JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 26
  1. Einsten's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th March 2013
   Posts : 194
   Rep Power : 410
   Likes Received
   17
   Likes Given
   9

   Default Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Jman anejua tofauti ya course husika apo juu anifafanulie kwa makini becouse znanchanganya saana.

  2. ndetichia's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Location : Mwime - Buswangili
   Posts : 25,740
   Rep Power : 12246665
   Likes Received
   4024
   Likes Given
   352

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   search humu humu kuna watu walishawahi uliza hii kitu..

  3. Einsten's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th March 2013
   Posts : 194
   Rep Power : 410
   Likes Received
   17
   Likes Given
   9

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By ndetichia View Post
   search humu humu kuna watu walishawahi uliza hii kitu..
   Nmejaribu kusearch nikakosa thus why nikaamua niilete na mm kwa anaejua anitell

  4. Mhandisi Mzalendo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd August 2010
   Location : mjini
   Posts : 807
   Rep Power : 666
   Likes Received
   210
   Likes Given
   63

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   In computer science unasoma pure computer science yani software design programing networking na mambo mengine....with computer science it means bachelor science like physics mathematics chemistry in addition with computer science yani kuna masomo mengine ya science unasoma na unaunganisha na computer science yani computer science si major subject ...unaweza soma enviromental science with computer science au physics with computer science au economics with computer science...nadhani nimedadavua kwa kiasi changu...

   Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   Nyumba ya masikini haiishi kujengwa...
   Hata kungwi ana kungwi wake......

  5. dav22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,814
   Rep Power : 789
   Likes Received
   228
   Likes Given
   129

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By stany mzalendo View Post
   In computer science unasoma pure computer science yani software design programing networking na mambo mengine....with computer science it means bachelor science like physics mathematics chemistry in addition with computer science yani kuna masomo mengine ya science unasoma na unaunganisha na computer science yani computer science si major subject ...unaweza soma enviromental science with computer science au physics with computer science au economics with computer science...nadhani nimedadavua kwa kiasi changu...

   Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   mkuu wote in computer na with computer wanasoma pure computer hakuna tofauti coz zote za networking,programming,softwar e analysis and design,network security na masomo yoooote yahusuyo comps wanasoma sawa tofauti ni kuwa with comp huwa wanasoma coz za statistics,physics au hesabu wakati in computer ni hesabu tu hata hivo kwa sehemu kama UDSM with computer huwa wanasoma statistics wakati in computer wanasoma hesabu hiyo tu ndo tofauti mkuu acha upotoshaji........

  6. Clean9

  7. Einsten's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 15th March 2013
   Posts : 194
   Rep Power : 410
   Likes Received
   17
   Likes Given
   9

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By dav22 View Post
   mkuu wote in computer na with computer wanasoma pure computer hakuna tofauti coz zote za networking,programming,softwar e analysis and design,network security na masomo yoooote yahusuyo comps wanasoma sawa tofauti ni kuwa with comp huwa wanasoma coz za statistics,physics au hesabu wakati in computer ni hesabu tu hata hivo kwa sehemu kama UDSM with computer huwa wanasoma statistics wakati in computer wanasoma hesabu hiyo tu ndo tofauti mkuu acha upotoshaji........
   With computer scienc mbona naona kama inabase kwenye education??? Alaf mbona cut off point kwa UDSM Bsc. in computer eng ipo juu kuliko with computer and ata intake yake naona huwa wanachukua watu kidogo kuliko with comp

  8. jwhizzy's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 24th September 2012
   Posts : 138
   Rep Power : 423
   Likes Received
   14
   Likes Given
   40

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Hivi kozi hizi ajira zake ziko??

