JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 24
  1. Access Denied's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2012
   Location : Dar es salaam
   Posts : 600
   Rep Power : 593
   Likes Received
   109
   Likes Given
   89

   Default Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Tangazo la kozi za Afya - 2013JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIIMAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa na Wizara ya Afya kwa mwaka wa masomo 2013/2014.1. Kozi zinazotangazwa ni:A. Kozi za ngazi ya Stashahadai) Afisa Afya ya Mazingira (Assistant Health Officer)(ii) Fiziotherapia (Physiotherapy)(iii) Fundi Sanifu Meno (Dental Laboratory Technologist)(iv) Mteknolojia Maabara (Laboratory Technician- off Campus)-Watajitegemea Malazi(v) Optometria (Optometry)(vi) Tabibu (Clinical Officer)(vii) Tabibu Meno (Dental Therapist)(viii) Uuguzi Daraja ‘’A’’ (Diploma in Nursing)B. Kozi za ngazi ya Cheti(i) Fundi Sanifu Maabara Msaidizi (Laboratory Assistants)(ii) Mtunza kumbukumbu za Afya (Health Record Technicians)(iii)Tabibu Msaidizi (Clinical Assistants)(iv) Uuguzi Daraja ‘’B’’ (Certificate in Nursing)C. Mafunzo ya Tabibu kwa njia ya masafa (Distance Learning) kwa wale waliohitimu mafunzo ya Tabibu Msaidizi mwaka 2009.2. Muda wa Mafunzoi) Miaka mitatu kwa kozi za Stashahada(ii) Miaka miwili kwa kozi za Ngazi ya cheti3. Sifa za Muombaji:Waombaji watarajali (Pre-service)i) Awe raia wa Tanzania(ii) Awe amemaliza kidato cha nne au sita kati ya mwaka 2008 na kuendelea(iii)Ufaulu wa kidato cha nne uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’, katika masomo ya Biologia na Kemia , na alama ‘D’ kwa somo la Fizikia kwa kozi za Stashahada . Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mitihani.(iv) Cheti chake cha kidato cha nne, kionyeshe ufaulu usiopungua point 28 kwa kozi za cheti. Aidha ni lazima awe na ufaulu usiopungua (minimum) alama ‘D’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mtihani.(v) Kwa wale waliomaliza kidato cha sita na wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya stashahada, wawe na alama isiyopungua ‘E’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Ufaulu huu uwe umepatikana katika kikao kimoja tu cha mtihani.(vi) Kufaulu somo la Kiingereza na Hisabati ni sifa ya nyongeza.Tangazo la kozi za Afya - 2013 Page 2Waombaji wa Mafunzo ya Masafa (Distance learning:A. Wanaotakiwa kujiunga na Bridging course kabla ya kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)i. Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manneii. Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya waganga wasaidizi vijijini mwaka 1999 na kurudi nyuma.B. Tabibu wasaidizi (NTA 5) Wanaotakiwa kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)i. Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manne.ii. Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya Tabibu wasaidizi (NTA 5) mwaka 2009.4. Utaratibu wa kutuma maombii) Fomu za maombi zitapatikana kwa wakuu wa kanda za mafunzo zilizoainishwa hapo chini (rejea kipengele Na. viii) chini, Waganga Wakuu wa wilaya na wakuu wa vyuo vya afya vilivyo chini ya Wizara.(ii) Waombaji wote watalipia fomu kwa sh. 15, 000/=. Risiti halisi ya Benki kwa ajili ya malipo haya, itawasilishwa pamoja na fomu za maombi. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa (Non refundable).(iii)Malipo yaingizwe kwenye akaunti ,‘Health Service fund’, Account No. 0111-030-12059 NBC – CORPORATE BRANCH.(iv) Maombi yatakayopokelewa na kufanyiwa kazi, ni yale yatakayoambatanishwa na risiti halisi ya malipo ya Benki, inayoonyesha kiwango cha malipo kilichotajwa hapo juu.(v) Maombi ambayo hayataambatanishwa na hati ya malipo ya Benki(Pay in Slip) na kivuli cha cheti cha Baraza la Mitihani cha kuhitimu Elimu ya Sekondari, hayatafanyiwa kazi.(vi) Maombi yote yatapokelewa kupititia kanda za mafunzo baada ya malipo kufanyika kwenye akaunti iliyotajwa hapo juu.(vii) Fomu za maombi zijazwe na zitumwe kwa katibu mkuu, wizara ya afya na ustawi wa jamii,kupitia anwani za wakuu wa kanda kulingana na eneo muombaji alipo.(viii) Anwani za Wakuu wa Kanda ni kama zilivyoainishwa hapa chini:-a) Mratibu wa Kanda ya Mashariki (Mikoa ya Morogoro na Pwani) - Chuo cha Mafunzo ya Afya ya Jamii – S.L.P. 1060, Morogoro.b) Mratibu wa Kanda ya Magharibi (Mikoa ya Kigoma na Tabora) – Chuo cha Tabibu Wasaidizi, S.L.P. 458, Kigomac) Mratibu wa Kanda ya Kusini (Mikoa ya Lindi na Mtwara)– Chuo cha Tabibu, S.L.P. 86, Mtwara.d) Mratibu wa Kanda ya Kaskazini (Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga)– Chuo cha CEDHA, S.L.P.1162, Arusha..e) Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Magharibi (Mikoa ya Rukwa na Mbeya) – Chuo cha Madaktari Waasaidizi, S.L.P. 1142, Mbeya.f) Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mikoa ya Ruvuma na Iringa)– Chuo cha Afya ya Jamii, S.L.P. 235, Iringa.g) Mratibu wa Kanda ya Kati (Mikoa ya Singida na Dodoma) – Chuo cha Uuguzi Mirembe, S.L.P. 595, Dodoma.h) Mratibu wa Kanda ya Ziwa (Mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera na Shinyanga) – Chuo cha Madaktari Wasaidizi, S.L.P. 11351, Mwanza.i) Mkurugenzi wa Taasisi za Sayansi Shiriki za Afya Muhimbili, S.L.P 65005, Dar-es-salaam.j) Mkuu wa Chuo cha Madaktari Wasaidizi-Tanga, S.L.P 5030, Tanga.k) Mkuu wa Chuo cha Tabibu-Kibaha, S.L.P 30282, Kibaha5. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:a) Wizara itakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali kupitia magazeti, ‘website’ ya Wizara na mbao za matangazo Wizarani na Kanda za Mafunzo.b) Taarifa hizo zitatumwa pia kwenye kanda za mafunzo kama zilivyoainishwa hapo juu.6. Muda wa mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 Aprili, 2013.7. Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 1 Oktoba, 2013.Imetolewa na:Katibu Mkuu,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,S.L.P. 9083,Dar es Salaam.
   "Hurt me with the Truth but Never Comfort me with Lies"

