JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

  Report Post
  Page 7 of 18 FirstFirst ... 56789 17 ... LastLast
  Results 121 to 140 of 344
  1. #1
   Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,902
   Rep Power : 8653528
   Likes Received
   1290
   Likes Given
   1153

   Default Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Wakuu,

   NECTA wametangaza matokeo tayari.

   Kuyapata matokeo (kama yalivyotangazwa tarehe 18/02/2013), tembelea:

   MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums)

   QT Results 2012 - JamiiForums
   Quote By Andrew Nyerere View Post
   60% ya wanafunzi wafeli mtihani

   Jumatatu, Februari 18, 2013

   MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yametangazwa. Watahiniwa 240,903 sawa na asilimia 60.6 wamepata sifuri, huku wanafunzi 23,520 tu ambao ni sawa na asilimia 5.16 ndiyo waliofaulu na wengine 103,327 sawa na asilimia 26.02 wamepata daraja la nne.

   Akitangaza matokeo hayo jana, Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa alisema watahiniwa walikuwa 456,137, wa shule wakiwa 397,136 huku wa kujitegemea wakiwa 68,806.

   Kwa mujibu wa matokeo hayo, watahiniwa waliopata daraja la kwanza ni 1,641, wavulana wakiwa 1,073 na wasichana 568, daraja la pili ni 6,453, wavulana wakiwa 4,456 na wasichana 1,997.

   “Matokeo ya mwaka huu yamekuwa mabaya sana, Serikali tunasikitika kutokana na hali hii lakini tuna mipango mbalimbali ya kuhakikisha tunaweza kutatua hili tatizo,” alisema Dk Kawambwa.
   Forever We Thank You!
  2. ABEDNEGO CHARLES's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd August 2012
   Posts : 519
   Rep Power : 567
   Likes Received
   73
   Likes Given
   27

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Amina!

  3. Kusai's Avatar
   Member Array
   Join Date : 24th May 2012
   Posts : 37
   Rep Power : 483
   Likes Received
   12
   Likes Given
   15

   Default

   Quote By Rogie View Post
   dah inatumia muda mrefu sana.
   Mkuu nitupie jicho S2701 Lulanzi SS

  4. christine ibrahim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2012
   Location : earth
   Posts : 10,283
   Rep Power : 314919644
   Likes Received
   3396
   Likes Given
   32226

   Default

   Quote By Mchaka Mchaka View Post
   ya mabucha !
   Ha haa haaa,dah!mkuu umenichekesha

  5. bishankara's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st February 2012
   Posts : 140
   Rep Power : 518
   Likes Received
   8
   Likes Given
   0

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Na mm naomba Kaisho s0586

  6. #125
   UKI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2012
   Location : Mali
   Posts : 699
   Rep Power : 613
   Likes Received
   162
   Likes Given
   182

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   inafunguka taratibu sana ila thanks nimefanikiwa


  7. Otorong'ong'o's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th August 2011
   Location : Uvunguni
   Posts : 20,067
   Rep Power : 241984741
   Likes Received
   4845
   Likes Given
   2380

   Default Re: Matokeo kidato cha nne yatoka rasmi

   Hebu wekeni hizo top ten schools..

  8. chriss mattar's Avatar
   Member Array
   Join Date : 16th January 2013
   Posts : 10
   Rep Power : 445
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   hiv nikwel ama mnatudanganya

  9. Malunde-Malundi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2008
   Posts : 1,290
   Rep Power : 0
   Likes Received
   124
   Likes Given
   41

   Default Nusu ya wahitimu form four ni zero au sifuri

   Jamani hii ikiwa snapshot ktk taarifa ya ITV waziri hata aibu hana kabisa, jamani nchibyetu tunaelekea wapi

  10. #129
   R.B's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th May 2012
   Posts : 4,151
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1193
   Likes Given
   721

   Default Matokeo ya form four yatangazwa.

   SERIKALI imetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 ambapo kwa mwaka huu idadi ya wanafunzi waliofeli imeongezeka na kufikia laki mbili na arobaini.

