JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Misemo na Methali za Kiswahili

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 21
  1. Mr. Miela's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2007
   Posts : 262
   Rep Power : 786
   Likes Received
   42
   Likes Given
   11

   Question Misemo na Methali za Kiswahili

   Wajameni;

   kuna mtu anaweza kunipa link itakayonisaidia kupata Misemo ya kiswahili katika mtandao?
   [SIGPIC][/SIGPIC] Lying makes a problem part of the future; Truth makes a problem part of the past!


  2. Steve Dii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2007
   Location : Kihesa - Iringa
   Posts : 6,914
   Rep Power : 49787893
   Likes Received
   1121
   Likes Given
   3323

   Default Re: Kuna Uwezekano Wa Kupata Misemo Ya Kiswahili Kwenye Mtandao?

   Quote By Mr. Miela View Post
   Wajameni;

   kuna mtu anaweza kunipa link itakayonisaidia kupata Misemo ya kiswahili katika mtandao?

   .... Mr. Miela, jibu la swali lako ni ndiyo..... ila ni kwa mbinde!!
   .....kuna linki ifuatayo nimefanikiwa kupata naomba uangalie kama itakufaa, ina misemo kama 50 hivi, labda wengine pia watakuja na links nyingine. Good luck.

   link: http://64.233.183.104/search?q=cache...ient=firefox-a

   SteveD.   Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.

   Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.  3. LazyDog's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2008
   Posts : 2,525
   Rep Power : 0
   Likes Received
   161
   Likes Given
   3517

   Default Re: Kuna Uwezekano Wa Kupata Misemo Ya Kiswahili Kwenye Mtandao?

   Hello Mr. Miela,

   Umepata links nyingine zaidi ya hizi? Post them here so that others can benefit as well.

   Swahili language and culture
   www.kiswahili.net

  4. Gang Chomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2008
   Location : hell
   Posts : 7,644
   Rep Power : 2375
   Likes Received
   1782
   Likes Given
   0

   Default Re: Kuna Uwezekano Wa Kupata Misemo Ya Kiswahili Kwenye Mtandao?

   wantala chikokoto, chaulezi chinyunyunyu..................
   Siku Kiranga akianzisha Dini, basi mimi ntakuwa Muumini namba Moja

  5. Mr. Miela's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd August 2007
   Posts : 262
   Rep Power : 786
   Likes Received
   42
   Likes Given
   11

   Default Re: Kuna Uwezekano Wa Kupata Misemo Ya Kiswahili Kwenye Mtandao?

   Quote By lazydog View Post
   Hello Mr. Miela,

   Umepata links nyingine zaidi ya hizi? Post them here so that others can benefit as well.

   Swahili language and culture
   www.kiswahili.net
   Kaka sijafanikiwa. Naendelea kupekua-pekua kurasa za tuvuti mbalimbali kuona kama nitafanikiwa!
   [SIGPIC][/SIGPIC] Lying makes a problem part of the future; Truth makes a problem part of the past!


  6. Kuhani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2008
   Posts : 2,956
   Rep Power : 2113
   Likes Received
   31
   Likes Given
   0

   Default Re: Kuna Uwezekano Wa Kupata Misemo Ya Kiswahili Kwenye Mtandao?

   Quote By gang chomba View Post
   wantala chikokoto, chaulezi chinyunyunyu..................
   Nimekubali!
   ``Nilidhani hapa kwenye JF we are above perceptions and we attempt to search for truth and only truth.´´ Dr.W.Slaa

  7. LazyDog's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2008
   Posts : 2,525
   Rep Power : 0
   Likes Received
   161
   Likes Given
   3517

   Default Re: Kuna Uwezekano Wa Kupata Misemo Ya Kiswahili Kwenye Mtandao?

   Hapa kuna methali za kiswahili

   Kuna kazi kibao za Kiswahili kwenye wikipedia and its sisters.


   Ebwana methali nyingine nilidhani nafahamu maana zake. Hii inatoka wikiquote,
   Usimwamshe aliyelala, ukimwamsha utalala wewe.
   Don't trust a fool with your private matters, if you do, you will be the fool!


   .
   A person who won't read has no advantage over one who can't read. -Mark Twain

  8. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6823
   Likes Given
   11200

   Default

   Quote By LazyDog View Post
   Hapa kuna methali za kiswahili

   Kuna kazi kibao za Kiswahili kwenye wikipedia and its sisters.


