JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

  Report Post
  Page 12 of 18 FirstFirst ... 21011121314 ... LastLast
  Results 221 to 240 of 344
  1. #1
   Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,918
   Rep Power : 8653538
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   1153

   Default Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Wakuu,

   NECTA wametangaza matokeo tayari.

   Kuyapata matokeo (kama yalivyotangazwa tarehe 18/02/2013), tembelea:

   MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums)

   QT Results 2012 - JamiiForums
   Quote By Andrew Nyerere View Post
   60% ya wanafunzi wafeli mtihani

   Jumatatu, Februari 18, 2013

   MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yametangazwa. Watahiniwa 240,903 sawa na asilimia 60.6 wamepata sifuri, huku wanafunzi 23,520 tu ambao ni sawa na asilimia 5.16 ndiyo waliofaulu na wengine 103,327 sawa na asilimia 26.02 wamepata daraja la nne.

   Akitangaza matokeo hayo jana, Waziri wa Elimu Dk Shukuru Kawambwa alisema watahiniwa walikuwa 456,137, wa shule wakiwa 397,136 huku wa kujitegemea wakiwa 68,806.

   Kwa mujibu wa matokeo hayo, watahiniwa waliopata daraja la kwanza ni 1,641, wavulana wakiwa 1,073 na wasichana 568, daraja la pili ni 6,453, wavulana wakiwa 4,456 na wasichana 1,997.

   “Matokeo ya mwaka huu yamekuwa mabaya sana, Serikali tunasikitika kutokana na hali hii lakini tuna mipango mbalimbali ya kuhakikisha tunaweza kutatua hili tatizo,” alisema Dk Kawambwa.
   Forever We Thank You!
  2. Yusuph p. Kisunzu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 126
   Rep Power : 479
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Asanteni kunipa matokeo. Samahani nisaidieni kuniangalizia haya.
   S.1842/1213 na S.3813

  3. Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,918
   Rep Power : 8653538
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   1153

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Quote By imani ernest View Post
   sasa hayo matokeo nita yaonaje?
   http://www.jamiiforums.com/matokeo2012/olevel.htm
   Forever We Thank You!  4. Nospah's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd May 2012
   Posts : 343
   Rep Power : 552
   Likes Received
   64
   Likes Given
   32

   Default re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Wakuu one za 7 na 8 zipo ngap..? Me cjabahatika kuziona...

  5. Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,918
   Rep Power : 8653538
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   1153

   Default Re: NECTA Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Quote By Yusuph p. Kisunzu View Post
   Asanteni kunipa matokeo. Samahani nisaidieni kuniangalizia haya.
   S.1842/1213 na S.3813
   S1842 TAWHEED SEMINARY
   DIV-I = 1 DIV-II = 4 DIV-III = 13 DIV-IV = 17 FLD = 7

   S1213-Sijaona shule yenye usajili huu.


   S3813 BWAFUMBA SECONDARY SCHOOL
   DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 4 FLD = 20
   CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE) 10/11
   CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE) 547/747

   Forever We Thank You!  6. Yusuph p. Kisunzu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 126
   Rep Power : 479
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Rogie View Post
   S1842 TAWHEED SEMINARY
   DIV-I = 1 DIV-II = 4 DIV-III = 13 DIV-IV = 17 FLD = 7

   S1213-Sijaona shule yenye usajili huu.


   S3813 BWAFUMBA SECONDARY SCHOOL
   DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 4 FLD = 20
   CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE) 10/11
   CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE) 547/747


   sorry nimemisstakeni ilikuwa ni
   S.1843/1213
   hiyo ni namba yote ya mwanafunzi.


  7. Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,918
   Rep Power : 8653538
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   1153

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Quote By wikolo View Post
   Duh naangalia shule moja hapa na hali iko hivi:

   Div1=0
   Div2=1
   Div3=2
   Div4=38
   Zero=63

   Waliofanya mtihani ni 104 na kwa maana hiyo waliofaulu ni 3 tu manake hiyo Div4 ni sawa sawa na sifuri kwa maana kwamba haimuwezeshi mwenye nayo kwenda popote. Hii nchi inaelekea wapi? Hawa watoto 101 watafanya nini baada ya hapa? Na bado wizarani una waziri ambaye anasema serikali ina mikakati ya kukabiliana na hali hiyo!! Mikakati,michakato na kadhalika na kadhalika wakati nchi inateketea, kweli kazi tunayo!

