JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: bodi ya mikopo HESLB 2013/2014

  Report Post
  Results 1 to 5 of 5
  1. Bensonlukwambe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 7th May 2013
   Location : dar es salaam
   Posts : 124
   Rep Power : 458
   Likes Received
   15
   Likes Given
   20

   Default bodi ya mikopo HESLB 2013/2014

   Nime apply mkopo HESLB kwa kufuata procedure zote , lakini kuna option moja ya ku print filled forms ndo inanichanganya , ina maana baada ya ku apply online kuna hard copy zinahitajika tena na kama zinahitajika ni tunazipeleka wapi na procedure gani za kufanya kabla ya kuzipeleka.
   cha pili niki click hiyo option inaniambia ni log in wakati nilikua nimesha log in na hata niki log in tena hakuna kinachofanyika.. help please especially with the process to follow after applying online.


  2. Dreson3's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd August 2012
   Location : Dar es salaam
   Posts : 1,624
   Rep Power : 763
   Likes Received
   396
   Likes Given
   57

   Default Re: bodi ya mikopo HESLB 2013/2014

   Samahani mkuu unajua si kila kitu lazima ukilete Huku nway sikulaumu sababu hujaziprint bado
   ni hivi ukishaprinnt kuna sehemu za kusign wewe na mzazi wako wenye viti wa mtaa pamoja na kugongewa mihuri na mahakimu au wanasheria

   pia unatakiwa uambatanishe na vyeti vyako vta form four form six( hiki chaeza kua chet au result slip) cha kuzaliwa na kitambulisho hiv vinatakiwa viwe certfied mahakamani kua ni kwel vilikua part ya original baada ya hapo unatuma kwa ems kuja dar.... ukiprint hizo form utapata maelezo yote

  3. Black ma colour's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2012
   Posts : 421
   Rep Power : 541
   Likes Received
   103
   Likes Given
   27

   Default Re: bodi ya mikopo HESLB 2013/2014

   hard copy ni muhmu kama mdau alivyoeleza hapo juu

  4. Sept Seventeenth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd May 2012
   Location : next door
   Posts : 1,448
   Rep Power : 776
   Likes Received
   201
   Likes Given
   282

   Default

   Quote By Bensonlukwambe View Post
   Nime apply mkopo HESLB kwa kufuata procedure zote , lakini kuna option moja ya ku print filled forms ndo inanichanganya , ina maana baada ya ku apply online kuna hard copy zinahitajika tena na kama zinahitajika ni tunazipeleka wapi na procedure gani za kufanya kabla ya kuzipeleka.
   cha pili niki click hiyo option inaniambia ni log in wakati nilikua nimesha log in na hata niki log in tena hakuna kinachofanyika.. help please especially with the process to follow after applying online.
   unapobonyeza option ya print,unakua na printer kwa pc?? Je umebadili browser unayotumia? Umeclear cookies? Nijuavyo,hata net ikizengua,pindi ukilog in utaendelezea pale pale ulipoishia.. Cjakuelewa ulivosema @hakuna kinachofanyika

  5. Mubhende's Avatar
   Member Array
   Join Date : 31st July 2012
   Posts : 39
   Rep Power : 481
   Likes Received
   5
   Likes Given
   2

   Default Re: bodi ya mikopo HESLB 2013/2014

   Ona sasa! Hii inaonesha watu wengi hawajifunzi kufanya mambo kwa umakini. Mtu anashindwa kufungua website na kusoma taarifa zinazohitajika pamoja na maelezo,anakuja kuuliza humu jf! Huu ni uvivu wa kusoma na kufikiri. Jamaa wamekuwekea link yao ya www.olas.heslb.go.tz ili uweze kuona vitu vinavyohitajika lakini wewe unakurupuka kujaza bila kusoma maelezo yaliyopo hapo. Kazi kwako mdau  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...