  9. flyn ryder's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2013
   Location : zanzibar
   Posts : 467
   Rep Power : 507
   Likes Received
   42
   Likes Given
   15

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By jwhizzy View Post
   Hivi kozi hizi ajira zake ziko??
   Ajira zake ni mbinde aisee..bora ualimu mara mia

  10. oil sumu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th June 2013
   Posts : 724
   Rep Power : 501
   Likes Received
   39
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Einsten View Post
   Jman anejua tofauti ya course husika apo juu anifafanulie kwa makini becouse znanchanganya saana.
   tofaut yake n 'with' and 'in'

  11. LORDVILLE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2012
   Location : Imaginary island
   Posts : 2,762
   Rep Power : 4993410
   Likes Received
   548
   Likes Given
   372

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By dav22 View Post
   mkuu wote in computer na with computer wanasoma pure computer hakuna tofauti coz zote za networking,programming,softwar e analysis and design,network security na masomo yoooote yahusuyo comps wanasoma sawa tofauti ni kuwa with comp huwa wanasoma coz za statistics,physics au hesabu wakati in computer ni hesabu tu hata hivo kwa sehemu kama UDSM with computer huwa wanasoma statistics wakati in computer wanasoma hesabu hiyo tu ndo tofauti mkuu acha upotoshaji........
   Sizan kama uko sahih...embu pitia prospectus zao ndo utajua kama ni wew au jamaa ndo yuko wrong!! Huwez soma comp science yote afu ujazie na physics juu!! Lazima kuna vtu wataacha tu!!
   "Kama maisha yako yangekua ni ndoto, je ungetamani uamke au uendelee kuota????" by L.T.

  12. LORDVILLE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd June 2012
   Location : Imaginary island
   Posts : 2,762
   Rep Power : 4993410
   Likes Received
   548
   Likes Given
   372

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By jwhizzy View Post
   Hivi kozi hizi ajira zake ziko??
   Kwa science with computer ajira itakuepo tu!! Maana hawatasoma computer pekee...
   "Kama maisha yako yangekua ni ndoto, je ungetamani uamke au uendelee kuota????" by L.T.

  13. Manmud's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th October 2012
   Posts : 69
   Rep Power : 404
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By flyn ryder View Post
   Ajira zake ni mbinde aisee..bora ualimu mara mia
   ajira zipo za kumwaga kama utakua mzur ktk mambo ya programming,networking en so much mo...bt ol in ol mikono na vidole vyako ndo mtaji wa ajira yako

  14. Manmud's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th October 2012
   Posts : 69
   Rep Power : 404
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By LORDVILLE View Post
   Sizan kama uko sahih...embu pitia prospectus zao ndo utajua kama ni wew au jamaa ndo yuko wrong!! Huwez soma comp science yote afu ujazie na physics juu!! Lazima kuna vtu wataacha tu!!
   unapo zungumzia bsc.in computer scienc unazungumzia mambo yote ya komputer yenye sayanc ndan yake bt tofauti ya izo koz ni level ya NTA...bsc.in computer scienc ina NTA level 8 while bsc.with computer scienc ina NTA level 6

  15. dav22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,814
   Rep Power : 789
   Likes Received
   228
   Likes Given
   129

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By LORDVILLE View Post
   Sizan kama uko sahih...embu pitia prospectus zao ndo utajua kama ni wew au jamaa ndo yuko wrong!! Huwez soma comp science yote afu ujazie na physics juu!! Lazima kuna vtu wataacha tu!!
   mkuu cjasema wanasoma physics.......hizo ni options ambazo mtu wa with computer anaweza kusoma ila commonly kwa UDSM huwa wanasoma statistics mzee....hebu pitia maelezo yangu na uyaelewe vizuri

  16. dav22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,814
   Rep Power : 789
   Likes Received
   228
   Likes Given
   129

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By Einsten View Post
   With computer scienc mbona naona kama inabase kwenye education??? Alaf mbona cut off point kwa UDSM Bsc. in computer eng ipo juu kuliko with computer and ata intake yake naona huwa wanachukua watu kidogo kuliko with comp
   na labda umeisahau coz unayoiongelea with Comp haijawahi kuwa Education hata siku moja na iko School tofauti kabisa na education kijana labda kama inafanyika kwenye hivi vyuo vipya vipya ila kwa UDSM sio hivo. Alafu With Comp Science ndo huwa inachukua watu wachache kuliko In comp, with Comp Science huwa inachukua watu less than 50 ila In Comp huwa wanaweza kuchukua hadi watu 100 hiyo ni kwa miaka ya nyuma cjajua siku hizi maana hizi system za TCU ni hatari.....lakini kwa miaka ya nyuma coz zote In Comp na With Comp walikuwa wanachukua Div 1 na Div 2 kama mtu kapas vizuri Fiziksi na hesabu mkuu.....

