Show/Hide This

  Topic: Kumi bora na Shule mbili

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 22
  1. Petro E. Mselewa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2012
   Location : Kibaha,Pwani/Kino,Dar
   Posts : 3,050
   Rep Power : 1024
   Likes Received
   2506
   Likes Given
   492

   Default Kumi bora na Shule mbili

   Nianze kuzipongeza Shule zote zilizoshiriki mitihani ya kidato cha pili na kupokea walichostahili.Nawapongeza pia wanafunzi waliofaulu na kuwapa moyo wanafunzi wanaotakiwa kukariri kidato cha pili mwaka huu 2013.

   Nikiri kuwa,ni mara yangu ya kwanza katika maisha yangu ya miaka niliyokuwepo hapa duniani kuona,kusikia au kuambiwa kuwa wanafunzi bora kumi wa mitihani yoyote ile ya Taifa:darasa la saba,kidato cha pili,kidato cha nne au cha sita kutoka katika Shule mbili tu.

   Hii naiona kama dalili ya kudumaa kwa elimu yetu iliyokuwa imesheheni changamoto za kishule.Sasa,shule za walionacho tu zinafanya zipendavyo.Hili si jambo jema. Ushindani ule uko wapi?

   Hongereni St.Francis na Kaizirege kwa kuwafanya wenzenu 'vibaya'!

   5.0UFAULU WA WANAFUNZI
   Wanafunzi Walioshika Nafasi Kumi za Mwanzo
   Na
   JINA
   JINSI
   SHULE
   1. MAGRETH KAKOKO KE ST FRANCIS
   2. QUEEN MASIKO KE ST FRANCIS
   3. LUKUNDO MANASE ME KAIZIREGE
   4. FRANK J NYANTARILA ME KAIZIREGE
   5. GRACE MSOVELLA KE ST FRANCIS
   6. HARIETH MAKIRIYE KE ST FRANCIS
   7. ROBINNANCY MTITU KE ST FRANCIS
   8. HUMRATH LUSHEKE KE ST FRANCIS
   9. MUKHSIN HAMZA ME KAIZIREGE
   10. ANASTAZIA KABELINDE KE KAIZIREGE
   LL.B.,LL.M (Dar), PGDL (LST)


  2. #2
   MD25's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th January 2012
   Location : Mugumu, Serengeti
   Posts : 3,078
   Rep Power : 1224
   Likes Received
   960
   Likes Given
   611

   Default

   Quote By Petro E. Mselewa View Post
   Nianze kuzipongeza
   Shule zote zilizoshiriki mitihani ya kidato cha pili na kupokea
   walichostahili.Nawapongeza pia wanafunzi waliofaulu na kuwapa moyo
   wanafunzi wanaotakiwa kukariri kidato cha pili mwaka huu 2013.

   Nikiri kuwa,ni mara yangu ya kwanza katika maisha yangu ya miaka
   niliyokuwepo hapa duniani kuona,kusikia au kuambiwa kuwa wanafunzi bora
   kumi wa mitihani yoyote ile ya Taifa:darasa la saba,kidato cha
   pili,kidato cha nne au cha sita kutoka katika Shule mbili tu.

   Hii naiona kama dalili ya kudumaa kwa elimu yetu iliyokuwa imesheheni
   changamoto za kishule.Sasa,shule za walionacho tu zinafanya
   zipendavyo.Hili si jambo jema. Ushindani ule uko wapi?

   Hongereni St.Francis na Kaizirege kwa kuwafanya wenzenu 'vibaya'!

   5.0UFAULU WA WANAFUNZI
   Wanafunzi Walioshika Nafasi Kumi za Mwanzo
   Na
   JINA
   JINSI
   SHULE
   1. MAGRETH KAKOKO KE ST FRANCIS
   2. QUEEN MASIKO KE ST FRANCIS
   3. LUKUNDO MANASE ME KAIZIREGE
   4. FRANK J NYANTARILA ME KAIZIREGE
   5. GRACE MSOVELLA KE ST FRANCIS
   6. HARIETH MAKIRIYE KE ST FRANCIS
   7. ROBINNANCY MTITU KE ST FRANCIS
   8. HUMRATH LUSHEKE KE ST FRANCIS
   9. MUKHSIN HAMZA ME KAIZIREGE
   10. ANASTAZIA
   KABELINDE
   KE KAIZIREGE
   Waziri mwenye kusimamia elimu ni kiazi, repeater, mwizi wa jina la mtu, amesoma kwa magumashi, kichwa cheupe-kichwa nanga.
   Je, unategemea elimu itakuwepo???
   Makunga likes this.

  3. Kishalu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Posts : 524
   Rep Power : 634
   Likes Received
   66
   Likes Given
   10

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   lazima kuna tatizo sehemu fulani haiwezekani kwa hali ya kawaida

  4. katalina's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th April 2012
   Posts : 265
   Rep Power : 505
   Likes Received
   50
   Likes Given
   2

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Ebu tusaidie matokeo mengine yanapatikana kwenye link / adress gani?

  5. Kitaeleweka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th July 2012
   Posts : 377
   Rep Power : 510
   Likes Received
   75
   Likes Given
   54

   Default Kumi bora na Shule mbili

   Hii nayo kali
   Tutaona madudu mengi na hii wizara yetu inayoongozwa na aliyeiba vyeti vya watu.
   R.I.P. PHILIP MULUGO

   Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   what doesnt kill you, makes u stronger.ujinga ni kuuza ng'ombe ili kupeleka ingine shule.Treat people like animals,we will cage u like one.


