri ya "Marital Status" = "Hali ya ndoa"

nashukuru sana kaka.

17. Husninyo's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 24th October 2010
Posts : 23,292
Rep Power : 344358670
Likes Received
8325
Likes Given
5194

Default

Quote By The Boss View Post
ni mwanandoa

kwahiyo ni single/married tu? Kama engaged je?

18. Mwita25's Avatar
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 15th April 2011
Posts : 3,852
Rep Power : 1449
Likes Received
1133
Likes Given
43

Default

Quote By Husninyo View Post

kwahiyo ni single/married tu? Kama engaged je?

hali ya uhawara

Similar Topics

1. Nini tofauti ya Kiswahili SANIFU na FASAHA?
By Konzogwe in forum Jukwaa la Lugha
Replies: 8
Last Post: 25th November 2012, 13:12
2. Top 10: Marital Problems
By Katikomile in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
Replies: 8
Last Post: 3rd June 2010, 17:08
3. Nini tafsiri ya HALOOWEEN kwa Kiswahili?
By Serendipity in forum Jukwaa la Lugha
Replies: 17
Last Post: 2nd November 2009, 22:27
4. Another Marital controversy in Yemen
By October in forum International Forum
Replies: 2
Last Post: 24th October 2009, 12:26

Posting Permissions

• You may not post new threads
• You may not post replies
• You may not post attachments
• You may not edit your posts

Who are WE?

JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

You are always welcome! Read more...

Where are we?

We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

For anything related to this site please Contact us.

Contact us now...

DISCLAIMER

JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

Read more...

Forum Rules

JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

You MUST read them and comply accordingly. Read more...

Privacy Policy

We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

Read our Privacy Policy. Proceed here...