Kuna uwezekano wa kutuchanganya kuhusu matokeo haya. Inafaa serikali iseme wazi kilichotokea tangu uasahihishaji hadi kutoa matokeo. Serikali ikifanya hivyo basi jumuiya itakuwa na mahali pakuanzia kutoa maoni. Kinachofanyika sasa ni kila mtu kutoa hisia zake bila kuwa na vigezo vya kusema hivyo.