   Ebwana methali nyingine nilidhani nafahamu maana zake. Hii inatoka wikiquote,
   Usimwamshe aliyelala, ukimwamsha utalala wewe.
   Don't trust a fool with your private matters, if you do, you will be the fool!
   .
   Mchelea mwana kulia....?
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]


  9. Maamuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2008
   Posts : 838
   Rep Power : 829
   Likes Received
   271
   Likes Given
   100

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Quote By Invisible View Post
   Mchelea mwana kulia....?
   ....hulia yeye
   Msiwiwe na mtu chochote, isipokuwa kupendana..... Warumi 13:8.

  10. LazyDog's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2008
   Posts : 2,525
   Rep Power : 0
   Likes Received
   161
   Likes Given
   3517

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Quote By Invisible View Post
   Mchelea mwana kulia....?


   ...kwamba mzazi asipomuadabisha mwanae, atakuja kulia yeye?
   A person who won't read has no advantage over one who can't read. -Mark Twain

  11. Invisible's Avatar
   Robot Array
   Join Date : 11th February 2006
   Location : Here...!
   Posts : 9,652
   Rep Power : 100000
   Likes Received
   6823
   Likes Given
   11200

   Default

   Quote By LazyDog View Post
   ...kwamba mzazi asipomuadabisha mwanae, atakuja kulia yeye?
   Mmepatia vema nyote wawili:

   Kila msemo wa kiswahili una maana sana! Nawapa kwa kifupi ili mmalizie na wengine mjaribu kupambanua kwa undani zaidi.

   Wale mnaoendekeza wanenu gharama yake kwenu ni kubwa. Methali hiyo inaendana kabisa na "Samaki mkunje angali mbichi"... Sambamba naweza kusema inaendana kabisa na "Maji yakimwagika hayazoleki!"

   Kuna huu pia:-

   Mficha uchi.............
   Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
   24/7 Email SUPPORT: [email protected]


  12. Steve Dii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2007
   Location : Kihesa - Iringa
   Posts : 6,914
   Rep Power : 49787893
   Likes Received
   1121
   Likes Given
   3323

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Quote By Invisible View Post
   Mmepatia vema nyote wawili:

   Kila msemo wa kiswahili una maana sana! Nawapa kwa kifupi ili mmalizie na wengine mjaribu kupambanua kwa undani zaidi.

   Wale mnaoendekeza wanenu gharama yake kwenu ni kubwa. Methali hiyo inaendana kabisa na "Samaki mkunje angali mbichi"... Sambamba naweza kusema inaendana kabisa na "Maji yakimwagika hayazoleki!"

   Kuna huu pia:-

   Mficha uchi.............
   .... hazai!   Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.

   Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.  13. Steve Dii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2007
   Location : Kihesa - Iringa
   Posts : 6,914
   Rep Power : 49787893
   Likes Received
   1121
   Likes Given
   3323

   Default Re: Kuna Uwezekano Wa Kupata Misemo Ya Kiswahili Kwenye Mtandao?

   Quote By gang chomba View Post
   wantala chikokoto, chaulezi chinyunyunyu..................
   Gang, samahani hivi hayo yako katika Kiswahili au ni lugha nyingine tu asilia?!
   Naomba tafsri yake tafadhali iwe Kiswahili au lugha nyingineyo yoyote.. thanks.   Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.

   Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.  14. Steve Dii's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th June 2007
   Location : Kihesa - Iringa
   Posts : 6,914
   Rep Power : 49787893
   Likes Received
   1121
   Likes Given
   3323

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Quote By LazyDog View Post

   ...kwamba mzazi asipomuadabisha mwanae, atakuja kulia yeye?
   ... msemo huu una apply kwa vijibwa pia... kwamba usipo kaadabisha kajibwa, kitakuhangaisha kikikua na kuwa jibwa!! :D


   where u bn fool?! missed ya.   Jamii ijuayo uwiano thabiti kati ya dharau, ubinafsi, chuki na ustaarab dhidi ya jamii nyingine na baina ya watu wake ni jamii yenye maendeleo. Isiyojua ni dumazi. SD1-09.