  2. Nyalotsi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2011
   Posts : 4,597
   Rep Power : 5292210
   Likes Received
   1596
   Likes Given
   1293

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Hivi siku hizi kusoma kozi za afya lazima usome physics? Hata nursing na maabara? Maana kuna watu waliacha physics form two ila wana ufaulu mzuri wa cbg na maths na advance hawakufanya vizuri. Sijaona ulazima wa kuzuia watu waliofaulu bios na chem wasisome nursing, maabara na health officers labda clinical officer, dental, radiotherapy. Au ndo yale ya documents ambazo zinaandikwa tu bila kufanyiwa kazi?

  3. Sheko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2013
   Posts : 290
   Rep Power : 501
   Likes Received
   23
   Likes Given
   0

   Default

   [QUOTE=Access du! Hasa si wengine tuliopata BIO C,CHEM C na PHY d tutakuwa hatujakamilisha vigezo kwa sababu MATH na ENG tuna F na kama vigezo nitakuwa navyo naweza kuingia MUHIMBILI UNIVERSITY COLLEGE Denied;5881329]Tangazo la kozi za Afya - 2013JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIIMAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa na Wizara ya Afya kwa mwaka wa masomo 2013/2014.1. Kozi zinazotangazwa ni:A. Kozi za ngazi ya Stashahadai) Afisa Afya ya Mazingira (Assistant Health Officer)(ii) Fiziotherapia (Physiotherapy)(iii) Fundi Sanifu Meno (Dental Laboratory Technologist)(iv) Mteknolojia Maabara (Laboratory Technician- off Campus)-Watajitegemea Malazi(v) Optometria (Optometry)(vi) Tabibu (Clinical Officer)(vii) Tabibu Meno (Dental Therapist)(viii) Uuguzi Daraja ‘’A’’ (Diploma in Nursing)B. Kozi za ngazi ya Cheti(i) Fundi Sanifu Maabara Msaidizi (Laboratory Assistants)(ii) Mtunza kumbukumbu za Afya (Health Record Technicians)(iii)Tabibu Msaidizi (Clinical Assistants)(iv) Uuguzi Daraja ‘’B’’ (Certificate in Nursing)C. Mafunzo ya Tabibu kwa njia ya masafa (Distance Learning) kwa wale waliohitimu mafunzo ya Tabibu Msaidizi mwaka 2009.2. Muda wa Mafunzoi) Miaka mitatu kwa kozi za Stashahada(ii) Miaka miwili kwa kozi za Ngazi ya cheti3. Sifa za Muombaji:Waombaji watarajali (Pre-service)i) Awe raia wa Tanzania(ii) Awe amemaliza kidato cha nne au sita kati ya mwaka 2008 na kuendelea(iii)Ufaulu wa kidato cha nne uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’, katika masomo ya Biologia na Kemia , na alama ‘D’ kwa somo la Fizikia kwa kozi za Stashahada . Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mitihani.(iv) Cheti chake cha kidato cha nne, kionyeshe ufaulu usiopungua point 28 kwa kozi za cheti. Aidha ni lazima awe na ufaulu usiopungua (minimum) alama ‘D’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mtihani.(v) Kwa wale waliomaliza kidato cha sita na wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya stashahada, wawe na alama isiyopungua ‘E’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Ufaulu huu uwe umepatikana katika kikao kimoja tu cha mtihani.(vi) Kufaulu somo la Kiingereza na Hisabati ni sifa ya nyongeza.Tangazo la kozi za Afya - 2013 Page 2Waombaji wa Mafunzo ya Masafa (Distance learning:A. Wanaotakiwa kujiunga na Bridging course kabla ya kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)i. Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manneii. Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya waganga wasaidizi vijijini mwaka 1999 na kurudi nyuma.B. Tabibu wasaidizi (NTA 5) Wanaotakiwa kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)i. Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manne.ii. Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya Tabibu wasaidizi (NTA 5) mwaka 2009.4. Utaratibu wa kutuma maombii) Fomu za maombi zitapatikana kwa wakuu wa kanda za mafunzo zilizoainishwa hapo chini (rejea kipengele Na. viii) chini, Waganga Wakuu wa wilaya na wakuu wa vyuo vya afya vilivyo chini ya Wizara.(ii) Waombaji wote watalipia fomu kwa sh. 15, 000/=. Risiti halisi ya Benki kwa ajili ya malipo haya, itawasilishwa pamoja na fomu za maombi. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa (Non refundable).(iii)Malipo yaingizwe kwenye akaunti ,‘Health Service fund’, Account No. 0111-030-12059 NBC – CORPORATE BRANCH.(iv) Maombi yatakayopokelewa na kufanyiwa kazi, ni yale yatakayoambatanishwa na risiti halisi ya malipo ya Benki, inayoonyesha kiwango cha malipo kilichotajwa hapo juu.(v) Maombi ambayo hayataambatanishwa na hati ya malipo ya Benki(Pay in Slip) na kivuli cha cheti cha Baraza la Mitihani cha kuhitimu Elimu ya Sekondari, hayatafanyiwa kazi.(vi) Maombi yote yatapokelewa kupititia kanda za mafunzo baada ya malipo kufanyika kwenye akaunti iliyotajwa hapo juu.(vii) Fomu za maombi zijazwe na zitumwe kwa katibu mkuu, wizara ya afya na ustawi wa jamii,kupitia anwani za wakuu wa kanda kulingana na eneo muombaji alipo.(viii) Anwani za Wakuu wa Kanda ni kama zilivyoainishwa hapa chini:-a) Mratibu wa Kanda ya Mashariki (Mikoa ya Morogoro na Pwani) - Chuo cha Mafunzo ya Afya ya Jamii – S.L.P. 1060, Morogoro.b) Mratibu wa Kanda ya Magharibi (Mikoa ya Kigoma na Tabora) – Chuo cha Tabibu Wasaidizi, S.L.P. 458, Kigomac) Mratibu wa Kanda ya Kusini (Mikoa ya Lindi na Mtwara)– Chuo cha Tabibu, S.L.P. 86, Mtwara.d) Mratibu wa Kanda ya Kaskazini (Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga)– Chuo cha CEDHA, S.L.P.1162, Arusha..e) Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Magharibi (Mikoa ya Rukwa na Mbeya) – Chuo cha Madaktari Waasaidizi, S.L.P. 1142, Mbeya.f) Mratibu wa Kanda ya Nyanda za

