JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Msaada details za chuo cha madini dodoma !

  Report Post
  Results 1 to 11 of 11
  1. the horticulturist's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2012
   Location : Arusha
   Posts : 875
   Rep Power : 646
   Likes Received
   110
   Likes Given
   34

   Default Msaada details za chuo cha madini dodoma !

   Nahtaj kujiunga na chuo hiki ili nikachukue mining exprolation au mining engeneer,cjafanikiwa kukipata net hata niliposaka google.
   Naomba mwenye details anisaidie kama za point znazopekelewa hapo na pia how to apply!address muhimu sana.
   Thnx


  2. mkaka mtata matata's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 5th February 2013
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: msaada details za chuo cha madini dodoma!

   me 2 i need 2 apply, but no info/detail found yet.

  3. NZURI PESA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th March 2011
   Posts : 794
   Rep Power : 703
   Likes Received
   79
   Likes Given
   0

   Default Re: msaada details za chuo cha madini dodoma!

   polen apply kwa UDOM chuo cha Madini ni sehemu ya UDOM

  4. #4
   Nhundu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 41
   Rep Power : 499
   Likes Received
   4
   Likes Given
   3

   Default Re: msaada details za chuo cha madini dodoma!

   Quote By NZURI PESA View Post
   polen apply kwa UDOM chuo cha Madini ni sehemu ya UDOM
   Po Box 1696 Dodoma, email [email protected] maombi yanaanza kutolewa mwezi Februari hadi Mei kila mwaka.Form za kujiunga huwa zinapatikana ofisi zote za madini kanda zote Tanzania na Wizarani kwenyewe.Na chuo Cha Madini si sehemu ya UDOM kama mmoja alivyosema ilishindikana kuunganishwa hivyo kinaendelea kujitegemea yaani kuwa chini ya Wizara ya Nishati na Madini.
   Kila raheli ila ukakomae vinginevyo utakisikia tu.

  5. NZURI PESA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th March 2011
   Posts : 794
   Rep Power : 703
   Likes Received
   79
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Nhundu View Post
   Po Box 1696 Dodoma, email [email protected] maombi yanaanza kutolewa mwezi Februari hadi Mei kila mwaka.Form za kujiunga huwa zinapatikana ofisi zote za madini kanda zote Tanzania na Wizarani kwenyewe.Na chuo Cha Madini si sehemu ya UDOM kama mmoja alivyosema ilishindikana kuunganishwa hivyo kinaendelea kujitegemea yaani kuwa chini ya Wizara ya Nishati na Madini.
   Kila raheli ila ukakomae vinginevyo utakisikia tu.
   Sasa nikakomae vp na mi tayar ni INJINIA NZURI PESA


  6. the horticulturist's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th August 2012
   Location : Arusha
   Posts : 875
   Rep Power : 646
   Likes Received
   110
   Likes Given
   34

   Default Re: msaada details za chuo cha madini dodoma!

   Ahsante ndg zangun

  7. mapunga's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 18th September 2012
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Default Re: msaada details za chuo cha madini dodoma!

   Quote By i2thedi View Post
   nahtaj kujiunga na chuo hiki ili nikachukue mining exprolation au mining engeneer,cjafanikiwa kukipata net hata niliposaka google.
   Naomba mwenye details anisaidie kama za point znazopekelewa hapo na pia how to apply!address muhimu sana.
   Thnx
   ee bwana mambo niaje napata ytatizo namna ya kupata details za kujiuga na chuo cha maini dodoma, tafadhari naomba mnisaidie.

  8. Abelian's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 8th March 2013
   Posts : 207
   Rep Power : 484
   Likes Received
   27
   Likes Given
   0

   Default

   Ualimu umekushinda hayo madini utayaweza....

  9. MJUKUU WA KACHUNDU's Avatar
   Member Array
   Join Date : 6th November 2012
   Posts : 37
   Rep Power : 467
   Likes Received
   5
   Likes Given
   23

   Default Re: msaada details za chuo cha madini dodoma!

   duuh.....TZ yetu kazi ipo, siku hizi ulaji unamulikwa kinoma noma...hiki chuo cha madini nadhani wamejaa watoto na ndugu wa vigogo tu sababu ndiko kwenye ulaji na michuzi kibao

  10. Kijana Mpole's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th July 2011
   Posts : 3,055
   Rep Power : 1138
   Likes Received
   595
   Likes Given
   140

   Default Re: msaada details za chuo cha madini dodoma!

   Nina mshikaji wangu anafundisha hapo

  11. godimpare's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th February 2014
   Posts : 632
   Rep Power : 260893
   Likes Received
   143
   Likes Given
   0

   Default Re: msaada details za chuo cha madini dodoma!

   vp mwaka huu hawajatoa vigezo bado? Ada je kiasi gani


  Similar Topics

  1. Msaada wa haraka: Chuo cha mipango dodoma vs chuo cha utumishi
   By kiongozirorya in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 7
   Last Post: 5th July 2013, 22:05
  2. Nafasi za masomo chuo cha madini Dodoma.
   By Mcheza Karate in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 0
   Last Post: 3rd April 2013, 13:30
  3. Hatimaye Chuo cha Madini Dodoma chapatiwa Mkuu Mpya
   By Mzee Mwanakijiji in forum Jukwaa la Siasa
   Replies: 2
   Last Post: 15th February 2012, 05:29
  4. Chuo cha Madini Dodoma kunani?
   By Mzee Mwanakijiji in forum Jukwaa la Elimu (Education Forum)
   Replies: 10
   Last Post: 12th January 2012, 18:33

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...