naomba kuuliza mwenye taarifa za ajira mpya kama zinatoka lini mimi na njaaa sanaaaaa
naomba kuuliza mwenye taarifa za ajira mpya kama zinatoka lini mimi na njaaa sanaaaaa
Kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti kabisa!!!
january...andaa blanket na katambuga umepangiwa musoma mzee
Hata zile taarifa rasmi kabisa toka kwa JK na Mulugo kwamba ni Januari hukuzisikia?
"Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"
It will be in January 2013!
Jifunze jinsi ya kuandika kichwa cha Habari Boss
Ni january jaman jaman mcwe na shaka
Nimesoma gazeti la Mwaananchi la jana 03 january, limeandika ajira mpya za ualimu ni this january 2013. hizi kauli huwa zinanichosha sana sana why wasitoe specific date..?
Kiukwel tumechoka fikiria tangu may mwaka jana, bt nadhan haitakua zaid ya hii januar kwan mwaka jana zilitoka tar. 28 jan km cjasahau.
Subiri baada ya bunge la bajeti,amini july
Ni kati ya tarehe tano hadi kumi na tano zitakuwa tayari.
Last edited by Oscar kiwale; 4th January 2013 at 15:39.
Mwezi wa ngapi we chizi ww?ni wa 9?
:a s 100:
DAWA MSETO
ni mwezi wa pili mwanzoni.
Kiukwel kitaa kugumu sana mpaka inaboa amakwel serikal ya ccm imeshindwa kaz mana walimu wachache skonga lakin kuajil wanachelewa
IKIFIKA USIKU "CLICK"
HAPA UPATE TAARIFA ZAID.
Kwan januari imeisha? Inaweza kuwa hata 30 jan 2013.
Leo leo we utaziona
Betri yenye chaji
Follow Us Here