Ajira mpya za walimu wa Sekondari,shule za msingi na vyuo. Inasemekana zinatoka kati ya JANUARY 5-15 Mwakani. Na wote waliomaliza vyuo wataajiriwa, Maisha mema walimu wetu.
Ajira mpya za walimu wa Sekondari,shule za msingi na vyuo. Inasemekana zinatoka kati ya JANUARY 5-15 Mwakani. Na wote waliomaliza vyuo wataajiriwa, Maisha mema walimu wetu.
Hii sio news kwa sababu inajulikana na kila mmoja na sio kweli kwamba waliohitimu, ni wale wa liohitimu na kufuzu masomo ya Ualimu
"Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"
Inakuwa ngumu kuingia kichwani kwamba ni nini hasa kinachochelewesha post za ualimu kwa maana wizara ya elimu walishatoa na takwimu za idadi kamili ya walimu iliyowaajiri mwaka huu ambayo ni 28746!
Hawana pesa za kulipa posho ndugu. Vumilia jamaa ndo kaenda omba huko kwa Hollandes
Mi naona serikali imekosa pesa za kuwalipa walimu!
Pexa tatizo cdhan km kuna kingne.
Hela zpo ujeur wao 2! Lazima wapindshe pndishe ili watz waone cha moto! Wanajiona wenyewe ndo kila ki2 dunian hapa.
mmhm, kweli ajira hizi zipo kweli! si walisema early january! sasa ni tarehe za mwishi!
Mulugo kasema leo bungeni kuwa ni February.
Wanazingua tu, ukweli utakuwa pale wakitoa post wala sio maneno maana hata kwenye kanga yapo. So msisikilize chochote wandugu ambao mnasubilia post maana ni siasa tu. Wale ni original politicians.
Ajira mpya za walimu
Follow Us Here