JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Naomba Ushauri Jinsi ya Kuendelea na Masomo ya Juu

  Report Post
  Results 1 to 4 of 4
  1. Easymutant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2010
   Posts : 1,993
   Rep Power : 85906026
   Likes Received
   512
   Likes Given
   915

   Default Naomba Ushauri Jinsi ya Kuendelea na Masomo ya Juu

   Bila kusahau kuzingatia umri wake 43yrs now so wana JF naomba ushauri uzingatie na umri wa jamaa.

   Nafahamu kabisa hapa nitapata msaada we ukweli ninaoamini utanisaidia,
   Nina mpango wa kuendelea na masomo ya juu at least the minimum to be 1st degree
   lakini background yangu ni form four leaver nilijiendeleza ma course za IT kwa sasa nina MCSE na CCNA mwakani by January or Feb ninampango wa kufanya mtihani wa CCNP je kuna uwezekano nikawa nakubalika kujiunga na chuo chochote kikuu ambayo kiko recognizable nikaweza kufanya degree? na kama sikubaliki nifanyeje/niongeze kitu gani ili niweze kuwa eligible to join the chuo wakuu?

   NB:Nimefanya kazi za IT kama System administrator kwa miaka mitatu sasa naomba kuwakilisha na ninaamini kwamba greet thinkers will help me out,   Asanteni
   Last edited by Easymutant; 26th November 2010 at 08:24.


  2. mamakunda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2010
   Posts : 371
   Rep Power : 656
   Likes Received
   10
   Likes Given
   28

   Thumbs up Re: Naomba Ushauri Jinsi ya Kuendelea na Masomo ya Juu

   kwanza nikupe pongezi kwa kuwa na moyo wa kujiendeleza. Pili kuwa form four leaver isikupe tabu kwani sio wote wanaosoma degree ya kwanza wamemaliza form six. Kikubwa tu uangalie je hizo kozi ulizosoma zinatambulika kama kigezo cha kujiunga na degree? huwa kuna sifa ambazo zinaweza kumuingiza mtu chuo kama equivalent qualification. Mfano kwenye degree nyingi ukiwa na diploma unaweza kupata admission. sasa sijui hizo kozi zako kama ni diploma manake mie si mtaalam wa ICT. pili waweza kufatilia sifa za kujiunga na vyuo vikuu kwenye hiyo kozi unayoitaka.

  3. #3
   Fab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th April 2010
   Posts : 764
   Rep Power : 746
   Likes Received
   14
   Likes Given
   0

   Default Re: Naomba Ushauri Jinsi ya Kuendelea na Masomo ya Juu

   i think unaweza kuingia as matured student,sehemu kama IFM,ila utahitajika kufanya entry exam...am not soo sure though!

  4. MalaikaMweupe's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th February 2009
   Posts : 70
   Rep Power : 667
   Likes Received
   13
   Likes Given
   8

   Default Re: Naomba Ushauri Jinsi ya Kuendelea na Masomo ya Juu

   unaweza kwenda au kucheki kwenye website ya UDSM computing centre ukaona wao wanahitaji mtu mwenye vigezo gani kujiunga na kozi zao. La sivyo ukajiendeleza kupitia vituo vyao mpaka ufikie vigezo wanavyohitaji ili kujiunga na chuo.Hongera sana na usijali umri kwani elimu haina mwisho!


  Similar Topics

  1. Replies: 33
   Last Post: 30th October 2011, 20:40
  2. Mwekezaji afunga shule, wanafunzi washindwa kuendelea na masomo
   By nngu007 in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 2
   Last Post: 27th August 2011, 19:43
  3. Ushauri wa kuendelea na masomo
   By Laura Mkaju in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 2
   Last Post: 24th March 2011, 11:36
  4. Jinsi ya kupata udhamini wa masomo
   By Kichwa Ngumu in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 2
   Last Post: 23rd February 2011, 19:40

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...