Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Wanafunzi Wavamia Tume ya Vyuo Vikuu - TCU

    Report Post
    Results 1 to 3 of 3
    1. #1
      SuperNgekewa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th May 2010
      Posts : 50
      Rep Power : 473
      Likes Received
      3
      Likes Given
      13

      Default Wanafunzi Wavamia Tume ya Vyuo Vikuu - TCU

      WANAFUNZI WAVAMIA TUME YA VYUO VIKUU




      Baadhi wa wanafunzi wakiwa nje ya jengo hilo.

      KUNDI la wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa kujiunga na vyuo mbalimbali vya serikali na kupata alama za juu leo wamefurika nje ya Jengo la Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) lililopo Mikocheni jijini Dar es Salaam wakipinga uamuzi wa wenzao waliopata alama ndogo kupatiwa nafasi za kujiunga na vyuo vya serikali na wao kukosa nafasi na kudai uamuzi huo ni wa kuwaonea.




      Askari wa jengo hilo akiinyoosha mkono kuwataka wanafunzi hao kukaa mbali na eneo hilo, amri waliyokataa kuitii.





      Muuza “lamba-lamba” (ice cream) akiwa kwenye mkusanyiko huo kukata kiu ya ‘madenti’ hao.




      PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY
      Last edited by SuperNgekewa; 29th September 2010 at 16:44. Reason: Spelling


    2. #2
      DICTATOR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th September 2010
      Posts : 394
      Rep Power : 522
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Wanafunzi Wavamia Tume ya Vyuo Vikuu - TCU

      Nchi hii watu wanapata shida zingine kwa sababu watu wachache hawataki kufanya kazi zao inavyotakiwa. Its so sad kuona mtu kahangaika toka chini huko gizani anafika huku ndo wanamchanganya kwa kitu kidogo ambacho ni kumwelewesha mambo yanakuwa safi.

    3. #3
      Mubii's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Posts : 129
      Rep Power : 581
      Likes Received
      8
      Likes Given
      52

      Default Re: Wanafunzi Wavamia Tume ya Vyuo Vikuu - TCU

      Jana na leo nimekuta vijana wengi hapo Tume ya Vyuo Vikuu. Hivi wanafanya nini hapo. Niliona kama vile wanafuatilia kitu. Sidhani kama ni mgomo tu ndio umewaleta hapo. Naomba ni fahamishwe zaidi.

    Similar Topics

    1. Wanafunzi vyuo vikuu waongezeka kwa 200%
      By Mwanajamii in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 6
      Last Post: 8th November 2011, 06:25
    2. Replies: 26
      Last Post: 1st September 2011, 23:59
    3. Serikali yaunda tume ya vyuo vikuu • Itachunguza utata wa mikopo ya wanafunzi
      By Rutashubanyuma in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 1
      Last Post: 8th February 2011, 07:31
    4. wanafunzi wa vyuo vikuu (wanawake)
      By Kimbweka in forum Mahusiano, mapenzi, urafiki
      Replies: 40
      Last Post: 20th December 2010, 14:47
    5. Wanafunzi Wavamia Tume ya Vyuo Vikuu - TCU
      By SuperNgekewa in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
      Replies: 2
      Last Post: 29th September 2010, 14:57

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...