JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Matokeo ya Form four 2007

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 54
  1. Mtanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2006
   Location : UK
   Posts : 5,456
   Rep Power : 5734
   Likes Received
   499
   Likes Given
   123

   Default Matokeo ya Form four 2007

   Ni taarifa tu na baadaye mnaweza kuifuta hii thread.

   Matokeo ya mwaka huu yanapatikana

   www.necta.go.tz

  2. Idimi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2007
   Location : Ikwiriri
   Posts : 7,552
   Rep Power : 85915145
   Likes Received
   2004
   Likes Given
   1026

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   St. Mary wanaongoza kwa kutoa 10 bora kitaifa.. siri yao ni nini?
   St Mary? What? Can't be!
   A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
   [email protected]

  3. Kakalende's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st December 2006
   Posts : 3,575
   Rep Power : 1493
   Likes Received
   659
   Likes Given
   628

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Matokeo haya hapa: http://www.moe.go.tz/NectaResults/MATOKEO%20FORM%20IV%202008/OLEVEL.htm

   Yamebandikwa muda mfupi uliopita, hata hivyo site yenyewe ni slow sana.

  4. Mtanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2006
   Location : UK
   Posts : 5,456
   Rep Power : 5734
   Likes Received
   499
   Likes Given
   123

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Mimi nilifanikiwa kuangalia jana usiku na pia leo asubuhi. Pamoja na tatizo
   la NECTA lakini tatizo ni la nchi nzima maana uplink ya kutoka nje ya TZ capacity yake ni ndogo.

   Mimi nikiwa nyumbani ni slow lakini napata, walioko TZ wanashindwa kabisa pamoja na kwamba server ziko hapo hapo jirani.

  5. MaMkwe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th September 2007
   Location : kisima mkojo, zanzibar
   Posts : 290
   Rep Power : 788
   Likes Received
   17
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By Mzee Mwanakijiji View Post
   St. Mary wanaongoza kwa kutoa 10 bora kitaifa.. siri yao ni nini?
   Ama kweli wewe ni mzee tena wa kijijini. Nani aliyekwambia kuwa st. Marys wanaongoza? Shule inayoongoza haiitwi St Mary, ina itwa St. Francis, tena ya wasichana watupu

  6. Mtanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2006
   Location : UK
   Posts : 5,456
   Rep Power : 5734
   Likes Received
   499
   Likes Given
   123

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Nina matokeo ya Marian na st. Francis kama mtu anataka. Nitumie PM. Naona hapa attachment ya htm haikubali.

  7. MzalendoHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2007
   Posts : 4,260
   Rep Power : 1593
   Likes Received
   222
   Likes Given
   536

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Siku hizi Waschana wanakuja juu kweli!

   Yet ktk Vyuo Vikuu less than 25% ni wanawake!
   Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

  8. #27
   Koba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd July 2007
   Location : Pasadena California
   Posts : 5,722
   Rep Power : 1973
   Likes Received
   798
   Likes Given
   845

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   damn,nimeangalia kwa makini zile shule ambazo matokeo yake ni mazuri kwa miaka mingi ndio zile zile tuu zinazoendelea kutoa matokeo mazuri na zile za kufeli ni zile zile tuu,naona culture ya kufeli na kufaulu ni ile ile tuu na sijaona turnaround yeyote kwa sample niliyochukua...ila big up kwa vijana wangu wa mzumbe na mzizima naona wanaendeleza,na vipi jamaa wa website yaani wanaweka matokea utafikiri wanabadika ubaoni yaani hakuna details zozote na wala huwezi kutafuta shule unayotaka kirahisi au jina la mtu huwezi just search yaani it can take you forever kutafuta matokeo,jamani its time watu wafanye kazi sio kulipua lipua huku wakilipwa ...inaboa sana!

