JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

  Report Post
  Page 5 of 5 FirstFirst ... 345
  Results 81 to 98 of 98
  1. Young Master's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 22nd December 2008
   Location : Arusha, Tanzania.
   Posts : 7,949
   Rep Power : 105386014
   Likes Received
   2697
   Likes Given
   2247

   Exclamation Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

   CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.

   Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti, stashahada, shahada za kwanza, uzamili na shahada za uzamivu.

   Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkem za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.

   Tuhuma za ngono miongoni mwa wanafunzi wa kike zinadaiwa kusababishwa na ukata hatua inayowalazimu kutoroka chuoni nyakati za usiku na kujiunga na baadhi ya wasichana wa mitaani waliokubuhu kwenye ukahaba maarufu kama machangudoa kwa lengo la kujiuza.

   Baadhi ya wahitimu wanathibitisha uwepo wa vitendo hivyo vilivyo kinyume na maadili.

   Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Idris Kikula anatoa onyo kali kwa wote watakaobainika.

   Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amenukuliwa kwa nyakati tofauti akisisitiza suala la maadili chuoni hapo hatua inayodaiwa kupuuzwa na wanaojihusisha na vitendo hivyo.
   If you love me let me know, If you don't then let me go.


  2. #81
   Alisa's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 23rd October 2012
   Posts : 8
   Rep Power : 463
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

   Jamani Presdent hauoni hili! Tatizo ni kwamba BOOM HALITOSHI..fanyeni mchakato wa kuongeza boom angalau lifike 15000 kwa siku.. TATIZO LITAKUWA BHAAAS...

  3. Mwanamalundi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th August 2007
   Posts : 2,672
   Rep Power : 10330071
   Likes Received
   931
   Likes Given
   377

   Default Re: Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

   Hayatuhusu. Ni maisha yao. Pilipili ya shamba wewe inakusumbua kitu gani?

  4. Mbwayuwayu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 23rd November 2011
   Posts : 14
   Rep Power : 512
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

   UDOM Wanauza kweli hao hapo Chako ni chako wanakatiza wakitafuta zaidi ya jero sasa wanaona soo wanaitaja UDSM kwan ndo wamesema? mmeonekana mnaliuza jero na wanaosema wameokoka na maustadh ndo wauzaji wazuri huku wakijificha na dini mchana usiku wanaegesha kwa jero, aibu ukipita ukisema umesoma UDOM unaitwa jeri!

  5. Saint Ivuga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st August 2008
   Posts : 25,348
   Rep Power : 88801449
   Likes Received
   7583
   Likes Given
   13009

   Default

   Quote By Mkereketwa_Huyu View Post
   Ok, ngoja ni refer hiyo red uisemayo: House girl wa Mama yangu (mkazi wa Dodoma) siku moja alinisimulia hii kitu lakini aliniambia nisimwambie mama yangu kwani atamfukuza. Yeye (house girl) kabla mama hajamchukua alikuwa anafanya mchezo huu na waheshimiwa wetu. Mwanzoni hakujuwa (I hope she's right) kama wangemfanyia michezo ya hajabu kwani alikuwa anaonyeshwa sinema za porn halafu alikuwa anaambiwa akitaka hela zaidi inabidi aigize kama aonavyo kwenye video. Na yeye kwa kuwa ni yatima anayesomesha nduguze ilibidi afanye hivyo kwani alikuwa anapata mpaka 50,000 kwa usiku ilhali muheshimiwa kafikishwa kileleni. Wenzake ambao walikuwa si waoga walikuwa wanapata mpaka 500,000 yaani kwa wiki kwa ajili ya kuweka maisha yao rehani (provided kuwa 90% ya waheshimiwa ni wabovu kiafya). Hose girl wa mama alipopata pesa za kutosha akanunua mashamba na kuachia nduguze wajiendeleze. Kwa kuwa yuko na Mama miaka 9 kwa sasa ni kama dada yetu na tunasomesha hapa Dar. Waheshimiwa ni wachafu sana. Zamani walikuwa wanatudanganya oh eti wanamuziki ni wahuni na malaya kumbe walikuwa hawataki kushindana, wanataka kula wao tu kwa dau lolote wakati wenzao (wanamuziki) wanapendwa kwa mvuto.
   Asante kwa stori nzuri

  6. Ze Pro-Money's Avatar
   Member Array
   Join Date : 4th May 2012
   Location : Dar
   Posts : 29
   Rep Power : 492
   Likes Received
   5
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By MATESLAA View Post
   yaan wew unaona dom ndo bora kuliko udsm basi unamatatzo.
   Nadhani hujanielewa!