  4. BLESS MIHILA's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 22nd December 2012
   Location : Kigoma Urban
   Posts : 221
   Rep Power : 498
   Likes Received
   19
   Likes Given
   43

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Tunashukuru kwa taarifa kwenye familia

  5. Ben40's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th April 2012
   Posts : 176
   Rep Power : 524
   Likes Received
   12
   Likes Given
   21

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Wadau vyuo vp ni vzuri kwa ngazi ya cheti medical lab.?

  6. Sheko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2013
   Posts : 290
   Rep Power : 501
   Likes Received
   23
   Likes Given
   0

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Hivi jamani namboni kuuliza mimi nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana na hapo vigezo vyote ninavyo vya kujiunga na hivyo vyuo sababu nimepata BIO C,CHEM C na PHYS D. Hasa nikianza na ngazi ya cheti itanikost miaka mingapi hadi kufikia university naombeni mnijuze wakuu

  7. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897713
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Nimeshindwa kusoma

   Kindness is the language which the deaf can hear and the blind can see - Mark Twain
   CCM is enemy of GOD

  8. BGG's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Posts : 120
   Rep Power : 515
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Sheko View Post
   Hivi jamani namboni kuuliza mimi nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana na hapo vigezo vyote ninavyo vya kujiunga na hivyo vyuo sababu nimepata BIO C,CHEM C na PHYS D. Hasa nikianza na ngazi ya cheti itanikost miaka mingapi hadi kufikia university naombeni mnijuze wakuu
   unasoma miaka mitatu na unapata NTA Level 6 ambayo nikigezo cha wewe kuingia chuo kikuu moja kwa moja

  9. Sheko's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2013
   Posts : 290
   Rep Power : 501
   Likes Received
   23
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By BGG View Post
   unasoma miaka mitatu na unapata NTA Level 6 ambayo nikigezo cha wewe kuingia chuo kikuu moja kwa moja
   asante sana mkuu kwa kunijuza.ila hapo ina maana kwamba diploma nasoma mwaka mmoja sababu certificate nasoma miaka miwilli naomba kujuzwa na hapo wakuu?

  10. Ben40's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 18th April 2012
   Posts : 176
   Rep Power : 524
   Likes Received
   12
   Likes Given
   21

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Ndiyo dipl. ni mwaka 1.