  9. Mtanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th May 2006
   Location : UK
   Posts : 5,456
   Rep Power : 5734
   Likes Received
   499
   Likes Given
   123

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By Koba View Post
   damn,nimeangalia kwa makini zile shule ambazo matokeo yake ni mazuri kwa miaka mingi ndio zile zile tuu zinazoendelea kutoa matokeo mazuri na zile za kufeli ni zile zile tuu,naona culture ya kufeli na kufaulu ni ile ile tuu na sijaona turnaround yeyote kwa sample niliyochukua...ila big up kwa vijana wangu wa mzumbe na mzizima naona wanaendeleza,na vipi jamaa wa website yaani wanaweka matokea utafikiri wanabadika ubaoni yaani hakuna details zozote na wala huwezi kutafuta shule unayotaka kirahisi au jina la mtu huwezi just search yaani it can take you forever kutafuta matokeo,jamani its time watu wafanye kazi sio kulipua lipua huku wakilipwa ...inaboa sana!
   Koba,

   Najua wangeweza kuweka kwenye format nzuri zaidi lakini sidhani kama kutafuta shule ni tatizo maana shule zote ziko kwenye page moja. Unaweza kutumia CTRL f au find na uka search shule unayotaka.

   Mimi tatizo naona ni speed ambayo ni ndogo sana. Ndio maana watu wengi wanaendelea ku host sites zao nje ya Tanzania maana kwa speed hiyo ni balaa tupu.

  10. Kisura's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st June 2007
   Location : Signature Room.
   Posts : 448
   Rep Power : 834
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By Mzalendohalisi View Post
   Siku hizi Waschana wanakuja juu kweli!

   Yet ktk Vyuo Vikuu less than 25% ni wanawake!
   Si unajua tena,
   ...wanafukuzwa shule kwa mimba wanazopewa na wanaume
   ...wengine wanaolewa na majukumu yanawazidi
   ...wanawake wengi ndio 'primary' katika shughuli za nyumbani, saa ngapi wataenda shule...?
   ...wanawake wengine wanaogopa kwenda shule maana wanahofia kutopata waume, kwa hofu ya kusoma kuliko wanaume(believe me, hii myth bado ipo very much at large)
   ...wapo waume wengine wanawasisitiza kinamama waache shule, ili watunze watoto, kina bibi, ng'ombe, you name it.
   A free race cannot be born of slave mothers

   Mama Afrika

  11. MzalendoHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2007
   Posts : 4,260
   Rep Power : 1593
   Likes Received
   222
   Likes Given
   536

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By Kisura View Post

   Kisura,

   Wewe u mwanamke? Basi ni wanawake wachache wako realists na kuongea ukweli kama wewe!

   Ofsini kwangu akina mama wote wenye Masters na PhD only 30% are married- or wameachika n.k! Wale wenye elimu kidogo- masecretary n.k wote wameolewa!

   Ingekuwa poa basi wakishaolewa ktk umri huo wa 20s basi waume zao wawaendeleze na kuwapeleka shule!

   Kweli ktk mila zetu Tz- raha ya mwanamke ni pamoja na kuolewa na kuwa na mme na watoto wake. Saasa hii huwa poa kama ana elimu na kazi- bahati mbaya one can not get both!
   Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

  12. Kisura's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st June 2007
   Location : Signature Room.
   Posts : 448
   Rep Power : 834
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Mzalendohalisi, sitaki kuleta mtafaruku hapa, ila, the Logic is so simple. Often times, kama huna elimu, utategemea mwanaume/mume kwa ushauri, matunzo n.k , na utaendelea kukaa kwenye ndoa hata ukiletewa mke wa tatu. Mwanaume ndio anayefanya maamuzi yote ndani ya nyumba. Utamaduni wa mwafrika pia umetufundisha haya.

   Katika dunia ya leo, mambo yamebadilika, kina mama walioelimika, wana-tend kuwa na sauti, na ukiwa na sauti ndani ya nyumba, mnakuwa mafahali wawili, namna hiyo hamuwezi, au itawawia ugumu kukaa zizi moja. Ndio maana waona wakina mama walioenda shule, wengi wao wameachana na wanaume zao kwa sababu kama hizo. Kuna walioweza kuvuka hii-challenge, ila wengi wetu na kwa weakness za binaadamu, wameshindwa kuvumilia, hivyo ndoa kuzivunja.
   A free race cannot be born of slave mothers

   Mama Afrika

  13. NakuliliaTanzania's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th September 2007
   Posts : 590
   Rep Power : 850
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By Kisura View Post
   Mzalendohalisi, sitaki kuleta mtafaruku hapa, ila, the Logic is so simple. Often times, kama huna elimu, utategemea mwanaume/mume kwa ushauri, matunzo n.k , na utaendelea kukaa kwenye ndoa hata ukiletewa mke wa tatu. Mwanaume ndio anayefanya maamuzi yote ndani ya nyumba. Utamaduni wa mwafrika pia umetufundisha haya.

