Ni taarifa tu na baadaye mnaweza kuifuta hii thread.
Matokeo ya mwaka huu yanapatikana
www.necta.go.tz
Ni taarifa tu na baadaye mnaweza kuifuta hii thread.
Matokeo ya mwaka huu yanapatikana
www.necta.go.tz
Thanks man, ngoja nicheck matokea ya mwanangu
A positive thinker!
St. Mary wanaongoza kwa kutoa 10 bora kitaifa.. siri yao ni nini?
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
aaaaah,site ya necta iko slow sana
mbona umenichekesha sana.. nilidhani wanaosali sana ndio wanafeli
[email protected]
Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji
Mjenga nchi, ni mwananchi!
Is there any body who knows other site which shows the results
site hii iko slow sana, labda huko sehemu nyingine, but here in middle east its really slow
Mara nyingi hawa jamaa wa Necta huwa wanachelewa sana ku upload matokeo kwenye site yao.
Hata site maarufu za Tanedu na Wizara hawajaweka mpaka sasa.
Kwa mwenye kujua site iliyokwisha weka matokeo atuhabarishe pls.
Masanja,
Either U are naive or a kind of Govt agent. Site ya NECTA huwa haifanyi kazi ikipayta hits nyingi, wengine tumeshalalamika mpaka kwa wakubwa lakini hawataki kuongeza bandwith.
Ni tatizo sugu serikalini, huwa hawaendi na wakati.
Kwa ufupi hiyo link ya results haifanyi kazi barabara!
A positive thinker!
no i need to known now
Go Girls, Go Higher And Reach Your Dreams. Bravo To All Who Made It.
some people dream of success, while others wake up and work hard at it.
Jamani hii thread ilitakiwa kwenda kule jukwaa la Elimu, sio hapa kwenye siasa!
Ni mtazamo tu.
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
[email protected]
Follow Us Here