Re: Wadau msaada: Namtafuta ( kefa mkongwa,&betty singano) wote walisoma njombe secon

By
Benno
Nimepoteza Mawasiliano na hawa Ndugu zangu Keffa Mkongwa na Betty Singano wote waliwahi soma Njombe Secondary Kidato cha tano na sita.
Walikuwa class mate wangu.
mwenye taarifa nao kati yao anisaidie mawasiliano kwa
[email protected]
Ahsanteni na Kazi Njema ya kulijenga Nchi
Kuna jukwaa lake please mkiingia JF Soma sheria na taratibu za forum. Hapa sio michuzi blogspoti Ni kama vile huwezi kunya kila mahali ili mradi haja kubwa imeku thight. Lazima ujue toilet ilipo ili upunguze.............
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Follow Us Here