   Katika dunia ya leo, mambo yamebadilika, kina mama walioelimika, wana-tend kuwa na sauti, na ukiwa na sauti ndani ya nyumba, mnakuwa mafahali wawili, namna hiyo hamuwezi, au itawawia ugumu kukaa zizi moja. Ndio maana waona wakina mama walioenda shule, wengi wao wameachana na wanaume zao kwa sababu kama hizo. Kuna walioweza kuvuka hii-challenge, ila wengi wetu na kwa weakness za binaadamu, wameshindwa kuvumilia, hivyo ndoa kuzivunja.
   Kisura, nikubaliane na wewe katika hili....ninachoona mimi ni kuwa bado suala la kuona kuwa unaweza kuelimika kama mwanamke hadi kuwa profesa na bado ukaendeela kuwa 'mwanamke' linawashinda wengi...pamoja na udhaifu wa kawaida wa kibinadamu, nilitegemea pia elimu iwasaidie kuepuka peer pressure ambayo pia inachangia kuvunjika kwa ndoa za kisomi in the pretext ya mafahali wawili.....

   Lakini bravo kwa wale wote ambao wako na waume zao kama wanawake na sio 'wanaume'
   Ukipuliza moto ili uwake hupulizi mara moja......

  14. Kisura's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st June 2007
   Location : Signature Room.
   Posts : 448
   Rep Power : 834
   Likes Received
   10
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By NakuliliaTanzania View Post
   Kisura, nikubaliane na wewe katika hili....ninachoona mimi ni kuwa bado suala la kuona kuwa unaweza kuelimika kama mwanamke hadi kuwa profesa na bado ukaendeela kuwa 'mwanamke' linawashinda wengi...pamoja na udhaifu wa kawaida wa kibinadamu, nilitegemea pia elimu iwasaidie kuepuka peer pressure ambayo pia inachangia kuvunjika kwa ndoa za kisomi in the pretext ya mafahali wawili.....

   Lakini bravo kwa wale wote ambao wako na waume zao kama wanawake na sio 'wanaume'
   Ni kweli unachosema, na hii ndio haswa kiini cha tatizo! Inabidi kuelewa nafasi zetu katika jamii, si lazima kushindana na wakina-kaka/baba kwenye kila kitu. Kila mmoja ana sehemu yake katika jamii. Ila tukiwa huku kwenye workplaces, its' a whole different ball game.
   It's ones choice anyhow...depending on circumstances, sometimes they cannot help themselves!
   A free race cannot be born of slave mothers

   Mama Afrika

  15. MzalendoHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2007
   Posts : 4,260
   Rep Power : 1593
   Likes Received
   222
   Likes Given
   536

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By NakuliliaTanzania View Post
   Kisura, nikubaliane na wewe katika hili....ninachoona mimi ni kuwa bado suala la kuona kuwa unaweza kuelimika kama mwanamke hadi kuwa profesa na bado ukaendeela kuwa 'mwanamke' linawashinda wengi...pamoja na udhaifu wa kawaida wa kibinadamu, nilitegemea pia elimu iwasaidie kuepuka peer pressure ambayo pia inachangia kuvunjika kwa ndoa za kisomi in the pretext ya mafahali wawili.....

   Lakini bravo kwa wale wote ambao wako na waume zao kama wanawake na sio 'wanaume'
   NakuliliaTanzania, Kisura,
   Pokeni 5!

   Mimi ni mwaname- kwa kweli wale ambao wameweza kuendelea na ndoa zao kwa kuwa mke na mama pamoja na elimu yao nami nawapengeza!

   Taabu kubwa ya maisha ya Ulaya ni ndoa hazidumu kwa sasa- na pamoja na kuwa mambo yanabadilika- sisi kama Watz we are proud of marriage as important institution for welfare and love of couples na haswa watoto!
   Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

  16. YournameisMINE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2007
   Location : Peramiho
   Posts : 3,794
   Rep Power : 1286
   Likes Received
   26
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   hivi jamani Mzumbe na Ilboru wapoje ktk matokeo haya, mie nashindwa kupata hiyo web ya NECTA..........kama alumni wa hizo shule mbili, ningependa kujua, kulikoni!!

  17. Mtu Mzima's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th October 2007
   Location : Loliondo
   Posts : 381
   Rep Power : 802
   Likes Received
   87
   Likes Given
   33

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By MaMkwe View Post
   Ama kweli wewe ni mzee tena wa kijijini. Nani aliyekwambia kuwa st. Marys wanaongoza?
   Ama kweli sisi wazee wa vijijini tunapuuzwa.Hivi mtu wa mjini ndio mwerevu siku zote?