   Fikra ni nyenzo endelezi au potofu. Changamoto tuliyonayo ni kuchanganua na kutenganisha kati ya fikra endelevu na fikra potofu, kwani mwisho wa fikra ni matendo pale fikra hazibakii kuwa fikra. SD6-07Rev.2-09.  15. Kuhani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2008
   Posts : 2,956
   Rep Power : 2113
   Likes Received
   31
   Likes Given
   0

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Quote By Invisible View Post

   Mficha uchi.............
   ....hazaizai ovyo.

   Unajua, Invisible, huu msemo, ni wanaume wamejitungia wapate kujisadia kwa kupumbaza wanawake.

   Ukiwa nje ya ndoa na ukawa unaficha basi hutazaliana zaliana nje ya ndoa, kitu ambacho ni kizuri kwa mficha.

   Ukiwa ndani ya ndoa na ukawa unaficha ina maana hutaki kuzaa tokea hapo. Kitu ambacho ni nia ya mficha.

   Kama nakosea, hebu nisaidie kama ujumbe "mficha uchi hazai" una mantiki au ujumbe kwa manufaa ya mficha.

  16. LazyDog's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2008
   Posts : 2,525
   Rep Power : 0
   Likes Received
   161
   Likes Given
   3517

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Quote By Invisible View Post

   Mficha uchi.............   Unadhani mtunzi alilenga kumaanisha kama inavyoelezwa hapa chini?

   Literal Meaning: We should let our friends know our troubles so they can help us, even if that involves revealing something shameful.
   A person who won't read has no advantage over one who can't read. -Mark Twain

  17. #17
   Quemu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th June 2007
   Posts : 1,079
   Rep Power : 958
   Likes Received
   41
   Likes Given
   16

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Mimi huwa nazimia sana methali hii:

   Mgaagaa na upwa (mpwa?)............

   Hivi hii misemo inaungukia kwenye kitabu cha methali pia?
   - Dunia tambara bovu
   - Utakiona cha mtema kuni
   We miss 100% of the shots we never take

  18. Maamuma's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd December 2008
   Posts : 838
   Rep Power : 829
   Likes Received
   271
   Likes Given
   100

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Dunia tambara bovu; na Kukiona cha mtema kuni
   Hizi ni nahau siyo methali.

  19. Neemah's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th October 2008
   Location : USA - Tz
   Posts : 72
   Rep Power : 685
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Quote By Maamuma View Post
   Kukiona cha mtema kuni
   Nadhani misemo/nahau fulani zinatokana na visa fulani. Naomba mnisaidie kuhusu hiki kisa cha msemo/nahau hii.

  20. X-PASTER's Avatar
   Moderator Array
   Join Date : 12th February 2007
   Location : Firdaws (Paradise)
   Posts : 11,863
   Rep Power : 38158073
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   0

   Default Re: Misemo na Methali za Kiswahili

   Mficha uchi....
   Hii methali inaendana na methali hii:
   Mficha maradhi kifo kitamuumbuwa au Mzaa mzaa mwishowe utumbuka usaha.

   "Samaki mkunje angali mbichi..."
   Hakisha kauka hakunjiki

   Mgaagaa na upwa...
   Hali wali mkavu

   Dunia tambara bovu
   Dunia ni sawa na nguo chakavu, inataka taadhari sana jinsi ya kuishi na kusabiiana na watu. Bila ya taadhari inaweza kukufika maafa au kupata hasara... ni sawa na mtu aliye vaa nguo iliyo chakaa... wakati wowote inaweza kumchanikia.

   Utakiona cha mtema kuni
   Hii methali inatokana na hadithi au simulizi ya mkata kuni (Mtema kuni... Hiki ni kiswahili cha zamani). Kwa ufupi inasimuliwa kwamba mkata kuni alikwenda porini kwa nia ya kutema kuni (kukata kuni) kutokana na sababu anazo zijuwa yeye au kwa kuzidiwa na mawazo alipofika porini akapitiwa na usingizi (kama bado nakumbuka vizuri) ndio kwanza ulikuwa muda wa Mawio yaani jua linachomoza). Alipokurupuka... kuangaza huku na huku shoka halioni, na hali anakumbuka vizuri kulichukuwa...

