JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

  Report Post
  Page 1 of 5 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 81
  1. JOSEPH MALULU's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd January 2014
   Posts : 77
   Rep Power : 414
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Jamani ndugu zangu mnisadie niko kijijini . Je kuna tetesi ya ajira ya walimu.


  2. Molembe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th December 2012
   Posts : 4,951
   Rep Power : 131927483
   Likes Received
   1707
   Likes Given
   26

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   mwezi wa 8 mwakani mwaka huu serikali haina pesa.

  3. Ndeanaruwa's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 13th July 2013
   Posts : 7
   Rep Power : 425
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Pole sana tafuta shuhuli ya kufanya serikali ndio hiyo tena

  4. MSIMISEKI's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th July 2011
   Location : Tanganyika - TZ
   Posts : 124
   Rep Power : 550
   Likes Received
   33
   Likes Given
   31

   Default

   Quote By Ndeanaruwa View Post
   Pole sana tafuta shuhuli ya kufanya serikali ndio hiyo tena
   Nina shule yangu Saint Chini ya mti (ktk picha) njoo nikuajili.....

   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	Mazingira ya shule zetu Tanzania.jpg 
Views:	124053 
Size:	124.7 KB 
ID:	131009  

  5. Mokoyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd March 2010
   Location : KILIMO KWANZA
   Posts : 11,948
   Rep Power : 9547006
   Likes Received
   3063
   Likes Given
   2509

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Quote By Molembe View Post
   mwezi wa 8 mwakani mwaka huu serikali haina pesa.
   Novemba na Desemba 2013 wafanyakazi hwakulipwa salaries zao. very baad
   Mnyonge hapigani kwa fedha..........  6. Sanoyet's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd April 2013
   Location : Africa
   Posts : 1,275
   Rep Power : 694
   Likes Received
   214
   Likes Given
   0

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   ngoja tumalize kwanza sakata la new katiba tutawafikiria,kuweni wavumilivu,tunawapenda na tunawajali ondoeni wasiwasi!

  7. Asprin's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2008
   Location : Psychiatric Ward
   Posts : 38,483
   Rep Power : 242212321
   Likes Received
   25708
   Likes Given
   30289

   Default

   Quote By Mokoyo View Post
   Novemba na Desemba 2013 wafanyakazi hwakulipwa salaries zao. very baad
   Really??

  8. chikuyu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 30th October 2013
   Posts : 149
   Rep Power : 437
   Likes Received
   65
   Likes Given
   12

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Usiogope mkuu, majina yameshatoka , TAMISEMI wanajua ila bado tu ku publicise coz budget ya third quarter bado haijatoka. Kuwa mvumilivu either February au March!!!

  9. ndomyana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2012
   Posts : 4,671
   Rep Power : 1435
   Likes Received
   642
   Likes Given
   23

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Subiria tuiue kwanza chadema make hela yote tumepeleka hela zote kwa zitto kufanikisha hilo japo kastukiwa

  10. Mokoyo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd March 2010
   Location : KILIMO KWANZA
   Posts : 11,948
   Rep Power : 9547006
   Likes Received
   3063
   Likes Given
   2509

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Quote By Asprin View Post
   Really??
   yes mkuu, hawakulipwa on-time
   Mnyonge hapigani kwa fedha..........


  11. A Father's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2012
   Posts : 964
   Rep Power : 4006923
   Likes Received
   151
   Likes Given
   160