   Hili nalo balaa zaidi.
   REGIST
   ABSENT SAT WITHHELD NO-CA CLEAN DIV I DIV II DIV III DIV IV
   FAILED
   212 8 204 12 0 192
   0 0 5 57 130
   Forever We Thank You!  8. Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,918
   Rep Power : 8653538
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   1153

   Default Re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Quote By Yusuph p. Kisunzu View Post
   sorry nimemisstakeni ilikuwa ni
   S.1843/1213
   Hicho kituo kina jina gani mkuu.. maana hakuna namba hiyo ya usajili
   Forever We Thank You!  9. Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,918
   Rep Power : 8653538
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   1153

   Default Re: NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

   Quote By Baba_Enock View Post
   Elimu kweli ni Mali

   And still counting.

   There are currently 13265 users browsing this thread. (497 members and 12768 guests)
   Forever We Thank You!  10. Yusuph p. Kisunzu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2012
   Posts : 126
   Rep Power : 479
   Likes Received
   9
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Rogie View Post
   Hicho kituo kina jina gani mkuu.. maana hakuna namba hiyo ya usajili
   jina ni hilohilo na namba ya mwanafunzi ni 0012 kwa hiyo nilitaka matokeo ya S.1842/0012 na huyu wa s.1842/0013 pia 0005

  11. KakaJambazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 11,048
   Rep Power : 119107427
   Likes Received
   3679
   Likes Given
   3133

   Default Re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Quote By yusuph p. Kisunzu View Post
   jina ni hilohilo na namba ya mwanafunzi ni 0012 kwa hiyo nilitaka matokeo ya s.1842/0012 na huyu wa s.1842/0013 pia 0005
   s1842/0005 f 31 iv civ-f hist-d geo-f e/d/kiislamu-d kisw-c engl-f bio-f b/math-f
   s1842/0006 f 33 iv civ-f hist-f geo-f e/d/kiislamu-d kisw-d engl-f bio-f b/math-f
   s1842/0007 f - abs civ-x hist-x geo-x e/d/kiislamu-x kisw-x engl-x bio-x b/math-x
   s1842/0008 f 31 iv civ-d hist-f geo-f e/d/kiislamu-f kisw-f engl-d phy-f chem-d bio-d b/math-f
   s1842/0009 f 34 fld civ-f hist-f geo-f e/d/kiislamu-f kisw-d engl-f bio-f b/math-f
   s1842/0010 f 35 fld civ-f hist-f geo-f e/d/kiislamu-f kisw-f engl-f bio-f b/math-f
   s1842/0011 f 31 iv civ-f hist-f geo-f e/d/kiislamu-d kisw-d engl-d bio-d b/math-f
   s1842/0012 f 28 iv civ-f hist-d geo-d e/d/kiislamu-d kisw-c engl-d bio-d b/math-f
   s1842/0013 f 34 fld civ-f hist-f geo-f e/d/kiislamu-f kisw-d engl-f bio-f b/math-f

  12. Rogie's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2010
   Location : Darul Islamia
   Posts : 3,918
   Rep Power : 8653538
   Likes Received
   1293
   Likes Given
   1153

   Default Re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Quote By yusuph p. Kisunzu View Post
   jina ni hilohilo na namba ya mwanafunzi ni 0012 kwa hiyo nilitaka matokeo ya s.1842/0012 na huyu wa s.1842/0013 pia 0005
   s1842/0005 f 31 iv civ-f hist-d geo-f e/d/kiislamu-d kisw-c engl-f bio-f b/math-f
   s1842/0012 f 28 iv civ-f hist-d geo-d e/d/kiislamu-d kisw-c engl-d bio-d b/math-f
   s1842/0013 f 34 fld civ-f hist-f geo-f e/d/kiislamu-f kisw-d engl-f bio-f b/math-f
   Forever We Thank You!  13. CHUAKACHARA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd June 2011
   Posts : 6,800
   Rep Power : 8530
   Likes Received
   2299
   Likes Given
   1771

   Default Re: Kwamndolwa secondary school- mmetia aibu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!

