JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Ajira za ualimu 2014

  Report Post
  Results 1 to 16 of 16
  1. emmanuel mbwilo's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 24th December 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Ajira za ualimu 2014

   Jamani nauliza, ajira za ualimu 2014 kwa anayejua kama zimetoka anijuze hapa.


  2. Pascal Matimba's Avatar
   Member Array
   Join Date : 8th August 2013
   Posts : 66
   Rep Power : 433
   Likes Received
   1
   Likes Given
   4

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   Subili hadi january mwishon au febro

  3. #3
   Rjohn's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th February 2012
   Location : Morogoro
   Posts : 562
   Rep Power : 608
   Likes Received
   58
   Likes Given
   0

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   umefaul kweli wewe?

  4. #4
   mbatuu's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 9th December 2013
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   endelea kusugua bench.

  5. willington maleko's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 23rd June 2013
   Posts : 6
   Rep Power : 428
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   January ishafika not yet


  6. MansaMusa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th September 2013
   Posts : 103
   Rep Power : 436
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By emmanuel mbwilo View Post
   Jamani nauliza, ajira za ualimu 2014 kwa anayejua kama zimetoka anijuze hapa.
   Kuwa na subira ndugu, majina yameshapangwa bado kutangazwa muda wowote ndani ya January.

  7. MLEMVYA RASHID's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st August 2013
   Posts : 82
   Rep Power : 437
   Likes Received
   6
   Likes Given
   6

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   Jaman taarifa mnatoa wapi??
   Wengine wanasema ndy wako wanapanga na wengine wanasema tayari washapanga....then wizara ya elimu na tamisemi ni sehem gn wanahusika kupanga??

  8. #8
   RSR's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th December 2013
   Posts : 88
   Rep Power : 420
   Likes Received
   2
   Likes Given
   15

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   Quote By MLEMVYA RASHID View Post
   Jaman taarifa mnatoa wapi??
   Wengine wanasema ndy wako wanapanga na wengine wanasema tayari washapanga....then wizara ya elimu na tamisemi ni sehem gn wanahusika kupanga??
   Majina yameshapangwa na wanaohusika kupanga ni wizara ya elimu' mimi mwenyewe nimeshajua nilipopangwa si unajua mipango mingi' January wanatoa post

  9. MansaMusa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th September 2013
   Posts : 103
   Rep Power : 436
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By MLEMVYA RASHID View Post
   Jaman taarifa mnatoa wapi??
   Wengine wanasema ndy wako wanapanga na wengine wanasema tayari washapanga....then wizara ya elimu na tamisemi ni sehem gn wanahusika kupanga??
   Majina yashapangwa kaka si unajua hi ndio Tanzania, majibu yanavuja kabla mtihani haujatungwa, uwe na amani January kitu na box.

  10. #10
   Perry's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2011
   Posts : 9,191
   Rep Power : 2527
   Likes Received
   695
   Likes Given
   26

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   February mwanzoni ndo mtaajiriwa..kuweni wavumilivu.

  11. Kimbori's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st February 2012
   Posts : 2,047
   Rep Power : 906
   Likes Received
   325
   Likes Given
   11

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   Mchakato wa ajira mpya upo ukingoni. Hatua muhimu zinakamilishwa baada ya kikao 'elekezi' kati ya TAMISEMI (Mh. Kassim Majaliwa) na maafisa Elimu wa Mikoa na Wilaya.
   Jiandae hapo baadaye kidogo kufanya kazi kijijini. Jiandae mapema kuwa mtumishi mwaminifu kwa serikali (mwajiri) na kwa jamii.

  12. MLEMVYA RASHID's Avatar
   Member Array
   Join Date : 1st August 2013
   Posts : 82
   Rep Power : 437
   Likes Received
   6
   Likes Given
   6

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   Hongera ndg
   umepangiwa wapi??nipe dondoo
   then utanisaidiaje na mm nifanikeshe lengo la kuishi mjini??

  13. lakshi's Avatar
   Member Array
   Join Date : 16th August 2012
   Location : Arusha City
   Posts : 30
   Rep Power : 477
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   mhuu.........hhg

  14. Yuda Msaliti's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st December 2013
   Posts : 72
   Rep Power : 415
   Likes Received
   5
   Likes Given
   34

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   Wasiwasi wa nini kwenu hakuna makazi? Unataka upewe mapema nyumba ya serikali kwa ajili ya kujiifadhi? Kama wazo lako ndio hilo umechemsha kwanza zinavuja ile mbaya utakuwa unaishi kipindi cha kiangazi tu ila kipindi cha masika lazima utafute pa kuhamia

  15. Ndala ndefu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th December 2012
   Posts : 232
   Rep Power : 499
   Likes Received
   37
   Likes Given
   0

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   Mi naomba ajira zenu zichelewe kutoka ili tuendelee kuheshimiana mitaani.

  16. mmakua's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd November 2013
   Posts : 54
   Rep Power : 491
   Likes Received
   3
   Likes Given
   2

   Default Re: Ajira za ualimu 2014

   Sitasahau 2010 nilivyopangwa Rutamba Lindi vijijini shule ya kata ipo porini haina hata nyumba ya mwalimu nilisaini kitabu cha wageni nikaondoka kujiandaa


  Similar Topics

  1. Uhusiano wa ajira za ualimu Vyuo Vikuu, TCU na GPA za SUA
   By matunge in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 121
   Last Post: 11th July 2015, 11:50
  2. Waganda wateka ajira za ualimu kwenye mashule binafsi
   By Alexism in forum Nafasi za Kazi na Tenda
   Replies: 13
   Last Post: 5th November 2013, 10:07
  3. Post za ajira ya ualimu
   By Ziltan in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 6
   Last Post: 19th June 2012, 11:14
  4. Taarifa: Ambao majina yao hayajaonekana ajira za ualimu
   By dfreym in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 22
   Last Post: 20th January 2012, 17:00
  5. Replies: 6
   Last Post: 25th December 2011, 09:16

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...