  11. Erick minde's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 17th March 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Access Denied View Post
   Tangazo la kozi za Afya - 2013JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIAWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMIIMAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2013/14Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii anakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali zinazotolewa na Wizara ya Afya kwa mwaka wa masomo 2013/2014.1. Kozi zinazotangazwa ni:A. Kozi za ngazi ya Stashahadai) Afisa Afya ya Mazingira (Assistant Health Officer)(ii) Fiziotherapia (Physiotherapy)(iii) Fundi Sanifu Meno (Dental Laboratory Technologist)(iv) Mteknolojia Maabara (Laboratory Technician- off Campus)-Watajitegemea Malazi(v) Optometria (Optometry)(vi) Tabibu (Clinical Officer)(vii) Tabibu Meno (Dental Therapist)(viii) Uuguzi Daraja ‘’A’’ (Diploma in Nursing)B. Kozi za ngazi ya Cheti(i) Fundi Sanifu Maabara Msaidizi (Laboratory Assistants)(ii) Mtunza kumbukumbu za Afya (Health Record Technicians)(iii)Tabibu Msaidizi (Clinical Assistants)(iv) Uuguzi Daraja ‘’B’’ (Certificate in Nursing)C. Mafunzo ya Tabibu kwa njia ya masafa (Distance Learning) kwa wale waliohitimu mafunzo ya Tabibu Msaidizi mwaka 2009.2. Muda wa Mafunzoi) Miaka mitatu kwa kozi za Stashahada(ii) Miaka miwili kwa kozi za Ngazi ya cheti3. Sifa za Muombaji:Waombaji watarajali (Pre-service)i) Awe raia wa Tanzania(ii) Awe amemaliza kidato cha nne au sita kati ya mwaka 2008 na kuendelea(iii)Ufaulu wa kidato cha nne uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘C’, katika masomo ya Biologia na Kemia , na alama ‘D’ kwa somo la Fizikia kwa kozi za Stashahada . Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mitihani.(iv) Cheti chake cha kidato cha nne, kionyeshe ufaulu usiopungua point 28 kwa kozi za cheti. Aidha ni lazima awe na ufaulu usiopungua (minimum) alama ‘D’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Alama hizi zipatikane katika kikao kimoja tu cha mtihani.(v) Kwa wale waliomaliza kidato cha sita na wanaohitaji kujiunga na mafunzo ya stashahada, wawe na alama isiyopungua ‘E’, kwa masomo ya Biologia, Kemia na Fizikia. Ufaulu huu uwe umepatikana katika kikao kimoja tu cha mtihani.(vi) Kufaulu somo la Kiingereza na Hisabati ni sifa ya nyongeza.Tangazo la kozi za Afya - 2013 Page 2Waombaji wa Mafunzo ya Masafa (Distance learning:A. Wanaotakiwa kujiunga na Bridging course kabla ya kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)i. Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manneii. Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya waganga wasaidizi vijijini mwaka 1999 na kurudi nyuma.B. Tabibu wasaidizi (NTA 5) Wanaotakiwa kuendelea na masomo ya NTA 6 (Clinical Officer)i. Awe amemaliza kidato cha nne na kupata ufaulu wa angalau alama “D” katika masomo manne.ii. Awe na cheti cha kuhitimu mafunzo ya Tabibu wasaidizi (NTA 5) mwaka 2009.4. Utaratibu wa kutuma maombii) Fomu za maombi zitapatikana kwa wakuu wa kanda za mafunzo zilizoainishwa hapo chini (rejea kipengele Na. viii) chini, Waganga Wakuu wa wilaya na wakuu wa vyuo vya afya vilivyo chini ya Wizara.