  17. dav22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,814
   Rep Power : 789
   Likes Received
   228
   Likes Given
   129

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By Manmud View Post
   unapo zungumzia bsc.in computer scienc unazungumzia mambo yote ya komputer yenye sayanc ndan yake bt tofauti ya izo koz ni level ya NTA...bsc.in computer scienc ina NTA level 8 while bsc.with computer scienc ina NTA level 6
   mkuu unajua vizuri definition ya NTA levels aisee?? Naona unaongea vitu usivovijua.....coz yoyote yenye jina Bachelor of......... au inaitwa Degree huwa zinakuwa katika NTA level moja kijana....hebu nenda NACTE wakakueleweshe maana ya NTA na classification kuanzia Level za chini hadi PHD.....

  18. dav22's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Posts : 1,814
   Rep Power : 789
   Likes Received
   228
   Likes Given
   129

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By flyn ryder View Post
   Ajira zake ni mbinde aisee..bora ualimu mara mia
   si ukasome ualimu kwani umelazimishwa kusoma hizi coz??

  19. flyn ryder's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th August 2013
   Location : zanzibar
   Posts : 467
   Rep Power : 507
   Likes Received
   42
   Likes Given
   15

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By dav22 View Post
   na labda umeisahau coz unayoiongelea with Comp haijawahi kuwa Education hata siku moja na iko School tofauti kabisa na education kijana labda kama inafanyika kwenye hivi vyuo vipya vipya ila kwa UDSM sio hivo. Alafu With Comp Science ndo huwa inachukua watu wachache kuliko In comp, with Comp Science huwa inachukua watu less than 50 ila In Comp huwa wanaweza kuchukua hadi watu 100 hiyo ni kwa miaka ya nyuma cjajua siku hizi maana hizi system za TCU ni hatari.....lakini kwa miaka ya nyuma coz zote In Comp na With Comp walikuwa wanachukua Div 1 na Div 2 kama mtu kapas vizuri Fiziksi na hesabu mkuu.....
   Upo sahihi..tena ilipoanza ilikua inachukua dv1 tupu tena kali..sio 1 ya 9.. Saiv ndio wamelegeza kidogo

  20. Manmud's Avatar
   Member Array
   Join Date : 27th October 2012
   Posts : 69
   Rep Power : 404
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By dav22 View Post
   mkuu unajua vizuri definition ya NTA levels aisee?? Naona unaongea vitu usivovijua.....coz yoyote yenye jina Bachelor of......... au inaitwa Degree huwa zinakuwa katika NTA level moja kijana....hebu nenda NACTE wakakueleweshe maana ya NTA na classification kuanzia Level za chini hadi PHD.....
   poa poa mkuu ntafanya ivyo en thanks kwa kunielewesha

  21. mwambojoke's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th October 2011
   Location : Machakosi
   Posts : 332
   Rep Power : 512
   Likes Received
   144
   Likes Given
   96

   Default Re: Anaejua tofauti kati ya Bsc.in computer science and Bsc. with computer science

   Quote By Einsten View Post
   Jman anejua tofauti ya course husika apo juu anifafanulie kwa makini becouse znanchanganya saana.

   kwa mujibu wa UDSM unaweza kupitia hapa, japo kuna kuwa na mabadiliko ya madogo madogo

   B.Sc. (with Computer Science)
   B.Sc. (with Computer Science)
   First Year (Single Major with IS and MT + ST or PH)
   Core Courses