   Quote By RICH OIL SHEIKH View Post
   Wengine wanaotia aibu ni hawa hapa. PUMBAFFFFFF

   S2119 HARVEST MISSION SECONDARY SCHOOL


   DIV-I = 0 DIV-II = 2 DIV-III = 5 DIV-IV = 46 FLD = 48   S0785 DAR-ES-SALAAM CHRISTIAN SEMINARY


   DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 23 FLD = 65


   S1595 ST.AUGUSTINO SECONDARY SCHOOL


   DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 8 FLD = 34.

   WAMEJAA TELE HUMU. PUMBAFFF
   Kwamdolwa is a Catholic owned school, wameitia aibu taasisi kwa reputation ya kazi nzuri katika elimu. Wafunge wajipange vyema, wamuulize Rosmini wanafanyaje etc. Kwa shule za masista kufeli hivyo, afadhali wafunge sio kukusanya hela tu!

  14. Pilato's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th May 2008
   Posts : 61
   Rep Power : 704
   Likes Received
   1
   Likes Given
   1

   Default Re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   waislam wamefaulu wangapi na wakristo wangapi , labda twende hivyo ndo itakuwa sawa!

  15. JIDONDOFILA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 8th January 2013
   Posts : 93
   Rep Power : 433
   Likes Received
   22
   Likes Given
   0

   Default Re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Naona matokeo haya tusiyangalie kwa udini but ndiyo hli halisi ya watoto wetu.

  16. #235
   Dero's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd December 2010
   Location : DSM
   Posts : 319
   Rep Power : 1058783
   Likes Received
   120
   Likes Given
   41

   Default Re: Breaking News:MATOKEO Kidato cha nne tayari

   Quote By andybird314 View Post
   Rogie thanks aisee ila mbona hawajatoa majina wameweka namba
   Nahisi ile issue ya Mwanaasha imewafanya wasitoe majina tena!!

  17. obwato's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th September 2012
   Posts : 1,174
   Rep Power : 765
   Likes Received
   320
   Likes Given
   23

   Default

   Quote By andybird314 View Post
   Rogie thanks aisee ila mbona hawajatoa majina wameweka namba
   Mwaka jana walivyoweka majina Mwanaasha Kikwete akaonekana kaburuza mkia ilileta shida kidogo, sasa na mwaka huu tungemuona wa Mulugo au Nchemba ingekuwaje? Sio issue ya bahati mbaya ni maelekezo toka juu.

  18. Nicas Mtei's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2010
   Location : Naelekea Kanani
   Posts : 11,437
   Rep Power : 1304178
   Likes Received
   6935
   Likes Given
   6087

   Default Re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   kwa namna hii tutegemee zero za kutosha
   Mara nyingi wapumbavu hupongezana na kupeana moyo katika mambo ambayo wao wanaona ni sahihi kwao.

  19. #238
   Root's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 23rd January 2012
   Location : Tanzania
   Posts : 14,585
   Rep Power : 0
   Likes Received
   4511
   Likes Given
   1902

   Default Re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Quote By Nicas Mtei View Post
   kwa namna hii tutegemee zero za kutosha
   haya bana piga nikupige

  20. WildCard's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2008
   Posts : 7,430
   Rep Power : 2306
   Likes Received
   2201
   Likes Given
   79

   Default Re: Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

   Biashara ya ELIMU inazimaliza secondari za umma. Hii hujuma ya wazi ili Private schools ambazo zinamilikiwa kwa wingi na vigogo kisiasa, serikali, Bunge na mahakama wafanye biashara.

  21. obwato's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th September 2012
   Posts : 1,174
   Rep Power : 765
   Likes Received
   320
   Likes Given
   23

   Default

   Quote By Pilato View Post
   waislam wamefaulu wangapi na wakristo wangapi , labda twende hivyo ndo itakuwa sawa!
   Wana jf tubadili mitazamo yetu tunapojadiri mambo ya maana kwa taifa letu, tunapoingiza mambo ya dini kwenye mambo kama haya tunasababisha migawanyiko bila sababu na kwa mwendo huu mabadiriko tunayoyatamani hayatotokea maana wenyewe hatutaaminiana, kila mtu atamuona wa pembeni yake si mwenzie, tukumbuke yaliyotokea kwenye ujenzi wa mnara wa Babeli, wapenda mabadiriko wanapaswa kuwa na lugha moja tusitenganishwe na ushabiki usio na manufaa.


  Page 12 of 18 FirstFirst ... 21011121314 ... LastLast

  Tags for this Topic

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...