  7. #86
   SG8's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2009
   Location : DSM
   Posts : 2,905
   Rep Power : 4379
   Likes Received
   947
   Likes Given
   884

   Default Re: Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

   Quote By Sinai View Post
   Acheni uzushi, mimi nimesoma Bachelor UDOM na Master UDSM, kiukweli, UDSM kimebaki jina tu, hakuna mpya lolote! Wahadhiri hawafundishi, wengi wanaofundisha wanatumia yellow material, yaani limebaki jina tu, sina mchango kwa Mzumbe, SUA na kwingineko kwani sijasoma huko!
   Kweli wewe umesoma UDOM...Hapa kinachojadiliwa ni ukahaba wa Udom wewe unazungumzia mambo ya Wahadhiri. Labda kama ulikuwa unamjibu mtu..Kama ndivyo ulipaswa kuquote hiyo post vinginevyo unaonekana kilaza kweli
   "Show your mind, not your behind"

  8. #87
   bubo's Avatar
   Member Array
   Join Date : 7th November 2012
   Posts : 27
   Rep Power : 465
   Likes Received
   5
   Likes Given
   23

   Default Re: Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

   Sipendi Ubishi ila huwezi Compare UDSM na UDOM...bdo udsm wapo juu interms of resources:Labs,workshops,human resources,na vingine vingi hata best lectures bdo wapo udsm na Mzumbe...hyo ya kujiuza na biashara ya ivo Udom wameipiku udsm nowdays kiukwel;ustaarabu umerudi mlimani siku hizi sio kama miaka ya 2000.all in all hzo mambo za kujiuza ni hulka ya mtu binafsi chuo hakihusiki.

  9. kbosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2012
   Location : dar es saalam
   Posts : 9,512
   Rep Power : 2384
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   76

   Default Re: Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

   Ni ukwel usio pingika, na tatzo sio kwamba hawana hela, tatzo ni ushamba na tamaa..wafanyakaz asilimia kubwa sio wazee wala vijana wana mademu udom, kama kwenu ni dodoma na home mnagari uktaka demu udom ni kama vile unakamata kuku wa kisasa..ukimtoa out mtoto wa udom mfn umpeleke..master pub,free point,rainbow,unq pub,cafe latino, yani hautumii hata elfu 20! Unamfanya unacho taka..naongea kitu ambacho nimekiona kwa macho yangu..hasa mwaka watu ndio warahisi! Cha kusikitsha girls wanao fanya hivyo ni wazuri kupindukia..

  10. kbosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2012
   Location : dar es saalam
   Posts : 9,512
   Rep Power : 2384
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   76

   Default

   Quote By bubo View Post
   Sipendi Ubishi ila huwezi Compare UDSM na UDOM...bdo udsm wapo juu interms of resources:Labs,workshops,human resources,na vingine vingi hata best lectures bdo wapo udsm na Mzumbe...hyo ya kujiuza na biashara ya ivo Udom wameipiku udsm nowdays kiukwel;ustaarabu umerudi mlimani siku hizi sio kama miaka ya 2000.all in all hzo mambo za kujiuza ni hulka ya mtu binafsi chuo hakihusiki.
   girls wa udom ni chip kinoma..we nenda dodoma ujionee, uwezi amini kuna vitoto kazi yao ni kuzurura town...huwa wanatembea vground, watu, wawili,

  11. kbosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2012
   Location : dar es saalam
   Posts : 9,512
   Rep Power : 2384
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   76

   Default

   Quote By SG8 View Post
   Kweli wewe umesoma UDOM...Hapa kinachojadiliwa ni ukahaba wa Udom wewe unazungumzia mambo ya Wahadhiri. Labda kama ulikuwa unamjibu mtu..Kama ndivyo ulipaswa kuquote hiyo post vinginevyo unaonekana kilaza kweli
   udom kwa ukahaba ni mwisho wa matatzo...kama unataka thbtsha nenda mwenyewe..ujionee! Kama unataka kufa kuwa na demu udom ama mchumba %80 wote ni wachafu

  12. kbosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2012
   Location : dar es saalam
   Posts : 9,512
   Rep Power : 2384
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   76

   Default

   Quote By Mbwayuwayu View Post
   UDOM Wanauza kweli hao hapo Chako ni chako wanakatiza wakitafuta zaidi ya jero sasa wanaona soo wanaitaja UDSM kwan ndo wamesema? mmeonekana mnaliuza jero na wanaosema wameokoka na maustadh ndo wauzaji wazuri huku wakijificha na dini mchana usiku wanaegesha kwa jero, aibu ukipita ukisema umesoma UDOM unaitwa jeri!
   udom ni janga' hata madereva wa mabusi wana badilsha grls wa udom kama mboga.