   Semester Code Title Units
   I
   IS 142 Introduction to High Level Programming
   3
   IS 161 Basic Computer Applications
   3
   II
   IS 136 Programming in C
   3
   IS 137 Data Structures and Algorithms
   3
   IS 243 Practical Training I
   2
   Total Units
   14
   First Year (Single Major with IS and MT + ST or PH) Optional Courses
   Semester Code Title Units
   I
   IS 139 Introduction to Computer Architecture
   3
   II
   MT 120 Functions of Single Variable
   3
   Second Year (Single Major with IS and MT + ST or PH) Core Courses
   Semester Code Title Units
   I
   IS 271 Computer Networks
   3
   IS 245 Operating Systems I
   3
   IS 272 Software Development I
   3
   EV 200 Environmental Science I
   2
   II
   IS 292 Object Oriented Programming
   3
   IS 263 Database Concepts
   3
   IS 343 Practical Training II
   2
   Total Units
   19
   Second Year (Single Major) Optional Courses
   Semester Code Title Units
   I
   IS 258 PC Maintenance
   2
   IS 242 Introduction to Computer Graphics
   2
   II
   IS 281 Network Design & Administration I
   3
   IS 253 Introduction to GIS
   2
   IS 254 Operating System II
   2
   IS 282 Software Development II
   3
   Third Year (Single Major with IS and MT + ST or PH) Core Courses
   Semester Code Title
   Units
   I
   IS 333 System Analysis and Design
   3
   IS 335 Final Year Project I
   2
   II
   IS 353 Implementation of Databases
   3
   IS 383 Internet Application & Programming
   2
   IS 335 Final Year Project II
   2
   Total Units
   12
   Third Year (Single Major) Optional Courses
   Semester Code Title Units
   I
   IS 391 Distributed Systems
   3
   IS 334 Organization and Management of Information Systems
   2
   IS 342 Management & Control of Software Project
   3
   IS 363 Introduction to Artificial Intelligence
   3
   II
   IS 364 IT Security
   2
   IS 374 Introduction to Computer Simulation and Modeling
   3
   Common Core Courses for all Students
   Units
   DS 101: Perspectives of Development I 2
   DS 102: Perspectives of Development II 2
   Common Optional Courses for all Science Students
   DS 211: Entrepreneurship 2
   SC 215: Science Methods 2
   Service Courses for non Computer Science Major
   IS 131: Introduction to Informatics and Microcomputers 3   B.Sc. (in Computer Science)

   First Year (Double Major) Core Courses
   Semester Code Title Units   I
   IS 142 Introduction to High Level Programming
   3
   IS 151 Digital Circuitry
   3
   IS 161 Basic Computer Applications
   3
   MT 100 Foundations of Analysis
   3
   MT 137 Discrete Mathematics
   2   II
   IS 133 Systems and Organisations
   2
   IS 138 Social-Cultural Implications of Information Technology
   2
   IS 139 Introduction to Computer Architecture
   3
   IS 136 Programming in C
   3
   IS 137 Data Structures and Algorithms
   3
   MT 127 Linear Algebra I
   3
   IS 243 Practical Training I
   2
   Total Units
   32
   Second Year (Double Major) Core Courses
   Semester Code Title
   Units
   I IS 271 Computer Networks
   3
   IS 272 Software Development I
   3
   MT 249 Mathematical Logic and Formal Semantics
   3
   IS 245 Operating Systems
   3
   EV 200 Environmental Science I
   2
   IS 258 PC Maintenance
   2
   II IS 292 Object Oriented Programming
   3
   IS 263 Database Concepts
   3
   IS 281 Network Design & Administration I
   3
   IS 273 Unix Systems Administration in Linux OS
   2
   MT 274 Numerical Analysis I
   3
   IS 343 Practical Training for Computer Science II
   2
   Total Units
   32
   Second Year (Double Major) Optional Courses
   Semester Code Title Units
   I
   IS 262 Compiler Technology
   2
   MT 233 Mathematical Statistics I
   3
   IS 234 Human Communication and Information Systems
   3
   II
   IS 242 Introduction to Computer Graphics
   3
   IS 253 Introduction to GIS
   2
   IS 282 Software Development II
   3
   IS 254 Operating System II
   2
   Third Year (Double Major) Core Courses
   Semester Code Title Units
   I IS 391 Distributed Systems
   3
   IS 333 System Analysis and Design
   3
   MT 338 Queuing Theory and Inventory Modules
   2
   IS 342 Management and Control of Software Project
   3
   IS 335 Final Year Project
   2
   II IS 353 Implementation of Databases
   3
   IS 335 Final Year Project
   2
   IS 364 IT Security
   2
   IS 383 Internet Application and Programming
   2
   MT 373 Mathematical Statistics II
   3
   Total Units
   26

   Common Core Courses for all Students
   Units
   DS 101: Perspectives of Development I 2
   DS 102: Perspectives of Development II 2
   Common Optional Courses for all Science Students
   DS 211: Entrepreneurship 2
   SC 215: Science Methods 2
   Service Courses for non Computer Science Major
   IS 131: Introduction to Informatics and Microcomputers 3

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...