Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Watanzania, tushirikiane katika hili

    Report Post
    Results 1 to 2 of 2
    1. #1
      kachumbari's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 114
      Rep Power : 456
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default Watanzania, tushirikiane katika hili

      Wakati umefika sasa kuanza rasmi harambee kwa ajili ya kuwalipia watoto wetu ada za vyuo vya elimu ya juu.

    2. Miaka 50

    3. #2
      kotinkarwak's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th August 2010
      Posts : 381
      Rep Power : 523
      Likes Received
      116
      Likes Given
      61

      Default Re: Watanzania, tushirikiane katika hili

      Wazo zuri Ndg Kachumbari,
      Population census ijayo inatarajia idadi kufikia 45Mil. Ingawa sipo kwenye shughuli za statistics, nita-assume kuwa idadi ya watu wanaotakikana kufikia elimu ya juu si chini ya .05% kwa nchi zinazoendelea. Assuming kuwa idadi hiyo inaweza kuwa assimilated kikazi (employed and enterprenuers), basi inabidi mipango kama hii itiliwe mkazo na jamii ili kuiinua economy ya nchi nzima.
      Katika kuanzisha harambee kama hii, inabidi pawe na mwelekeo madhubuti ambao jamii unaweza kuutumia kuangalia kama kweli michango yao inaongeza upeo katika elimu ya juu au la.

    Similar Topics

    1. Watanzania tuheshimiane katika hili hawa watu wapewe mkataba wa kazi
      By mirindimo in forum Business & Economic Forum
      Replies: 0
      Last Post: 13th October 2011, 20:24
    2. NGAWAIYA: Watanzania tushirikiane kudhibiti ugaidi nchini
      By nngu007 in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 0
      Last Post: 30th June 2011, 06:49
    3. Vijana wote tushirikiane kwa hili
      By Gwota in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 4
      Last Post: 23rd March 2011, 20:11
    4. Jk,katika hili waombe watanzania radhi
      By Mwan mpambanaji in forum Jukwaa la Siasa
      Replies: 9
      Last Post: 16th January 2011, 18:53
    5. Replies: 1
      Last Post: 1st September 2009, 12:23

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...