Nilisikia habar hii naskia kwamba wanafunzi wanapo maliza kidato cha sita wanatakiwa kujiunga jeshini kabla ya kuendelea na masomo ya chuo kikuu .Si dhani nilazima kwa jambo hili kufanyika japokua sijui sababu kubwa ya serkali kuamua jambo hili .Naweza kusema ni njia mojawapo inayoweza kufanya vijana wa taifa hili kuwa ni wachapakazi nakuwaweka katika hali ambayo itawafanya wao kujituma zaidi katika shughuli zao walakini ingewezeka badala ya vijana hao kujiunga na jeshi serikali ingeweza kuwatumia vijana hao baada ya kumaliza masomo yao kuweza kusaidia sekta hii ya elimu inayoonekana kuyumba kwa kuwa kuna uhaba mkubwa wa walimu wanafunzi hao wakaweza kutumika kufundisha wenzao baada ya kumaliza masomo yao ambao wako katika ngazi ya chini .jambo hili lingeweza kuwezekana kama vijana hao watakua wamefunzwa kisawasa hayo ndo maoni yangu...........