   Yeye hakahisi labda limedondoka mahali... akaanza kulitafuta kuanzia Mawio mpaka Machweo (Kuzama kwa jua Wakati wa Magharibi) Mwisowe akajikuta amechoka na shoka halionekani. Akaamua kukaa chini ya mti ili apumzishe akili na kutafakari upya wapi alipolidondosha shoka lake. Wakati anajiandaa kukaa chini kuangalia begani kwake analiona shoka lake... kumbe alikuwa amesahau kuwa shoka lilikuwa amelining'iniza begani kwake...

   Hapo ndipo palipo patikana huo msemo wa "Utakiona cha mtema kuni... Kutafuta shoka wakati lipo begani."

   Hii kidogo inataka kufanana ule msemo wa "Utakiona kilicho vunja shoka mpini ukabaki... msemo huu umetokana na simulizi za Sir H. Rider Haggard kwenye moja ya simulizi zake zinazo elezea visa vya mwindaji Tembo hodari Bwana Allan Quatermain (Makumazan or Macumazahn)... Na msaidizi wake Msolopaganzi (Umslopogaas) na shoka lake Nkosi kazi (Inkosi-kaas)... Bwana Henry Curtis, na rafikie Kapiteni Good, (Bwana Mzuri).
   Kwenye liwaya hii ndipo pia lilipo patikana jina Gagula... Kibibi kilichokuwa kichwawi (Kigagula)

   Vitabu hivi ni miongoni mwa vitabu ambavyo vinaonyesha au kusimulia ujasiri wa hali ya juu sana... Pia kwenye ile riwaya ya Machimbo ya Mfalme Suleiman na nchi ya Wakukuana... Na vile vingine ambavyo havikuwahi kutafsiriwa kwa kiswahili kama vile SHE & Ayesha (Tibet)

   Wale walio wahi kusoma watamkumbuka sana Bwana Msolopaganzi (Umslopogaas) na majigambo yake a.k.a Mikwara mizito aliyokuwa akiwatishia maadui zake... Nakumbua mwisho wa riwaya Umsolopaganzi alipomaliza kazi ya kulinda ngazi kuu... Alikuwa amepata majeraha mengi mwilini... akajua kuwa mwisho wa uhai wake umekaribia ndipo alipoamua kufa na shoka lake (Bibi msemi).... lilizungusha shoka lake kiasi ya kuonekana kama mwali wa moto... kisha kwa pigo moja... pigo lililo takatifu... Pigo lililo nyooka... akalishusha shoka lake kwa kasi ya ajabu na kulipasuwa jiwe lile na huku shoka lake likitawanyika vipande vipande na kubakia akiwa ameshikilia mpini wa shoka ukiwa mzima.... Mzee wa kizuru akaanguka chini akakata roho...

   Soma baadhi ya vipande toka Riwaya ya Allan Quatermain

   ...Umslopogaas... Straight up the hall he went, leaving
   behind him a track of blood on the marble pavement, till at last
   he reached the sacred stone, which stood in the centre of it,
   and here his strength seemed to fail him, for he stopped and
   leaned upon his axe. Then suddenly he lifted up his voice and
   cried aloud...

   'I die, I die... but it was a kingly fray. Where are they who
   came up the great stair? I see them not. Art thou there, Macumazahn,
   or art thou gone before to wait for me in the dark whither I
   go? The blood blinds me... the place turns round... I hear the
   voice of waters.'

   Next, as though a new thought had struck him, he lifted the red
   axe and kissed the blade.

   'Farewell, Inkosi-kaas,' he cried. 'Nay, nay, we will go together;
   we cannot part, thou and I. We have lived too long one with
   another, thou and I.

   'One more stroke, only one! A good stroke! a straight stroke!
   a strong stroke!' and, drawing himself to his full height, with
   a wild heart-shaking shout, he with both hands began to whirl
   the axe round his head till it looked like a circle of flaming steel.
   Then, suddenly, with awful force he brought it down straight
   on to the crown of the mass of sacred stone. A shower of sparks
   flew up, and such was the almost superhuman strength of the blow,
   that the massive marble split with a rending sound into a score
   of pieces, whilst of Inkosi-kaas there remained but some fragments
   of steel and a fibrous rope of shattered horn that had been the
   handle
   . Down with a crash on to the pavement fell the fragments
   of the holy stone, and down with a crash on to them, still grasping
   the knob of Inkosi-kaas, fell the brave old Zulu... dead.

   And thus the hero died.