   Mbali na ongozeko la idadi ya wanafunzi waliofeli , ufaulu wa wanafunzi wa kike umekuwa mdogo ukilinganishwa na wa kiume.

   Kati ya watahiniwa 126,847 ni watahiniwa 397,136 ndiyo waliofanya mtihani huo, wasichana waliofaulu ni 46,181 wakati wavulana waliofaulu ni 80,686 huku Waliofutiwa mtihani ni 789 kwa kosa la kuandika matusi katika mitihiani yao.

   Shule kumi zilizotajwa kufanya vizuri ni pamoja na st. francis ya mkoani mbeya, marian wavulani ya pwani na fedha wavulana ya dar eslsaama.  11. ntamaholo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2011
   Location : Mwilavya
   Posts : 6,269
   Rep Power : 2074
   Likes Received
   1483
   Likes Given
   504

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   haudanganyiki mpwa
   UTUMISHI WA HAKI, NI SULUHISHO LA MAOVU YOTE

  12. Little Angel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2011
   Posts : 1,208
   Rep Power : 757
   Likes Received
   364
   Likes Given
   489

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Quote By dancani View Post
   ungetaja Centre number ingesaidia kurahisisha mkuu
   centre number ni S0343

  13. Dancani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Posts : 801
   Rep Power : 704
   Likes Received
   364
   Likes Given
   375

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Quote By Little Angel View Post
   centre number ni S0343
   Tayari yameshawekwa angalia thread ya 123

  14. Little Angel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2011
   Posts : 1,208
   Rep Power : 757
   Likes Received
   364
   Likes Given
   489

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   mfarisayo asante sana. yaani ni majanga leo mama yake atazimia.. yaani hivi vibinti vya kileo hivi..aagh sina hata pozi la kusema,

  15. Little Angel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2011
   Posts : 1,208
   Rep Power : 757
   Likes Received
   364
   Likes Given
   489

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Quote By dancani View Post
   Tayari yameshawekwa angalia thread ya 123
   dancani asante nimeona.. dah ni majanga hata sijui mama yake yupo katika hali gani kama ameyaona.. yaani nna hasira sana sana.
   Dancani likes this.

  16. HardMartin's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th June 2012
   Posts : 192
   Rep Power : 512
   Likes Received
   30
   Likes Given
   0

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Wadau naomben mniuploadie matokeo ya shule yenye no.s.540 na s.605 pamoja na no.s.444 natanguliza shukrani

  17. Sangali Jr's Avatar
   Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 15
   Rep Power : 449
   Likes Received
   2
   Likes Given
   1

   Default

   Quote By Mamboleo View Post
   Acha uongo.Hawajaweka kwenye mtandao wa NECTA
   Wameweka mtandao gani?

  18. Dancani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Posts : 801
   Rep Power : 704
   Likes Received
   364
   Likes Given
   375

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   [QUOTE=Little Angel;5725081]dancani asante nimeona.. dah ni majanga hata sijui mama yake yupo katika hali gani kama ameyaona.. yaani nna hasira sana sana.[/QU
   Asante sana ila bado muhusika anao uamuzi wa kurekebisha, elimu y sekondari na kundelea ni kusoma hakuna miujiza

  19. Dancani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Posts : 801
   Rep Power : 704
   Likes Received
   364
   Likes Given
   375

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Daahhh jukwaaa limependeza sana leo..

   There are currently 6457 users browsing this thread.
   (230 members and 6227 guests)

  20. Kachanchabuseta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2010
   Posts : 7,296
   Rep Power : 2043
   Likes Received
   630
   Likes Given
   1457

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   national examinations council of tanzania

   csee 2012 examination results   s1568 al-furqaan islamic seminary div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 19 fld = 73  21. Kachanchabuseta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th March 2010
   Posts : 7,296
   Rep Power : 2043
   Likes Received
   630
   Likes Given
   1457

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   national examinations council of tanzania

   csee 2012 examination results   s1921 luqman islamic seminary div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 2 div-iv = 16 fld = 17
  Page 7 of 18 FirstFirst ... 56789 17 ... LastLast

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...