(ii) Waombaji wote watalipia fomu kwa sh. 15, 000/=. Risiti halisi ya Benki kwa ajili ya malipo haya, itawasilishwa pamoja na fomu za maombi. Kiasi hiki cha fedha hakitarejeshwa (Non refundable).(iii)Malipo yaingizwe kwenye akaunti ,‘Health Service fund’, Account No. 0111-030-12059 NBC – CORPORATE BRANCH.(iv) Maombi yatakayopokelewa na kufanyiwa kazi, ni yale yatakayoambatanishwa na risiti halisi ya malipo ya Benki, inayoonyesha kiwango cha malipo kilichotajwa hapo juu.(v) Maombi ambayo hayataambatanishwa na hati ya malipo ya Benki(Pay in Slip) na kivuli cha cheti cha Baraza la Mitihani cha kuhitimu Elimu ya Sekondari, hayatafanyiwa kazi.(vi) Maombi yote yatapokelewa kupititia kanda za mafunzo baada ya malipo kufanyika kwenye akaunti iliyotajwa hapo juu.(vii) Fomu za maombi zijazwe na zitumwe kwa katibu mkuu, wizara ya afya na ustawi wa jamii,kupitia anwani za wakuu wa kanda kulingana na eneo muombaji alipo.(viii) Anwani za Wakuu wa Kanda ni kama zilivyoainishwa hapa chini:-a) Mratibu wa Kanda ya Mashariki (Mikoa ya Morogoro na Pwani) - Chuo cha Mafunzo ya Afya ya Jamii – S.L.P. 1060, Morogoro.b) Mratibu wa Kanda ya Magharibi (Mikoa ya Kigoma na Tabora) – Chuo cha Tabibu Wasaidizi, S.L.P. 458, Kigomac) Mratibu wa Kanda ya Kusini (Mikoa ya Lindi na Mtwara)– Chuo cha Tabibu, S.L.P. 86, Mtwara.d) Mratibu wa Kanda ya Kaskazini (Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga)– Chuo cha CEDHA, S.L.P.1162, Arusha..e) Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Magharibi (Mikoa ya Rukwa na Mbeya) – Chuo cha Madaktari Waasaidizi, S.L.P. 1142, Mbeya.f) Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (Mikoa ya Ruvuma na Iringa)– Chuo cha Afya ya Jamii, S.L.P. 235, Iringa.g) Mratibu wa Kanda ya Kati (Mikoa ya Singida na Dodoma) – Chuo cha Uuguzi Mirembe, S.L.P. 595, Dodoma.h) Mratibu wa Kanda ya Ziwa (Mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera na Shinyanga) – Chuo cha Madaktari Wasaidizi, S.L.P. 11351, Mwanza.i) Mkurugenzi wa Taasisi za Sayansi Shiriki za Afya Muhimbili, S.L.P 65005, Dar-es-salaam.j) Mkuu wa Chuo cha Madaktari Wasaidizi-Tanga, S.L.P 5030, Tanga.k) Mkuu wa Chuo cha Tabibu-Kibaha, S.L.P 30282, Kibaha5. Utaratibu wa kutoa taarifa kwa waliochaguliwa:a) Wizara itakuwa na wajibu wa kuwataarifu wale wote watakaofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kozi mbalimbali kupitia magazeti, ‘website’ ya Wizara na mbao za matangazo Wizarani na Kanda za Mafunzo.b) Taarifa hizo zitatumwa pia kwenye kanda za mafunzo kama zilivyoainishwa hapo juu.6. Muda wa mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30 Aprili, 2013.7. Muhula wa masomo unatarajiwa kuanza tarehe 1 Oktoba, 2013.Imetolewa na:Katibu Mkuu,Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,S.L.P. 9083,Dar es Salaam.
   za asubuhii??vipi mimi nina c ya biology na nina pointi 29 ntapata nafasi??