  6. #6
   Ntu's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 9th September 2011
   Posts : 203
   Rep Power : 521
   Likes Received
   46
   Likes Given
   109

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Duh ME tumeburuzwa mpaka aibu!!! Hebu nielewesheni hii KAIZIREGE ni ya wapi? Boarding au day? Private au Govt?

  7. ashy da don's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th January 2013
   Location : dar es salaam
   Posts : 246
   Rep Power : 460
   Likes Received
   58
   Likes Given
   48

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   nd elmu ye2 wadau hao vijana c nd wale waliopta kw makx 90 kat ya 250 daraxa la 7 unategemea fanye majabu mthan wa fm 2

  8. asigwa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st September 2011
   Location : Tandhaniya
   Posts : 6,973
   Rep Power : 10094909
   Likes Received
   2488
   Likes Given
   1967

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Hii nchi bwana yaani ni vichekesho............
   !!..Ukiamua KULA NGURUWE.. CHAGUA aliyenona..!!

  9. LiverpoolFC's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2011
   Posts : 10,381
   Rep Power : 88723657
   Likes Received
   2424
   Likes Given
   1799

   Default

   Ni zaidi ya uijuavyo mkuu!!!!


   Quote By asigwa View Post
   Hii nchi bwana yaani ni vichekesho............

  10. Mchakatoh's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2011
   Posts : 254
   Rep Power : 517
   Likes Received
   21
   Likes Given
   2

   Default

   Quote By Ntu View Post
   Duh ME tumeburuzwa mpaka aibu!!! Hebu nielewesheni hii KAIZIREGE ni ya wapi? Boarding au day? Private au Govt?
   Iko manispaa ya Bukoba ni Private na ni boarding!..

  11. Godwishes's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th August 2011
   Posts : 487
   Rep Power : 580
   Likes Received
   63
   Likes Given
   0

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Je watakariri kweli walofeli?

  12. Mbwiga88's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2012
   Posts : 583
   Rep Power : 17396259
   Likes Received
   126
   Likes Given
   129

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   mbona mwaka 2007 necta form 4 top 10 ilikuwa st.Francis tu wanafunzi wote,mimi sioni cha ajabu hapo!

  13. Petro E. Mselewa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th December 2012
   Location : Kibaha,Pwani/Kino,Dar
   Posts : 3,050
   Rep Power : 1024
   Likes Received
   2506
   Likes Given
   492

   Default

   Quote By katalina View Post
   Ebu tusaidie matokeo mengine yanapatikana kwenye link / adress gani?
   Mkuu katalina,matokeo ya kidato cha pili ni kama ya darasa la saba. Hayawekwi mtandaoni. Hupatikana kwenye vitabu vya matokeo Wilayani,Mkoani na mashuleni.
   Iika likes this.

  14. christine ibrahim's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2012
   Location : earth
   Posts : 8,932
   Rep Power : 297523541
   Likes Received
   2855
   Likes Given
   22132

   Default

   Quote By Kitaeleweka View Post
   Hii nayo kali
   Tutaona madudu mengi na hii wizara yetu inayoongozwa na aliyeiba vyeti vya watu.
   R.I.P. PHILIP MULUGO

   Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   He!R.I.P tena!?

  15. Igwachnya's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th January 2011
   Posts : 79
   Rep Power : 532
   Likes Received
   13
   Likes Given
   2

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Halafu kwa nini MUKHSIN HAMZA yupo peke yake?

  16. Nyati's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th March 2009
   Posts : 1,439
   Rep Power : 899
   Likes Received
   504
   Likes Given
   234

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Quote By Igwachnya View Post
   Halafu kwa nini MUKHSIN HAMZA yupo peke yake?
   Umeanza wewe acha hizo bwana!!
   When the mouse laughs at the cat there is a hole nearby.

  17. kanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2011
   Posts : 904
   Rep Power : 696
   Likes Received
   363
   Likes Given
   427

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Quote By Nyati View Post
   Umeanza wewe acha hizo bwana!!
   Msiamushe walio lala ,maana wakiamuka nyie mtakuwa matatani, pia ukitaka kula cha kipofu usimguse mkono.

  18. kanga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th January 2011
   Posts : 904
   Rep Power : 696
   Likes Received
   363
   Likes Given
   427

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Quote By Igwachnya View Post
   Halafu kwa nini MUKHSIN HAMZA yupo peke yake?
   Usiamshe waliolala maana wakiamuka wewe ulliye macho utakuwa matatani na ukitaka kula cha kipofu usimguse mkono

  19. Makunga's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 21st December 2011
   Posts : 230
   Rep Power : 513
   Likes Received
   43
   Likes Given
   156

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Quote By christine ibrahim View Post
   He!R.I.P tena!?


   hajakosea mkuu,kwasababu mwenye jina hilo la PHILIPO MULUGO ilishafariki siku nyingi.
   Halafu kanisani kwetu kuna padre mmoja anaitwa Padri Mulugo,ngoja ntajaribu kumuuliza huenda wakawa ni ndg na mwenye jina halali.

  20. #20
   UKI's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th June 2012
   Location : Mali
   Posts : 696
   Rep Power : 581
   Likes Received
   159
   Likes Given
   181

   Default Re: Kumi bora na Shule mbili

   Quote By Igwachnya View Post
   Halafu kwa nini MUKHSIN HAMZA yupo peke yake?
   ha ha ha ha wakati nasoma hii post na majina nilijua lazima nitakutana na hii kitu nimecheka sana, plz ebu acha uchokozi mkuu maana ukiwachokoza watakuja kama mvua shauri yako,


  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...