Hivi viwango vipya vya mishahara hususan kwa walimu vilivyovumishwa kuanza mwezi Dec. 2012 vimeishia wapi?. Upepo ulivuma kwa kasi na wengine kusema wameunyaka walaka,unaoeleza kurudi kwa teaching allow.. 50% ya salary na rent allow.. Juu yake. Kwel TZ ni zaid ya huijuavyo!