Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: UDOM wataka wabunge wa CHADEMA WAOMBE RADHI!!

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 22 of 22
    1. #1
      Kiherehere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 1,074
      Rep Power : 647
      Likes Received
      71
      Likes Given
      132

      Default UDOM wataka wabunge wa CHADEMA WAOMBE RADHI!!

      Kuna waandishi wengine wanapaswa kuwa na akili, yawezekana hata kazi yake ni ya kuchomekwa tu!! Huwezi kusema UDOM ndo wamesema haya kwa kupitia kapuuzi kamoja kalikokuwa na Ridhwani kwenye kuomba udhamini wa baba yake eti ni UDOM.

      UDOM ina uongozi, so kama kiongozi wa chuo kasema ilikuwa inasound safi lakini Mwanafunzi aliyekutwa analewa ndo anawakilisha UDOM?

      Vyuo vingine!!! yaani hapa hili gazete haliwezi kufunguliwa mashitaka na CHUO? au chuo (uongozi na msemaji wa chuo) wanaipenda hii??

      SOMA HAPA CHINI ni habari ya nipashe trh 21/11
      UDOM yaitaka Chadema kuomba radhi




      Na Sharon Sauwa



      21st November 2010



      B-pepe




      Chapa




      Maoni









      Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Dodoma, wamewataka wabunge wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (Chadema), kufikiria upya msimamo wao wa kutomtambua Rais Jakaya Kikwete, ili kulinda maslahi ya wapigakura wao.
      Kauli hiyo ilitolewa na wanafunzi wa vyuo vikuu mjini hapa jana wakati wakizungumza na waandishi wa habari kuhusiana wabunge hao kususia hotuba ya Rais.
      Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi wenzake wa vyuo vya Mipango, St. John, CBE, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Thobias Richard, alidai kuwa lengo la wabunge hao ni kutaka kuhamisha wananchi katika ajenda ya msingi ya maendeleo na kubaki kwenye malumbano ya kisiasa.
      Richard ambaye ni mwanafunzi wa UDOM, alisema kitendo hicho ni kinyume na matarajio ya wapiga kura waliowachagua wabunge hao.
      “Kama hawamtambui Rais maana yake hawana kazi ya kufanya ndani ya Bunge kwani kazi yao kubwa ni kuishauri na kuisimamia serikali sasa kama hawatambui serikali hiyo hawana sababu ya kuendelea kuwepo bungeni,” alisema.
      Aliwataka wabunge hao kutafakari upya kama kweli wanataka kuwawakilisha bungeni wananchi.
      Aliwataka wawaombe radhi Watanzania kwa kuvuruga taswira safi ya Bunge lisilo na ubaguzi na itikadi za kisiasa. Alisema kwa kutowaomba radhi wananchi ni kuwadharau Watanzania waliowachagua wakidhani kwamba ni waadilifu kwa taifa na sio chama chao.
      Wabunge wa Chadema, walitoka nje ya ukumbi wa Bunge, Ijumaa wiki iliyopita, lengo likiwa ni kuonyesha kuwa hawamtambui Rais Kikwete

    2. Miaka 50

    3. #21
      Gang Chomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th February 2008
      Location : hell
      Posts : 5,027
      Rep Power : 1721
      Likes Received
      964
      Likes Given
      0

      Default Re: UDOM wataka wabunge wa CHADEMA WAOMBE RADHI!!

      juzi tuliambiwa kuwa hicho ni chuo cha kata...
      So acha waropoke kisha watakwenda kunywa Banana wine na watalala

    4. #22
      Mtu wa Mungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2010
      Posts : 424
      Rep Power : 516
      Likes Received
      13
      Likes Given
      1

      Default Re: UDOM wataka wabunge wa CHADEMA WAOMBE RADHI!!

      Mimi sitaamini mapaka nithibitishiwe kwamba ni serikali ya wanachuo ndiyo wametoa taarifa hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Vinginevyo mbinu za ni genge la mafisadi katika jitihada za kutafuta jinsi ya ku-confuse jamii ili mipango yao ipite!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Safari hii ni mapambano tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!

    5. FemaTV & Radio
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    Similar Topics

    1. Replies: 253
      Last Post: 15th July 2011, 21:21
    2. Wanafunzi udom waombe radhi waandishi wa habari.
      By Baba Tina in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 19
      Last Post: 12th January 2011, 10:08
    3. Wanafunzi udom waombe radhi waandishi wa habari.
      By Baba Tina in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 1
      Last Post: 10th January 2011, 19:47
    4. Zitto ataka wabunge wa zamani waombe radhi
      By BAK in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 25
      Last Post: 11th December 2008, 14:42

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...