JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Jkt ipo kama kawaida......!!

  Report Post
  Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast
  Results 21 to 40 of 104
  1. Al-shabaab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2013
   Posts : 1,300
   Rep Power : 679
   Likes Received
   233
   Likes Given
   6

   Default Jkt ipo kama kawaida......!!

   Source waziri wa ulinzi bungeni leo asubuhi
   nanukuu
   awamu ya pili watamaliza mafunzo yao september(tarehe haikutajwa)
   awamu ya tatu wataenda octomber(tarehe haikutajwa)
   na awamu ya nne itakuwa january (tarehe haikutajwa)
   Last edited by Al-shabaab; 27th August 2013 at 13:34.


  2. Al-shabaab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2013
   Posts : 1,300
   Rep Power : 679
   Likes Received
   233
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By Finder boy View Post
   Nauza uraia wangu!
   angalia usiuze uarabuni utajuta

  3. sir imma's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th August 2013
   Posts : 76
   Rep Power : 435
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   Nmevurugwa na waziri wa ulizi ndo nn sasa!

  4. Yeyeli's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st July 2013
   Posts : 31
   Rep Power : 428
   Likes Received
   4
   Likes Given
   7

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   Tafadhali Al shabab....kalipue hilo Bomu huko somalia, hapa hatulitaki..!!

   Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

  5. Al-shabaab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2013
   Posts : 1,300
   Rep Power : 679
   Likes Received
   233
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By Yeyeli View Post
   Tafadhali Al shabab....kalipue hilo Bomu huko somalia, hapa hatulitaki..!!

   Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   mkuu Yeyeli nimefukuzwa somalia nikaja hapa Tanzania sababu hapa amani ipo ila nanyie mmeanza kidogokidogo

  6. Joram kiango's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th August 2013
   Posts : 82
   Rep Power : 435
   Likes Received
   15
   Likes Given
   0

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   Let me pretend i ddnt hear this. .


  7. flyn ryder's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2013
   Location : zanzibar
   Posts : 638
   Rep Power : 611
   Likes Received
   68
   Likes Given
   54

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   atakwenda yeye huko jkt..but mm najua nareport oct chuo..amezinguliwa na mke wake jana ucku saiv anatumalizia sisi hasira zake..

  8. Yeyeli's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st July 2013
   Posts : 31
   Rep Power : 428
   Likes Received
   4
   Likes Given
   7

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   Quote By Al-shabaab View Post
   mkuu Yeyeli nimefukuzwa somalia nikaja hapa Tanzania sababu hapa amani ipo ila nanyie mmeanza kidogokidogo
   Nakuomba "UTENGUE KAULI"...

   Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

  9. Tangopori's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th May 2012
   Posts : 1,503
   Rep Power : 786
   Likes Received
   863
   Likes Given
   205

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   Alivyosema kuna hadi awamu ya nne nahisi awamu ya 3 na 4 hazitawahusu form six leaver! Maana ni obviously awamu ya nne(january) haitawahusu!
   Kumbukeni jkt ni kwa vijana wote(kuna waliomaliza cheti,diploma vyuo mbalimbali)
   kwa mtazamo wangu kuanzia october jkt itawahusu kundi lingine nje ya form six leaver!

   Ila bado kuna kitu najiuliza
   walioko jkt sasa hivi wanasema wanatoka tar 27 sept, na kuna vyuo vinafungua mapema september! Sasa hapo itakuwaje?

  10. Al-shabaab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2013
   Posts : 1,300
   Rep Power : 679
   Likes Received
   233
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By Joram kiango View Post
   Let me pretend i ddnt hear this. .
   dont do that Joram kiango it will be like this
   peacefuly if you may but forcefuly if you want

  11. Luno G's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd September 2012
   Location : Yombo Vituka
   Posts : 1,576
   Rep Power : 782
   Likes Received
   463
   Likes Given
   234

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   Sidhani kama awamu hii itawahusu waliomaliza kidato cha sita
   Usiogope kufa, ogopa kufa na dhambi

  12. Landcruiser's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th May 2013
   Posts : 1,376
   Rep Power : 707
   Likes Received
   176
   Likes Given
   321

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   hii sio nchi nahamia Kenya ,huyu waziri amenivuruga ubongo.
   Jkt ataenda yeye na ndugu zake.

  13. Pompoo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th July 2013
   Posts : 363
   Rep Power : 1196617
   Likes Received
   38
   Likes Given
   16

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   Mh Ina maana ile inshu yakuvusha poda haifuatilii!! Ye daily Jkt araaaaaa!!!! Haendi mtu hapa hata somalia nitaenda!!

  14. sir imma's Avatar
   Member Array
   Join Date : 17th August 2013
   Posts : 76
   Rep Power : 435
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By AllenMwita View Post
   hii sio nchi nahamia Kenya ,huyu waziri amenivuruga ubongo.
   Jkt ataenda yeye na ndugu zake.
   Teh teh teh!

  15. Joram kiango's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th August 2013
   Posts : 82
   Rep Power : 435
   Likes Received
   15
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Al-shabaab View Post
   dont do that Joram kiango it will be like this
   peacefuly if you may but forcefuly if you want
   maisha yangu yenyewe jkt niende huko kufuata nini. .let c kama serikali itanishitaki

  16. Freightliner's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd August 2013
   Location : Mbeya
   Posts : 191
   Rep Power : 457
   Likes Received
   30
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Raby Kaka View Post
   Siku imekua mbaya kweli hii!!!
   wenye navyo watubana inabidi kuvumilia

  17. Analogia Malenga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th February 2012
   Location : Close to you......
   Posts : 1,055
   Rep Power : 708
   Likes Received
   182
   Likes Given
   64

   Default Re: Jkt ipo kama kawaida......!!

   kazi ipo...kwani tcu wanasemaje?

   ANAYEPENDA KUJITUMA NDIO MTU PEKEE ANAYECHOKA KUPUMZIKA .... by Analogia Malenga

  18. Al-shabaab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2013
   Posts : 1,300
   Rep Power : 679
   Likes Received
   233
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By AllenMwita View Post
   hii sio nchi nahamia Kenya ,huyu waziri amenivuruga ubongo.
   Jkt ataenda yeye na ndugu zake.
   ndugu yake wa kwanza ni wewe hapo

  19. Darius's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th June 2013
   Posts : 1,834
   Rep Power : 795
   Likes Received
   232
   Likes Given
   4

   Default

   Quote By Mbrazili View Post
   Nimemsikia aseee.....15000 intake ya 3....itakuja ya 4 yani hakuna atakaekosa mwaka huu asee
   mtanii majangaaaa hayaaa

  20. Al-shabaab's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2013
   Posts : 1,300
   Rep Power : 679
   Likes Received
   233
   Likes Given
   6

   Default

   Quote By Analogia Malenga View Post
   kazi ipo...kwani tcu wanasemaje?
   hawajasema chochote mpaka sasa

  21. Raby Kilua's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th July 2013
   Location : Bara
   Posts : 119
   Rep Power : 1435885
   Likes Received
   15
   Likes Given
   20

   Default

   Quote By Freightliner View Post
   wenye navyo watubana inabidi kuvumilia
   Aise na huu msimu wa jua kali wakitupeleka yelewiii!!


  Page 2 of 6 FirstFirst 1234 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...