  13. kbosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2012
   Location : dar es saalam
   Posts : 9,512
   Rep Power : 2384
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   76

   Default

   Quote By Alisa View Post
   Jamani Presdent hauoni hili! Tatizo ni kwamba BOOM HALITOSHI..fanyeni mchakato wa kuongeza boom angalau lifike 15000 kwa siku.. TATIZO LITAKUWA BHAAAS...
   tatzo sio boom' ni tamaa na ushama, kuna demu yupo vzuri kfedha na kiurembo, yeye gari ndo uchiz wake...wenye hela ndo warahc kupndukia

  14. kbosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2012
   Location : dar es saalam
   Posts : 9,512
   Rep Power : 2384
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   76

   Default

   Quote By CaptainDunga View Post
   Karibia vyuoo vyote vina kashfa ya aina hii.
   udom wamezd

  15. kbosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2012
   Location : dar es saalam
   Posts : 9,512
   Rep Power : 2384
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   76

   Default

   Quote By mwika View Post
   Jamani kama jamii mzima ya Watanzania kama msomi usifanye janga kuwa furaha katika akili za watu. Wanaposema wasichana wanaojiuza si Udom peke yake mkoa wa Dodoma una vyuo visivyo pungua kumi, sasa ninani kafanya research na kuona wasichana wanaofanya ukahaba ni wanafunzi wa udom tu.

   Jamani tuache ushabiki usiokuwa na miguu. Sasa leo unasema hivyo kesho ndo wewe unaangaika na mabinti ukimwi haujui huyu ni udom au udsm chamsingi ni kuwa makini na kutoa ushauri kwa dada zetu especially wanaosoma vyuo vikuu nchi mzima. "Tanzania ni yetu"


   jamani udom wamezd

  16. kbosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th June 2012
   Location : dar es saalam
   Posts : 9,512
   Rep Power : 2384
   Likes Received
   1922
   Likes Given
   76

   Default

   Quote By form 6 View Post
   Wana UDSM acheni kupaka matope chuo cha waelevu na critical thinkers UDOM, tatizo la wanaUDSM wakishaishiwa boom kwa ajili ya kuuzia sura basi wanaingia JF na kuanza kuiponda UDOM.
   Hakika mbinu zenu chafu za kuichafua UDOM kamwe hazitafanikiwa na mkae mkijua UDOM sio size yenu nyie majuha na kama huu ndio utumbo mnaokaririshwa nkurumah hall na vilaza wenu wakina prof shivji basi mjue hamtofanikiwa. Ebooo toekn hapa koz nyie mnaboa sana yani hamna vyuo vingine yan daily ni UDOM tu ndio mmeona? Au mna wivu na majengo ya kimataifa? Na msipoangalia ipo siku tutawafungia safari tuje tuwape kichapo mpaka wote mlale hoi kama walevi wa mirungi na hapo nadhan ndipo heshima itakaporudi na kuanza kutuheshimu.
   Too sad.
   tatzo udom makahaba wamezd

  17. Mao ze dong's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2012
   Location : Arusha Tanzania
   Posts : 524
   Rep Power : 574
   Likes Received
   111
   Likes Given
   17

   Default

   Quote By Manmud View Post
   mkubwa umepatia kabisa udom hakuna elimu bali kuna majanga na degree za magumashi.....
   mwalimu anayemaliza udom na anayemaliza ud wanatofautiana sh ngap kwenye mshahara?

  18. Mao ze dong's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2012
   Location : Arusha Tanzania
   Posts : 524
   Rep Power : 574
   Likes Received
   111
   Likes Given
   17

   Default

   Quote By bubo View Post
   Sipendi Ubishi ila huwezi Compare UDSM na UDOM...bdo udsm wapo juu interms of resources:Labs,workshops,human resources,na vingine vingi hata best lectures bdo wapo udsm na Mzumbe...hyo ya kujiuza na biashara ya ivo Udom wameipiku udsm nowdays kiukwel;ustaarabu umerudi mlimani siku hizi sio kama miaka ya 2000.all in all hzo mambo za kujiuza ni hulka ya mtu binafsi chuo hakihusiki.
   kweli we form 6 yaani miaka zaid ya 50 ya chuo cha ud unafananisha na miaka 5 ya udom?

  19. mchafukobe's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 20th September 2012
   Posts : 236
   Rep Power : 0
   Likes Received
   24
   Likes Given
   2

   Default Re: Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

   co tuwalaumu loan board pekee kwa kuchelewesha mikopo but hata cc vijana(wanafunzi) tunamatumizi mabovu sana
   kwani kuna unneccessary expenses nyingi sana
   mfano:kila wikendi unaenda club na huko unatumia si chini ya elfu 30,Unataka ujioneshe kuwa ww ni matawi unanunua mawigi ya 25000 na kila baada ya siku 3 unabadilisha,unataka kilasiku kulachipsi kuku#

   kwa mtindo huu utaachakuwa juu ya mawe mapema?#

   mfano: mm naxoma st john nimepanga gheto na ninalipa bili ya maji,umeme na kodi ya nyumba but tangu boom la kwanzalimeingia cjawahi kuomba hata senti kutoka kwa wazaz also sina source nyingine ya income na bado ninaela ya kutumia kwa kipindi cha mwezi mmoja na nusu ujao#


  Page 5 of 5 FirstFirst ... 345

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...