   A gasp of wonder and astonishment rose from all those who witnessed
   the extraordinary sight, and then somebody cried, '_The prophecy!
   the prophecy!_ He has shattered the sacred stone!' and at once
   a murmuring arose.
   Soma majigambo (Mikwara ya mzee wa Kizuru)

   '...Ah, Macumazahn,' he said, 'I suppose it is because I am getting
   old, but I don't think that I shall ever learn to understand
   the ways of you white people. Look there now, I pray thee, they
   are a pretty pair of doves, but what is all the fuss about, Macumazahn?
   He wants a wife, and she wants a husband, then why does he not
   pay his cows down... like a man and have done with
   it? It would save a deal of trouble, and we should have had
   our night's sleep. But there they go, talk, talk, talk, and
   kiss, kiss, kiss, like mad things. Eugh!'
   'Thou shalt stand against me man to man, be not afraid,' replied
   Umslopogaas, still in the same ominous voice. 'Thou shalt stand
   face to face with Umslopogaas, of the blood of Chaka, of the
   people of the Amazulu, a captain in the regiment of the Nkomabakosi,
   as many have done before, and bow thyself to Inkosi-kaas, as
   many have done before. Ay, laugh on, laugh on! tomorrow night
   shall the jackals laugh as they crunch thy ribs.'
   'What, comest thou too?' laughed out the old warrior. 'Welcome
   ....a welcome to thee, brave heart! Ow! for the man who can die
   like a man; ow! for the death grip and the ringing of steel.
   Ow! we are ready. We wet our beaks like eagles, our spears
   flash in the sun; we shake our assegais, and are hungry to fight.
   Who comes to give greeting to the Chieftainess (Inkosi-kaas)?
   Who would taste her kiss, whereof the fruit is death? I, the
   Woodpecker, I, the Slaughterer, I the Swiftfooted! I, Umslopogaas,
   of the tribe of the Maquilisini, of the people of Amazulu, a
   captain of the regiment of the Nkomabakosi: I, Umslopogaas, the
   son of Indabazimbi, the son of Arpi the son of Mosilikaatze,
   I of the royal blood of T'Chaka, I of the King's House, I the
   Ringed Man, I the Induna, I call to them as a buck calls, I challenge
   them, I await them. Ow! it is thou, it is thou!'
   Umbopa...
   'Koos' (chief), he began, 'Koos-y-Pagete! Koos-y-umcool! (Chief
   from of old ...mighty chief) Koos! Baba! Macumazahn,
   old hunter, slayer of elephants, eater up of lions, clever one!
   watchful one! brave one! quick one! whose shot never misses,
   who strikes straight home, who grasps a hand and holds it to
   the death (i.e. is a true friend) Koos! Baba! Wise is the voice
   of our people that says, "Mountain never meets with mountain,
   but at daybreak or at even man shall meet again with man."
   Behold!
   a messenger came up from Natal, "Macumazahn is dead!" cried he.
   "The land knows Macumazahn no more." That is years ago. And
   now, behold, now in this strange place of stinks I find Macumazahn,
   my friend. There is no room for doubt. The brush of the old
   jackal has gone a little grey; but is not his eye as keen, and
   are not his teeth as sharp? Ha! ha! Macumazahn, mindest thou
   how thou didst plant the ball in the eye of the charging buffalo
   ...mindest thou...
   Last edited by X-PASTER; 1st July 2009 at 05:19.
   'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.

   (¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Similar Topics

  1. Tujikumbushe: Nahau, Misemo na Methali za Kiswahili
   By Hebrew in forum Jukwaa la Lugha
   Replies: 24
   Last Post: 6th December 2013, 19:38
  2. Methali za kiswahili
   By MziziMkavu in forum Jukwaa la Lugha
   Replies: 6
   Last Post: 2nd January 2013, 02:14
  3. Methali na misemo inayoelezea hali ilivyo sasa nchini
   By Udadisi in forum Jukwaa la Lugha
   Replies: 1
   Last Post: 5th August 2011, 04:46
  4. Misemo ya kiswahili inayo viza maendeleo
   By MVUMBUZI in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 3
   Last Post: 12th June 2011, 01:23
  5. Methali na misemo ya kiarabu.....
   By The Boss in forum Jukwaa la Lugha
   Replies: 5
   Last Post: 25th April 2011, 21:58

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...