  12. 3MMANUEL's Avatar
   Member Array
   Join Date : 8th November 2012
   Posts : 14
   Rep Power : 462
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   jamani nina
   CHEM-C,
   BIOS-C
   MATH-D
   PHYS-D
   KWENYE TANGAZO HAPO JUU KUNA SHARTI MOJA LINANIBANA KU-APPLY KWASABABU WAMESEMA MWOMBAJI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE 2008 NA KUENDELEA NA MIMI NIMEMALIZA 2006 NAOMBA USHAURI NIJARIBU KUTUMA MAOMBI AU SIWEZI KUPATA NAFASI KABISA?

  13. RAMA BINRAMA's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 16th January 2013
   Posts : 4
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   mm naombeni msaada wa namna gani nitaweza kupata shule ya advance mkoa wa tanga EGM plz naombeni msaada. mda unazidi kwenda kwani sifahamu shule yoyote.

  14. THE GREAT CAMP's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th June 2012
   Posts : 767
   Rep Power : 0
   Likes Received
   187
   Likes Given
   248

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Quote By 3MMANUEL View Post
   jamani nina
   CHEM-C,
   BIOS-C
   MATH-D
   PHYS-D
   KWENYE TANGAZO HAPO JUU KUNA SHARTI MOJA LINANIBANA KU-APPLY KWASABABU WAMESEMA MWOMBAJI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE 2008 NA KUENDELEA NA MIMI NIMEMALIZA 2006 NAOMBA USHAURI NIJARIBU KUTUMA MAOMBI AU SIWEZI KUPATA NAFASI KABISA?
   apply utapata

  15. Otorong'ong'o's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2011
   Location : Uvunguni
   Posts : 20,092
   Rep Power : 241984753
   Likes Received
   4857
   Likes Given
   2380

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Hapa nimeona maruweruwe...

  16. CompaQ's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 31st December 2012
   Location : Dar Es Salaam
   Posts : 211
   Rep Power : 801870
   Likes Received
   65
   Likes Given
   15

   Default

   Quote By Ben40 View Post
   Ndiyo dipl. ni mwaka 1.
   acha uongo umeambiwa hiyo Diploma ni ya CBE?
   Hakuna kitu kama hicho!
   Ukiamua kwenda kusoma Diploma ni miaka mitatu!
   Ngazi ya certificate ni Miaka 2
   hata ukianza ngazi ya cheti ambayo ni miaka miwili kisha ukaamua kuendeleza diploma utasoma tena miaka mitatu!

  17. Cambri's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th November 2012
   Posts : 114
   Rep Power : 9463
   Likes Received
   22
   Likes Given
   8

   Default

   Quote By 3MMANUEL View Post
   jamani nina
   CHEM-C,
   BIOS-C
   MATH-D
   PHYS-D
   KWENYE TANGAZO HAPO JUU KUNA SHARTI MOJA LINANIBANA KU-APPLY KWASABABU WAMESEMA MWOMBAJI AWE AMEMALIZA KIDATO CHA NNE 2008 NA KUENDELEA NA MIMI NIMEMALIZA 2006 NAOMBA USHAURI NIJARIBU KUTUMA MAOMBI AU SIWEZI KUPATA NAFASI KABISA?
   Unaweza kupata

  18. Arteta_21's Avatar
   Member Array
   Join Date : 25th February 2013
   Posts : 12
   Rep Power : 447
   Likes Received
   2
   Likes Given
   0

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Wakuu kama una F ya math halafu PHY-D CHEM-C BIO-C na ENG-D halafu nika apply diploma in clinical officer naweza kuchaguliwa?

  19. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 26,146
   Rep Power : 429502272
   Likes Received
   20937
   Likes Given
   10494

   Default

   Quote By Ben40 View Post
   Wadau vyuo vp ni vzuri kwa ngazi ya cheti medical lab.?
   Hakuna chuo kizuri wala kibaya. Ni akili yako, bidii binafsi na utakavyojiuza sokoni. Ila kuna vyuo vya kifahari (prestigious)

  20. Kabodot's Avatar
   Member Array
   Join Date : 8th October 2012
   Posts : 13
   Rep Power : 467
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

   Kama niko kanda ya kati nikatuma kanda ya ziwa nivibaya?

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...