JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Matokeo kidato cha nne 2009

  Report Post
  Page 8 of 8 FirstFirst ... 678
  Results 141 to 143 of 143
  1. Tripo9's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2009
   Posts : 2,106
   Rep Power : 1046
   Likes Received
   398
   Likes Given
   722

   Default Matokeo kidato cha nne 2009

   Source: Muhtasari wa habari TBC1 saa 10jioni.   Ufaulu wapungua.

   Mzimu wa somo la Hisabati waendelea kuumiza vichwa vya wadogo zetu.
   Last edited by Invisible; 6th February 2010 at 21:55. Reason: Link included
   "Smile though your heart is aching"...Me says


  2. Mkaa Mweupe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2007
   Posts : 657
   Rep Power : 871
   Likes Received
   125
   Likes Given
   13

   Default Re: Matokeo kidato cha nne 2009

   Quote By Baisha View Post
   duh,sidhani kama hela yote inachukuliwa na jmaa!makapuni ya simu yanahitaji dau kubwa sana kwenye ishu kama hizi,more than 50%, bado kuna software za kununua,configutations ect.na ni njia tu ya kumwezesha mtu kupata matokeo kwa urahisi zaidi na haraka,mbona mtu anaenda kwenye net anatoa 1000 kwa ajili ya hayo matokeo?nakumbuka zamani wakati mtandao haujaenea watu tulikuwa tunagombania magazeti kama njugu,yaani mtu unakaa hata week mbili hujapata matokeo yako.kuna vyanzo vingi vya kupata matokeo,si lazima kutuma sms........
   Hivi hata kama kampuni za simu zitachukua 50% lakini bado ni maumivu kwa mtu wa kawaida, wewe unaweza kuona sio ishu, ila kuna jamaa wanakula 200 familia ya watu 4 kwa siku!

   Hapo ndipo tunapoendelea kutiana umaskini mchana kweupeee!
   The best way to get out of dificulty is through it

  3. maker's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 3rd October 2010
   Posts : 7
   Rep Power : 570
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo kidato cha nne 2009

   Enz ze2 matokeo had yapelekwe mashulen 2liposemea ndo 2kayaone au 2kaulize kwa afisa elimu wa mkoa yan acha m2 2likuwa 2naish na pesha hata mwez mzma hujui matokeo na yametangazwa tayar

  4. C programming's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th November 2011
   Location : kenya
   Posts : 1,141
   Rep Power : 700
   Likes Received
   325
   Likes Given
   18

   Default Re: Matokeo kidato cha nne 2009

   hivi ww uliye post mzima kweliii hayA NDO MATOKEO YA FORM 4 2009.......HEBU CLICK MWENYEWE UONE KAMA 2009


  Page 8 of 8 FirstFirst ... 678

  Similar Topics

  1. Matokeo ya kidato cha nne 2006
   By Invisible in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 24
   Last Post: 12th March 2014, 16:25
  2. Matokeo kidato cha nne
   By Jumakidogo in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 3
   Last Post: 22nd February 2011, 13:36
  3. Matokeo kidato cha nne ni standardization ya matokeo halisi baada ya wanafunzi kufeli
   By Nicazius in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 16
   Last Post: 6th February 2011, 12:12
  4. Matokeo Kidato cha Sita 2009
   By epigenetics in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 43
   Last Post: 2nd May 2009, 22:52
  5. Kidato cha Tano 2009: Majina ya waliochaguliwa
   By SMU in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 2nd April 2009, 09:24

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...