matokeo ya kidato cha nne 2012 yanatoka lini???
matokeo ya kidato cha nne 2012 yanatoka lini???
Yameshatoka nenda shulen kwako wamebandka wahi.
...una haraka...!!Yatatoka wakati ukifika.
...Mbwa wa Mfalme ni Mfalme wa Mbwa Wenzake...
Mnarudia kufanya,wengi mlidanganya
Karibu sana JF!
"A friend in need,is a friend indeed"
yatatoka mwaka huu 2013
unaishi mkoa upi
"Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo, wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu."(Rom. 8:38 - 39).
hilo wenge lako subiri tu,mwezi march dogo
usiwe na haraka yatatoka mkuu
Nadhani katikati ya mwezi wa pili au mwanzoni mwa mwezi wa tatu, tayari walimu wamemaliza kusahisha tangu mwezi wa 12 mwanzoni. Kuwa na subira
Kijana kama wewe unatambua thamani ya Mungu katika maisha yako,mwombe sasa kwa kuwa haujui siku wala saa pale matokeo yatakapotoka,so mwombe Mungu matokeo mazuri lakini pia yakija tofouti Mungu akupe uvumilivu katika wakati huo mgumu ambao haujawahi pata katika maisha yako ili uweze kupata plan B iliyo nzuri kwa maisha yako,keep on praying form four leave happy or sad is around the corner.
Dogo yameshatoka,umepata ZERO,Kama huamini njoo nkuonyeshe SOURCE.
Follow Us Here