   Jamani kuwa mjini si kujua kila kitu sana sana ni kuendekeza ufisadi tu,pia jitahidi kuheshimu wazee maana pamoja na wewe kuwa mjini baba yako au babu yako yuko kijijini na ndio aliyokupa haya maarifa unayotumia kumdhihaki.
   Mzee Mwanakijiji nafikiri amekusikia maana nae umemlenga

  18. YournameisMINE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th August 2007
   Location : Peramiho
   Posts : 3,794
   Rep Power : 1286
   Likes Received
   26
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Quote By Mtu Mzima View Post
   Ama kweli sisi wazee wa vijijini tunapuuzwa.Hivi mtu wa mjini ndio mwerevu siku zote?

   Jamani kuwa mjini si kujua kila kitu sana sana ni kuendekeza ufisadi tu,pia jitahidi kuheshimu wazee maana pamoja na wewe kuwa mjini baba yako au babu yako yuko kijijini na ndio aliyokupa haya maarifa unayotumia kumdhihaki.
   Mzee Mwanakijiji nafikiri amekusikia maana nae umemlenga
   Nadhani yule maMkwe alikuwa anatania tu.....na huyo MKJJ ana uwezo wa kusahihisha post yake kwani ipo toka jana na watu kadha wa kadha wamemkosoa. Kwa makusudi kaiacha na nina amini ana lake jambo!!!
   Buraza, clearly ule ulikuwa utani, lakini naona labda wataka beef na huyo dada. Ma-weekend haya, just take a "chill pill" kwa taarifa nilizo nazo haina side effects!!.

  19. Mtu wa Pwani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th December 2006
   Posts : 4,747
   Rep Power : 1722
   Likes Received
   380
   Likes Given
   769

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   jamani mie nnauliza hivi kule kwetu zanzibar mbona matokeo mabaya ?

   kulikoni hausomi hatuna walimu, tumeweka siasa mbele au ndio kama inavyosemwa kuna hujuma ya kuwahujumu wa zanzibari kielimu ?

   maana ss ndio daima matiro
   Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown

  20. #39
   RR's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th March 2007
   Location : Close
   Posts : 6,497
   Rep Power : 433304
   Likes Received
   1498
   Likes Given
   841

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Ongeeni yote lakini hawa watoto wa kike (St. Francis) hawaeleziki!

   CSEE 2007 EXAMINATION RESULTS

   S0239 ST.FRANCIS GIRLS SECONDARY SCHOOL

   DIV-I = 87 DIV-II = 1 DIV-III= 0 DIV-IV = 0 FAIL= 0

   http://www.moe.go.tz/NectaResults/MA...2007/S0239.HTM

   Halafu kuna wengine wanafikiri ukiweka prefix ya St. katika jina la shule basi kufaulu nje nje!
   Chekini hii! S2276 ST. IRENE MEDELI SECONDARY SCHOOL

   DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III= 2 DIV-IV = 8 FAIL= 9

  21. MzalendoHalisi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th June 2007
   Posts : 4,260
   Rep Power : 1593
   Likes Received
   222
   Likes Given
   536

   Default Re: Matokeo ya Form four 2007

   Hivi Mitihani ya sekondari ni swala la Muungano? Nilidhani elimu ya Juu tu ndo swala la Muungano! Inakuwaje matokeo pia yana shule za Visiwani na Bara?

   Naomba mwanga zaidi
   Uadilifu Kiwe Kigezo Muhimu Zaidi Kuwa Kiongozi Tanzania Kwa Sasa!

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Matokeo ya kidato cha nne 2007
   By Lusako76 in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 2
   Last Post: 25th May 2011, 11:38
  2. Matokeo form 4: Asilaumiwe mtu
   By Nguruvi3 in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 3rd February 2011, 10:01
  3. Matokeo ya form IV against tangazo la TBC
   By mikati in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 0
   Last Post: 3rd February 2011, 08:15
  4. Matokeo ya form four 2008
   By Mpita Njia in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 90
   Last Post: 12th February 2009, 05:14
  5. Pata Matokeo Ya Form Six
   By Mwendapole Old in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 4
   Last Post: 7th May 2007, 08:14

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...