Mwenye kujua inakopatikana orodha ya wanafunzi waliochaguliwa na TCU kwenda Mzumbe University tafadhali atupashe.
Mwenye kujua inakopatikana orodha ya wanafunzi waliochaguliwa na TCU kwenda Mzumbe University tafadhali atupashe.
Naona bado haijatoka mkuu
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Hawa Mzumbe naona wako kama TCU tu: wanapenda mavuno lakini kuhangaikia kilimo hawataki. Vyuo vingine baada ya kuona jinsi TCU walivyo wazembe angalao wamejitahidi kutoa majina ya wanafunzi wao lakini Mzumbe ofisi ya Admissions naona wameenda kunywa komoni kwa Waluguru na hadi sasa hawajarudi ofisini.
waliochaguliwa na tcu kwenda ardhi naomba mniambie
mh......kwel tcu wametuweza!!
Follow Us Here