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Walimu kumwagiwa ajira 26,000 Januari
   SERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani [2014], ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini.
   Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, alisema hayo juzi mjini hapa [Morogoro] wakati akifunga kikao cha kazi cha siku tatu cha maofisa elimu wa mikoa na halmashauri za wilaya nchini, wanaosimamia elimu ya msingi.
   ¡°Serikali inatambua uhaba wa walimu na kila mwaka inatoa ajira mpya za walimu. Januari 2014 Serikali itatoa ajira 26,000 za walimu wapya na maelekezo mengine yatafuata,¡° alisema Majaliwa.
   Aliwataka maofisa elimu hao kuzingatia uwiano wa walimu wakati wa kuwapangia vituo vya kazi, badala ya kuendelea kuwalundika maeneo ya shule za mijini pekee.
   Pia aliagiza walimu hao watayarishiwe mazingira mazuri hasa katika maeneo ya pembezoni kwa kuwapatia motisha, ili kuwajengea moyo wa kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi katika vituo vyao vya kazi kwa lengo la kuwafanya wasikimbie vituo.
   Licha ya kutangaza ajira hizo mpya, Majaliwa pia alisema Serikali imetenga Sh bilioni 18 za kutengeneza madawati yatakayosambazwa shuleni na zabuni yake inatarajiwa kutangazwa mapema iwezekanavyo.
   Alisema mpango huo unatarajia kuanza mapema mwakani baada ya kumpata mzabuni, ¡°najua kutokana na kiwango kidogo cha fedha, hatutaweza kutosheleza, lakini huu ni mwanzo.¡±
   Aliwataka maofisa hao kujenga tabia ya ufuatiliaji shuleni, ili kusimamia utunzaji wa vifaa na wakikuta uzembe ni wajibu wao kuchukua hatua ya kumaliza matatizo yaliyo chini na uwezo wao

  12. Madege's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th December 2011
   Location : Arusha
   Posts : 501
   Rep Power : 607
   Likes Received
   85
   Likes Given
   12

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Quote By JOSEPH MALULU View Post
   Jamani ndugu zangu mnisadie niko kijijini . Je kuna tetesi ya ajira ya walimu.

   ipo wazi karibia miaka yote ajira huwa zinztoka mwezi wa pili na kuripot huwa n mwezi wa tatu mwanzoni. so kuwa mvumilivu

  13. DR. MWAKABANJE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th November 2012
   Posts : 455
   Rep Power : 550
   Likes Received
   140
   Likes Given
   33

   Default

   Quote By Madege View Post
   ipo wazi karibia miaka yote ajira huwa zinztoka mwezi wa pili na kuripot huwa n mwezi wa tatu mwanzoni. so kuwa mvumilivu
   Acha uongo miaka yote ipi? ajira za walimu ilikw mwez wa sab hapo kabla!

  14. MKILINDI's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th February 2012
   Posts : 200
   Rep Power : 538
   Likes Received
   27
   Likes Given
   43

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   tar 15 jan

  15. magito's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 22nd December 2013
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   kijijini!!! unafanya nini huko? wabunge wenyewe wanakaa bongo, piga simu wizarani wakuelezee hizo ajira.

  16. Nicholaus ipyana's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th January 2014
   Posts : 15
   Rep Power : 399
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default

   Utaratibu wa serikali unatatanisha wakati mwingne.

  17. mnyalu d's Avatar
   Member Array
   Join Date : 26th September 2012
   Posts : 67
   Rep Power : 479
   Likes Received
   6
   Likes Given
   25

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Watanzania tuwe na subira ajira zitatoka tu.Nina matumaini na serikali yangu.Kila sema ajira ni ndani ya mwezi Wa pili 2014 na kuriport itakuwa mwezi machi.

  18. Zahoro Sakala's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 30th January 2014
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default re: Ajira mpya za Walimu 2014/2015

   Tetesi zipo ndugu yangu, matumaini makubwa ya ajira izo kutangazwa rasmi ni mwezi huu wa pili.

  19. NONIYANG'WAKA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd September 2013
   Posts : 190
   Rep Power : 525
   Likes Received
   19
   Likes Given
   13

   Default

   kuwa mvumilivu mkuu...! umekaribia kuona matunda ya ualimu...huko kijijini omba tempo pale chaseco au kt hata kc

  20. Mapigo1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 14th October 2013
   Posts : 256
   Rep Power : 744131
   Likes Received
   90
   Likes Given
   0


  Page 1 of 5 123 ... LastLast

  Similar Topics

  1. kilio cha ajira mpya za walimu 2014/2015
   By mesha mwaki in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 2nd February 2015, 12:21
  2. Serikali yatangaza Ajira mpya za Walimu 2014
   By Brother James in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 36
   Last Post: 16th March 2014, 11:50
  3. ajira mpya za walimu 2013-2014
   By allan clement in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 59
   Last Post: 12th March 2014, 07:52

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...